chama cha mapinduzi

  1. Uasi mkubwa unakuja CCM

    Ni uasi ambao haujapata kutokea ndani ya chama cha mapinduzi CCM.. Baada ya kukaa madarakani muda mrefu sana ni kama kuna kikundi ndani yake kimejikuta kinajiona wao ndio ELITES wa hii nchi, na lolote ama chochote kinachofanyika ni lazima kipate kibali chao. Imefika mahali kikundi hicho...
  2. J

    CCM kuisuka upya Tanzania One Theatre (TOT) kuendana na ushindani wa muziki nchini

    KUMEKUCHA TOT CHAMA CHA MAPINDUZI KUISUKA UPYA ILI IENDANE NA USHINDANI WA KIMUZIKI NCHINI Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, Jumatatu 27 Disemba 2021 amefanya ziara fupi Kutembelea na kuzungumza na watumishi wa CCM wa kikundi cha Sanaaa...
  3. E

    Kamati ya siasa ya chama cha mapinduzi mkoa wa simiyu imeomba serikali kuajiri walimu

    Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu, imeiomba serikali kuajiri walimu wengi wa kutosha, ili kukabiliana na ongezeko la wanafunzi watakaoanza masomo yao mapema mwakani. Ushauri huo umetolewa na Katibu wa CCM mkoa wa Simiyu Innocent Nazaba, wakati wa ziara ya kamati ya...
  4. J

    Taarifa kwa Umma kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM)

    TAARIFA KWA UMMA KUTOKA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
  5. J

    Nini hatma ya Polepole baada ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM inayofanyika Disemba 18, 2021?

    Je! Katibu Mstaafu wa Halmashauri Kuu ya NEC Itikadi na Uenezi CCM-Tanzania Mhe Humphrey Polepole atapona kwenye vikao hivi? #Let's give a Time time,
  6. Ni chama gani cha upinzani kimejipanga kuiondoa CCM madarakani?

    NI CHAMA GANI CHA UPINZANI KIMEJIPANGA KUIONDOA CCM MADARAKANI? Wakati Chama Cha Mapinduzi CCM kikiendelea kujiimarisha katika nyanja mbalimbali uku kikiendelea kutekeleza kwa vitendo ilani ya uchaguzi na kuzidi kuwavutiwa wanachama walio wengi nje na ndani ya chama vyama vingine vya upinzani...
  7. Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kukutana Desemba 18, 2021

    HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI TAIFA ITAKUTANA TAREHE 18 DESEMBA, 2021 TAARIFA KWA UMMA Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa itakutana Desemba 18, 2021 chini ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu, Samia Suluhu Hassan. Kikao...
  8. W

    Nyerere, Magufuli na Polepole: Mashujaa pekee wa CCM katika enzi za siasa za vyama vingi

    Ni wazi CCM wanaamini kukosoana wenyewe ni kosa la jinai na hasa kumkosoa mwenyekiti ni dhambi isiyovumika!! Vyama upinzani wanayo hii pia, Ila kwakuwa mada inawaangazia hao mashujaa watatu, ndipo nimeitaja CCM! Ndani ya CCM usikosoe serikali hadharani Watakushughulikia kungali kweupe! Hii...
  9. Acha waseme Chama cha Mapinduzi kina wenyewe

    Hii ndiyo habari ya mjini kwa sasa. Kauli ambayo ameitamka waziwazi bila kificho NAPE MOSSES, MBUNGE WA MTAMA. Kwa hali hiyo na maana pana ni kwamba hii nchi imepo mikononi mwao hakuna wa kutoa maneno kwa sasa mheshimiwa polepole amebaki kuwa kiroboto ambaye muda wowote atanyunyuziwa dawa na...
  10. J

    Rais kusafiri nje ni Utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi 2020|25

    Shaka: Kibali Rais Samia kusafiri nje amepewa na CCM MONDAY DECEMBER 06 2021 Summary Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka amesema kibali cha kusafiri nje ya nchi, Rais Samia Suluhu Hassan amepewa na Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho. Dar es Salaam. Katibu...
  11. "Deep state" huu ni wakati wa kuandaa chama kingine kushika dola, kijani imeshindwa kutufikisha

    Kwanza kabisa niwapongeze "deep state" kwa kazi nzito na iliyotukuka mliyoifanya tangu Tanzania ipate uhuru hadi leo, mumekuwa muhimili muhimu kuhakikisha Tanzania inavuka salama katika nyakati zote ngumu, huku mukihakikisha kuwa amani ya nchi haichezewi wala kutiwa doa na mtu yeyote. Kijani...
  12. T

    UTEUZI: Chama cha Mapinduzi chateua Makatibu katika Mikoa 32 na Wilaya 168

    Hongera crdes wote kwa kuaminiwa na kuteuliwa kwenu hakika ni imani kubwa sana mmepewa na Mkt wetu Ndg Samia Suluhu Hassan kaitendeeni haki. === Nendeni kachapeni kazi ili kama Chama tuweze kutimiza matamanio na matarajio ya Wananchi wa Taifa hili, === Kasimamieni zile TZS 1.3 za IMF vizuri...
  13. S

    Shaka atamba CCM kuongoza kwa wingi wa wafuasi mitandaoni

    Kwa mujibu wa tovuti ya ukusanyaji wa takwimu za mitandao ya kijamii (Statista Aprili, 2019) watu milioni 23 wanatumia intaneti hapa nchini, sawa na takribani asilimia 42 ya Watanzania milioni 55. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaongoza kwa idadi kubwa zaidi wafuasi kwenye mitandao yote ya...
  14. Kwanini CCM na CHADEMA ndio agenda kuu?

    Ukifuatilia kwa makini siasa za Tanzania zimeingia kwenye mtego wa ushabiki badala ya malengo chanya ya Kitaifa. CCM imekuwa ikitumia makada wake wa uenezi kufanya siasa za kishabiki zisizo na uzamivu wenye mantiki. Hoja kubwa za wanaCCM ni namna wanavyoweza kudhibiti mihemko na kushangilia...
  15. Wanamapinduzi Chama cha Mapinduzi tutahakikisha Samia Suluhu anafuata njia ya Hayati Magufuli ya kimapinduzi

    Watu walimchagua magufuli kwa kura asilimia 84.3. Bahati mbaya Mungu kamchukua Magufuli. Mama umesema kwa kauli yako mwenyewe wewe na Magufuli ni kitu kimoja. Tunategemea kuona nchi ikiendeshwa kwa msingi uleule wa kutetea maslahi ya umma. Kupiga vita ufisadi na uzandiki wa kila aina. Kujenga...
  16. M

    Kwanini Chama cha Mapinduzi chaguzi zake za ndani sifa kuu ya mgombea ni fedha?

    Nilikuwa nafuatilia maadhimisho ya miaka 22 bila baba wa taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye sikuwai kumwona kwa macho nikashangaa sana na sikuelewa kuwa aliyokuwa anayaongea yule Mzee ni yakweli au ulikuwa unafiki wa kisiasa. Kama alikuwa muasisi wa Tanu na CCM na alikemea rushwa na...
  17. Uzinduzi wa kadi za Chama cha Mapinduzi za kieletroniki mkoa wa Dodoma

    Uzindizi wa kadi za Chama cha Mapinduzi za kieletroniki mkoa wa Dodoma 15 Oct 2021 Katibu Wa NEC Organaizesheni na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Dkt. Maudline Cyrus Castico amezindua Rasmi Kadi za Kieletroniki za Chama Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma white House...
  18. Chama cha Mapinduzi champongeza Rais Samia kwa kuimarisha Demokrasia

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimempongeza na kumshukuru amiri Jeshi mkuu na Rais wa JMT Mama Samia Suluhu Hassan kwa Uzalendo wake kwa Taifa, Ushupavu na Ujasiri katika kulinda na kusimamia "Tunu za Taifa" letu kwa nguvu zake zote kwa akili zake zote na kwa moyo wake wote huku msingi mkuu wa...
  19. CCM: Tutamjadili kwanza Benard Membe

    Chama cha Mapinduzi kimemjibu aliyekuwa mgombea urais wa Act Wazalendo mwaka 2020 na baadae kutangaza kujitoa kwenye chama hicho, na sasa ametangaza safari ya kurudi CCM chama chake kilichomlea na baadae kumfukuza kutokana na utovu wa nidhamu kuwa kitamjadili kwanza ili wamuone kama wamkubalie...
  20. Aliyoyazungumza Rais Samia baada ya kuwasili nchini akitokea New York - Marekani

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Samia Suluhu Hassan amerejea nchini na kupokelewa na watanzania wakiongozwa na Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango katika Uwanja wa Ndege wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…