chama cha walimu (cwt)

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Nini kinazuia huduma za Vyama vya Wafanyakazi kuunganishwa kwenye mfumo wa ESS?

    Kwa sasa, karibu kila huduma muhimu kwa watumishi imehamishiwa kwenye mfumo wa e-UTUMISHI (ESS). Kupitia mfumo huo, mtumishi anaweza kuomba likizo, mikopo, uhamisho, kuongeza wategemezi, kupata salary slip, na huduma nyingine nyingi bila usumbufu wa kufuatilia makaratasi kutoka ofisi moja hadi...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Walimu Rukwa wahimizwa kujitokeza kupiga kura oktoba 29

    Chama cha Walimu Mkoa wa Rukwa (CWT) kimewahimiza walimu wote kushiriki kikamilifu katika zoezi la upigaji kura linalotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025. Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa CWT Mkoa wa Rukwa, Mwalimu Doseph Ndalama, amesema chama hicho kinaendelea kushirikiana kwa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 DC Nachingwea, Mohamed Moyo asisitiza ulipaji madeni ya Walimu, aahidi kuboresha Makazi yao

    Leo, tarehe 19 Machi 2025, Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Wilaya ya Nachingwea umefanyika katika ukumbi wa TTC Nachingwea, Mkuu wa Wilaya Mheshimiwa Mohamed Hassan Moyo, aliongoza mkutano huu na kusisitiza umuhimu wa kuchagua viongozi wenye uwezo wa kuleta mshikamano kati ya...
Back
Top Bottom