1927 Chama cha kikomunisti cha China kilianzisha jeshi lake

1927 Chama cha kikomunisti cha China kilianzisha jeshi lake

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,406
Reaction score
12,736
Mwaka 1921 chama cha kikomunisti cha China CPC kilizaliwa rasmi.

Kupitia uonezi uliokuwa ukitendwa na serikali ya Jamhuri ya China chini ya chama tawala Kuomitang KMT na ukoloni uliokuwepo China,chama cha kikomunisti cha China kilianzisha jeshi lake kuzuia hayo na kuikomboa China yote.

1927 jeshi la watu wa China PLA hili jeshi la sasa la China lilizaliwa rasmi toka kwa wanachama wa CPC waliopinga na kuchoshwa na uonevu wa serikali ya China iliyokuwa ikiteka,ikifunga, ikinyonga wanachama wa kikomunisti na kuwapiga risasi mbele ya umati kisa misimamo yao iliyokuwa kinyume na misimamo ya watawala.

Pia mwaka huo 1927 vita vya wenyewe kwa wenyewe rasmi viliibuka China mpaka 1949 wakomunisti walipowashinda KMT na rasmi kuzaliwa Jamhuri mpya ya watu wa China na Jamhuri ya China kukimbilia visiwani Taiwan.

Sijui nilitaka kusema nini ila hii historia fupi inatufundisha si kila tawala dhalimu huondoshwa kwa makaratasi ya kwenye sanduku na kelele za majukwaani,tawala zingine huitaji mtutu wa bunduki kuziondosha.
 
Karibu kambini jeshi la ki mkakati linaundwa, halina nembo, halina chama, halina mfadhili.

Silaha unaweza kuja nayo, au ukaipata kambini.

Unajitolea hakuna ranks, wala mshahara.
 
Karibu kambini jeshi la ki mkakati linaundwa, halina nembo, halina chama, halina mfadhili.

Silaha unaweza kuja nayo, au ukaipata kambini.

Unajitolea hakuna ranks, wala mshahara.
Tuwe serious kwenye hili mkuu
 
Karibu kambini jeshi la ki mkakati linaundwa, halina nembo, halina chama, halina mfadhili.

Silaha unaweza kuja nayo, au ukaipata kambini.

Unajitolea hakuna ranks, wala mshahara.
Ha
 
Kuna siraha zimeingizwa kimya kimya kutoka Burundi,ready for 29 October.
 
Back
Top Bottom