Kutokana na hili sakata la Baltazar kuna mambo Mengi ya kujifunza hapa, nitaelezea kwa summary tu;
Most of the women ambao walicheat na Jamaa , wapo kwenye mahusiano na matajiri wa kubwa na pia powerful men.
Kwa waliodhan kwamba Hawa wanawake walicheat kwasababu ya pesa au umaarufu au chochote...