chanjo

Chanjo (kutoka kitenzi "kuchanja"; kwa Kiingereza "vaccine") ni dawa ya kibiolojia ambayo inajenga kingamwili dhidi ya ugonjwa fulani.

Dawa ya chanjo huwa na sehemu za vidubini vinavyosababisha ugonjwa fulani. Dawa hutolewa kutoka katika kidubini kilicho hai au kilichokuwa hai. Sehemu zinazotumiwa kwa dawa haziwezi kusababisha ugonjwa lakini zinatambuliwa na mmfumo wa kinga mwilini.

Mara dawa ya chanjo inaingizwa katika mwili, mfumo wa kinga unaanza kutegeneza fingomwili dhidi ya ugojwa huo.

Chanjo ni njia bora zaidi kuzuia magonjwa ya kuambukiza. Kinga inayoenea kutokana na chanjo kwa kiasi kikubwa inawezesha kuepukana na kifua kikuu duniani na kizuizi cha magonjwa kama vile polio, pepopunda, tetekuwanga kutoka duniani kote. Hata hivi karibuni kumekuwa na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 kuna chanjo zilitengenezwa na kuukabili

Tunashauriwa na wataalamu wa afya na wanasayansi wa kimataifa kuwapa watoto wadogo chanjo ili iwakinge dhidi ya magonjwa na maradhi mabaya. Kinga ni bora kuliko tiba.
  1. #COVID19 Yaliyonikuta baada ya kuchomwa chanjo ya COVID-19

    Habari zenu wana JF Natumai mambo yanaenda vizuri ukizingatia leo ni siku ya mapumziko kwa wengi wetu. Niende moja kwa moja kwenye mada, tar 16 mwez huu siku ya j3 nilifanya booking online kwaajili ya kupata chanjo ya covid 19. Nilitamani sana nipate hiyo chanjo siku ya ijumaa tar 20 mwez...
  2. L

    #COVID19 Kama hali yako ipo hivi, taafadhali kapate chanjo ya COVID-19

    Huu ni ushauri tu, unaweza chukua au kupuuza Kama uko hiv nenda kapate chanjo ya corona haraka 1. Umekaribia kustaafu 2. Una madeni mengi sana unayoshindwa kuyalipa 3. Mwenye uzito uliopitiliza 4. Una tatatizo la kiafya la muda mrefu mf. Kisukari, BP, HIV nk 5. Unafanya kazi...
  3. I

    Uviko-19: Vifo mfululizo vya wazee wetu siku za karibuni, chanjo haisaidii?

    Tangu kuletwa kwa chanjo kipaumbele ilikuwa ni kuwapa chanjo umri 50+ Ila sasa tangu wameanza kupatiwa hiyo chanjo hao 50+ kumekuwa na ongezeko la vifo vya 50+ Je, hii chanjo haisaidii?
  4. #COVID19 Nchi ngapi duniani wananchi wake wanapinga chanjo ya Corona?

    Nikiwa napitia mada mbali mbali hapa JF, kuhusu chanjo ya covid, nimekuwa nikisoma comments mbali mbali za wadau, juu ya hii chanjo ya covid19. Wapo wanao pinga chanjo, na wapo wanaotaka chanjo na tayari wengine wameshachanja.Ok fine, Sasa Nimekuwa nikijiuliza, kwa kukuwa suala hili la chanjo...
  5. L

    #COVID19 Serikali iongeze elimu dhidi ya chanjo ya COVID-19, imuombe Askofu Gwajima asiongelee chanjo

    Jana nilimskiliza tena askofu Gwajima! Matamshi yake yanaungwa mkono na watu wengi sana kuliko hata watu waliopewa ubalozi wa Corona. Nashauri yafuatayo: 1. Serikali iongeze elimu juu ya chanjo 2. SerikaLi imuombe Gwajima abaki na msimamo wake lakini asiongelee chanjo 3. Itangaze chanjo kuwa...
  6. #COVID19 Nchi tajiri zakosolewa vikali kwa kutoa chanjo za ziada wakati hali ikiwa mbaya Afrika

    Mkurugenzi wa shirika la afya Duniani kanda ya Afrika amezikosoa vikali nchi tajiri kwa kutoa chanjo ya tatu kwa watu ambao tayari wameshapatiwa chanjo hizo dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona. Mkurugenzi huyo Matshidiso Moeti amewaambia waandishi habari kwamba uamuzi wa nchi hizo...
  7. #COVID19 Waziri Gwajima, tumia busara na elimu yako kuinadi chanjo ya UVIKO -19, usitumie mabavu kama ulivyoinadi nyungu na Bupeji

    Wewe waziri wa afya kama daktari msomi mpaka leo dunia nzima ilikushangaa sana pale ulipokaa mbele ya kamera za wanahabari ukajifukiza na kisha kunywa mchanganyiko wa malimao, tangawizi na pilipili na kuwaaminisha Watanzania kuwa hiyo ni kinga na tiba ya Uviko-19. Limekuja suala la chanjo ya...
  8. Z

    #COVID19 Ukiugua ugonjwa ambao hauna tiba na ukapona, je inahitaji kupatiwa chanjo?

    Tumeona kati ya watu 200 million walioambukizwa na kuugua ugonjwa wa COVID-19, ni watu milioni 4 tu wamekufa. Ina maana zaidi ya million 190 wamepona bila kuwa na na specific treatment ya ugonjwa wa UVIKO-19. Ni kwamba miili ya wagonjwa hawa iliweza kujitengenezea specific antibodies against...
  9. #COVID19 Serikali bado ina nafasi ya kushawishi Watanzania chanjo ya Corona

    Kwa muelekeo wa ugawaji na uchanjaji wa chanjo ya UVIKO19 Tanzania na malumbano kati ya viongozi wa serikali wenyewe kwa wenyewe kuhusu kuchanja Corona yaonekana wazi kuwa serikali yaweza kushindwa vita hii, kwa kuwa, kwanza ni hiari lakini pia ilishajikwaa mwanzoni kuhusu chanjo hiyo kwa awamu...
  10. #COVID19 Mnaopiga na kuunga mkono kuwepo kwa Corona, njia za kujiepusha na chanjo msikieni Dkt. Fauci

    “You can be wrong if you’re dealing with information that is evolving.” The data about covid-19 and the vaccines seems to change nearly every day; for those of us with potentially confounding conditions, we carefully monitor that changing and updating data" (Anthony S. Fauci, infectious-disease...
  11. N

    #COVID19 Waziri Gwajima Achana na mambo ya chanjo, Serikali nzima imekuangushia mzigo peke yako

    Kipindi hayati JPM anapinga chanjo alisimama kidete haswa haswa, akapiga marufuku na fumigation na akaagiza mtu yyte atakayefanya fumigation eneo lolote akamatwe. JPM kafariki Amekuja mama Samia yeye kaagiza chanjo sasa hapo kuna kazi kubwa ya kuwaamisha wananchi kutoka kwenye idea za...
  12. L

    #COVID19 China kuigeuza Afrika kutoka “jangwa la chanjo” kuwa “chemichemi ya chanjo jangwani”

    Hivi karibuni televisheni ya Marekani ya CNN ilitoa makala yenye kichwa cha “mjomba wangu anayeishi Kenya alikufa kwa COVID-19 kwa sababu ya kutopata chanjo, lakini naweza kuchanjwa katika duka la dawa nchini Marekani”, ikisimulia upatikanaji wa chanjo usio na usawa duniani, hali ambayo inaitwa...
  13. T

    #COVID19 Marekani inatarajia kutoa 'booster vaccine' kwa watu wote waliopata chanjo

    Leo Jumatano, serikali ya Marekani inatarajia kutangaza kuanza kutoa chanjo ya pili kwa wale waliopata chanjo ya J&J ama ya tatu kwa waliopata chanjo zingine za kukabiliana na covid 19 kwa watu wote waliopata chanjo. Awali, wiki iliyopita, taasisi ya afya na chakula ya Marekani, FDA ilitoa...
  14. N

    TAKUKURU Tunaomba msiwaonee haya viongozi wote waliopokea hongo ili chanjo ije Tanzania kama ilivyodaiwa na Askofu Gwajima

    Kwa madai ya askofu Gwajima ni kwamba kuna viongozi walipokea hongo ili chanjo ije, na akauliza walihongwa kiasi gani hicho mpaka kuwauza watanzania? Askofu alidai pia viongozi hao wamechanjwa chanjo feki ili kuwahadaa wananchi. Sasa basi kwakuwa Tayari Waziri kaelekeza TAKUKURU mumkamate na...
  15. B

    #COVID19 Chanjo: Wanaopotosha Kuwajibishwa kwa Vifo wanavyoendelea Kusababisha

    Kwa mujibu wa Waziri Mollel: 1. Suala la ugonjwa wa Corona na tahadhari zake zikiwamo chanjo ni suala la kisayansi ambalo si kila mtu anaweza kuwa na ujuzi nalo. 2. Ni bahati mbaya sana kuwa kuna watu bila ya kuwa na ujuzi nalo wamelivalia njuga na kuendelea kupotosha watu. Kwa mujibu wa...
  16. #COVID19 Rais wa Chama cha Madaktari (MAT): Muitikio wa kupata chanjo hauridhishi, elimu itolewe

    Akizungumza na Mwananchi jana, Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk Shadrack Mwaibambe alisema idadi hiyo ni ndogo ukilinganisha na idadi ya watu katika makundi yaliyolengwa. “Tulivyopokea dozi 1,058,400 nilitarajia hizo zisingetosha, lakini cha ajabu mwitikio umekuwa mdogo, Serikali...
  17. Wapinga chanjo waliwahi kwenda mahakamani na kushindwa na upande wa serikali na wapenda chanjo

    In the United States, the anti-vaccinationist movement, using pamphlets, court battles, and fights in state legislatures, succeeded in repealing compulsory vaccination laws in California, Illinois, Indiana, Minnesota, Utah, West Virginia, and Wisconsin. However, in the landmark Jacobson v...
  18. A

    #COVID19 Chanjo ni hiari, wasiochanja wasibaguliwe

    Juhudi za ulimwengu kuudhibiti ugonjwa wa Covid-19 zimeendelea kuenea ulimwenguni kote baada ya mataifa kuanza kutoa chanjo zitakazowaweka wananchi wake salama dhidi ya maambukizi ya virusi wanaosababisha ugonjwa huo. Tanzania ni miongoni kwa mataifa ambayo tayari yamepokea chanjo kupitia...
  19. #COVID19 Ni heri kupambana na changamoto za chanjo kuliko kupambana na changamoto za kuugua COVID-19

    Ninachokiona ni kwamba watu hawajaweza kufikiri na kutafakari kwa umakini na wengi pia wanashindwa kutambua ikiwa ni habari zipi za kuamini kwani habari ni nyingi za uongo na uzushi ambao unaosemwa kwenye mitandao na baadhi ya vyombo vya habari na watu ambao ni wapotoshaji pengine kwa maksudi...
  20. B

    #COVID19 CHADEMA: Chanjo tumechanjwa sasa Kazi iendelee

    Lilikuwa jambo la msingi kusimama kwa muda kupisha zoezi la chanjo kuanza bila ya kutatizika. Muda wa kuitumia karata ya wingi wetu vizuri ili kuyajaza magereza yao sawa sawa umewadia. Ni muhimu sana tukawaweka wazi wakatuelewa pasi na shaka kuwa: "hatuogopi kukamatwa na tuko tayari mno...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…