ulishasamehe mtu aliye cheat na akajirekebisha??? or once a cheater ..always a one

kwa experience yangu....huwa hawaaachi🥹🥹🥹🥹🥹🥹
samehe saba mara sabini na usonge mbele kwa heshima zaidi.

sense of perfection ni sumu kali sana ya kuangamiza mahusiano na hata ndoa.
jiepushe nayo kwasababu hakuna alie mkamilifu.

ukishindwana nae kwasababu ya mapungufu na dhambi zake, dhidi ya utakatifu wako na ukamilifu wako, achana nae kwa amani na itapendeza zaidi.
 
kucheat na sense of perfection ni mbingu na ardhi....
mahusiano yanajengwa na trust....
haya mengine ya kutokukamilika trust ipo mbali sana nayo
ukamilifu vs uaminifu havina uhusiano
 
Inategemea ni nini kimesababisha. Kama ni malipizi ya visasi, wengi huwa wanaacha. Ila kama ni maumbile, hapo sijui.
Ogopa sana ''mjinga'' anaye-cheat kwa sababu tu eti analipiza kisasi. Hivi kama wewe ni mwanamke, ukienda kulalwa na mwanamume mwingine eti unalipiza kisasi, ni nani kati yako na mumewe mwenye kujidhalilisha? Kwenye sex hakuna cha kulipa kisasi kwa sababu mwili ni wako na huwezi kuugawa mwili wako hovyo eti unamkomoa mtu mwingine! Unajikomoa mwenyewe. Nimeona wanawake wengi wanajidhalilisha kwa kugawa hovyo eti wanalipiza kisasi wasijue kuwa wao ndiyo wanajidhalilisha. Mwanaume asiye mume wako akikulala anakudharau, na kukufanya kama maabara ya majaribio. Hata yale mambo anayoogopa kumfanyia mkewe atajaribu kwako.
 
kwanin mnahis neno kucheat ni kwa wanandoa tu?

mahusiano yoyote ya watu wawil katika stage yoyote kama mmoja anantu zaidi ya mmoja nyuma ya pazia hiyo ni kucheat
 
Ogopa sana ''mjinga'' anaye-cheat kwa sababu tu eti analipiza kisasi. Hivi kama wewe ni mwanamke, ukienda kulalwa na mwanamume mwingine eti unalipiza kisasi, ni nani kati yako na mumewe mwenye kujidhalilisha? Kwenye sex hakuna cha kulipa kisasi kwa sababu mwili ni wako na huwezi kuugawa mwili wako hovyo eti unamkomoa mtu mwingine! Unajikomoa mwenyewe. Nimeona wanawake wengi wanajidhalilisha kwa kugawa hovyo eti wanalipiza kisasi wasijue kuwa wao ndiyo wanajidhalilisha. Mwanaume asiye mume wako akikulala anakudharau, na kukufanya kama maabara ya majaribio. Hata yale mambo anayoogopa kumfanyia mkewe atajaribu kwako.
Hii mbinu wazee wa zamani ukiongea nao vizuri wameifanya sana....,..na inafanya kazi vizuri mnoooooo.
Hakuna kuachana kila mtu na mchepuko wake atakae zidiwa ataweka mpira kati maridhiano yaanze.
 
Ogopa sana ''mjinga'' anaye-cheat kwa sababu tu eti analipiza kisasi. Hivi kama wewe ni mwanamke, ukienda kulalwa na mwanamume mwingine eti unalipiza kisasi, ni nani kati yako na mumewe mwenye kujidhalilisha? Kwenye sex hakuna cha kulipa kisasi kwa sababu mwili ni wako na huwezi kuugawa mwili wako hovyo eti unamkomoa mtu mwingine! Unajikomoa mwenyewe. Nimeona wanawake wengi wanajidhalilisha kwa kugawa hovyo eti wanalipiza kisasi wasijue kuwa wao ndiyo wanajidhalilisha. Mwanaume asiye mume wako akikulala anakudharau, na kukufanya kama maabara ya majaribio. Hata yale mambo anayoogopa kumfanyia mkewe atajaribu kwako.
Ndivyo walivyo na kuwabadilisha si rahisi
 
Back
Top Bottom