Live 8 November 2023
Atletico FC d'Abidjan 1 - 2 JKT Queens - CAF Women's CHAMPIONS LEAGUE 2023 - GROUP STAGE
https://m.youtube.com/watch?v=zAmSCWF8XKI
wenyeji wa michuano hii ya Champions League, nchi ya Ivory Coast timu yao Atletico FC d' Abidjan inacheza na JKT Queens ya Tanzania katika...
Mchele na chuya unajichuja.. nimeamini mashindano ya caf ya timu zake zile zile miaka yote.. timu zilizofika nusu fainali ya AFL 2023 ni zile zile zilizofika nusu fainali ya caf champions league mwaka 2023
Nusu fainali ya Caf champions league mwaka 2023 ilikuwa na timu 4 ambazo ni
1. AL...
CAF hufanya draw ya makundi kwa kuzigawa timu kwenye pots/vyungu 4 kwa kigezo cha ubora wao.
Pot no. 1: Al Ahly, Wydad WC,Esperance, na Mamelodi Sundowns.
Pot no 2: Simba, CR Belouizdad, Pyramids na Petro de Luanda.
Pot no.3: TP Mazembe, Al Hilal, ASEC Mimosa, na Yanga.
Pot no. 4: Etuile...
Pot 1:
Al Ahly
Wydad AC
Espérance de Tunis
Mamelodi Sundowns
Pot 2:
CR Belouizdad
Pyramids
Simba
Petro de Luanda
Pot 3:
TP Mazembe
Al Hilal
Young Africans
ASEC Mimosas
Pot 4:
Étoile du Sahel
Jwaneng Galaxy
Nouadhibou
Medeama
NB:
1. Kuna baadhi ya mechi (tatu) zinaendelea, ila...
Jana nilipokuwa nafuatilia gemu ya Yanga, nilikuwa nasikia mahaba ya kupitiliza kwa timu ya Yanga kutoka kwa mtangazaji Baraka Mpenja na hii siyo mara ya kwanza kuliona hili.
Jana alikuwa anatoa kauli kama "upande wa pili nao watakuwa wakienda chooni wanasema Yanga kweli anapiga mpira mwingi"...
Ni sehemu maalum kwa wadau wa mpira wa miguu kutoa maoni, ushauri na uchambuzi.
Msimu mpya umeanza kwa timu zetu 4 kuiwakilisha Tanzania kwa ushiriki wa michuano ya kimataifa barani Afrika.Tanzania imepata nafasi ya kupeleka timu 4 ukiwa ni msimu wake 4, Ligi ya Tanzania inashika nafasi ya 5...
CAF katika kikao walichokaa jana mjini Rabat, Morocco wameamua kuanzia msimu huu wa 2023/2024 na kuendelea zile timu 16 ambazo huwa zimetolewa katika hatua ya timu 32 katika ligi ya mabingwa wa Africa hazitapata fursa tena ya kuingia katika hatua ya mtoano (Play-Off) ya kupambana na 16 bora za...
Kuna watu wanadhani kuufuata mfumo wa Ulaya kutawezesha fainali ya Klabu Bingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kuchezwa katika uwanja ambao mojawapo ya timu husika haitakuwa mwenyeji.
Ukweli ni kwamba wenzetu wa Ulaya huwa wanakuwa wameshauchagua mji ambao fainali itachezwa, bila kujali mojawapo...
Pep Guardiola na Man City yake wanaenda kutwaa ndoo ya UCL hapo juni mwaka huu.
Man City kabla ya fainal atakutana na wachovu Real Madrid, ambapo mechi ya kwanza Bernabeu itaisha droo ya 1-1
Kisha mechi ya marudiano Etihad, Man City ataibuka na ushindi wa goli 2-0. Na kujikatia tiketi ya...
Yanga baada ya kuonekana anaenda semi final simba wakatoka huko waliko wakasema washawahi cheza fainal ya Confederation Cup inachekeshesha sana.
Hivi niulize nani anauzi au ana taarfa inayosema simba ishacheza Fainali iliyosemwa almost 2 months ago au hata mwezi mmoja uliopita kama kuna taarfa...
Mwaka 1998 Yanga ilikuwa miongoni mwa timu 42 zIlizocheza Caf Champions League 1998
Yanga ilijitahidi na kufikia hatua ya 8 Bora
Tangu wakati huo timu zooote za Tanzania zikijitahidi sana huishia robo fainali yaani ile ile 8 Bora walioishia
Yanga, miaka ishirini na tano sasa
Wanathiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimbaaaaaaa[emoji350][emoji350]
Hayawi hayawi Sasa yamekuwa, Ile siku iliyosubiliwa Kwa hamu na waarabu wote hatimaye imefika..
Ni siku ya hukumu kwa mnyama Simba
Ni siku ambayo taifa la Tanzania linaenda kupata aibu kwa kipigo kizito watakachoenda kushushiwa Simba na...
Nawapongeza Simba kwa kwenda mapema huko Casablanca kuzoea hali ya hewa hasa ya majira ya jioni ila faida hiyo ya kwenda mapema ina hasara zake. Ningeweza kupendekeza mazoezi yangefanyikia hata Tunisia ambako hali ya hewa haitofautiani sana na ya Morocco halafu Simba waingie Casablanca siku moja...
Iwapo Simba atakaza kipindi cha kwanza wakatoka 0-0, basi kuna uwezekano mkubwa wa Mnyama kutinga nusu fainali.
Kikubwa wakabe kwa umakini, faulo zisizo na akili wasizifanye katika maeneo ya hatari.
Laiti kama yule refa aliyechezesha mechi ya Dar ndo angechezesha na ya mkondo wa pili kule...
HAKUNA POINTI YA KUSHINDANA KATIKA SHINDANO AMBALO UNAJUA HUTASHINDA
Yaani unakuwa tu kama msindikizaji, Simba ni timu kubwa sana, yenye pride kubwa, so haiwezi kuendelea kuwa mdindikizaji kila msimu kama timu ndogo
Jamani wana Simba tuwe realistic, kwenye mashindano ya CAF Simba mwendo...
Huu ni utaratibu mzuri ambao unatumika UEFA Champios League, ambapo timu iliyoshika nafasi ya 3 kombe la UEFA Champions League hucheza play offs na timu zilizoshika nafasi ya pili kombe la Europa League
Hata CAF walitakiwa kufanya utaratibu huu ili kuzichuja timu vizuri
Mfano Monastir...
Hii ni rekodi inayoshikiliwa na Yanga hadi sasa. Ni timu iliyowahi kufungwa magoli mengi zaidi kuliko timu yoyote kwenye hatua ya makundi kwenye ligi nya mabingwa CAF. Ilifungwa magoli 19 kwenye mechi 6 na ikaburuza mkia!! Hii ilikuwa mwaka 1998.
Most goals conceded in group stage (single...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.