ulishasamehe mtu aliye cheat na akajirekebisha??? or once a cheater ..always a one

ulishasamehe mtu aliye cheat na akajirekebisha??? or once a cheater ..always a one

kwa experience yangu....huwa hawaaachi🥹🥹🥹🥹🥹🥹



wengi mnaotoa maoni mpo nje ya mada
swali ni je "ushawahi msamehe aliyekusaliti kimapenzi katika mahusiano yenu na akajirekebisha au ni tukio baada ya tukio?
Nilimsamehe baadae akaishi kumbebea yule jamaa Mimba mbili na asaiv anaishi uke wenza....

Ila baadae nilimwambia kila mtu anaendele na maisha yake miezi kadhaa mbele jamaa yule yule akampa Mimba.
 
wengi mnaocoment mpo nje ya mada

je nimeuliza tena ushaaahi samehe mtu aliye cheat akajirekesbisha??
Unauliza swali na majibu tayari unayo! Mwanaume unamtenganisha vipi na kuchepuka? Wanaume wasiochepuka ni vile tu wamekosa ujasiri na mbinu mbadala.
 
Cheat haina msamaha !!!

Kama ni demu nakupiga tukio nakuacha
Mke ndo kabisa usepe yaan, sikuhitaji tena

Alafu huyo mhuni alofanya hivo nitadili nae perpendicular... nalipa hata watu wakamfanyizie......
 
Kusamehe tena? Kwenye vikao vyenu vya wanawake si mlikubaliana wanaume wote wanachiti? Usipomsamehe utaenda wapi, utaishi singo maisha yote?
Wanaume ku cheat sio exclusive
Wao ni kama wamehalalisha

Labda sababu inayofanya a cheat
Au anae cheat nae ndio story

Na pia siku hizi wanawakake nao wembe ni huo huo yaan mnashindana kuleta magonjwa ndani
 
Kwanini watu wana chitiana mkuu ?

watu hawaelewi swali, si ajabu ndio maana 😁😁..
Mie ukweli sijwai chitiwa wala kuchitiwa
haujawah kuchitiwa ila kwa ninavyo kufaham wew unachiti sanaa ni mwendo wa kuchovya tu😄😄😄😄
 
Kusamehe tena? Kwenye vikao vyenu vya wanawake si mlikubaliana wanaume wote wanachiti? Usipomsamehe utaenda wapi, utaishi singo maisha yote?
Wanaenda kuanzisha mahusiano mengine na watu wengine.
 
kwa experience yangu....huwa hawaaachi🥹🥹🥹🥹🥹🥹



wengi mnaotoa maoni mpo nje ya mada
swali ni je "ushawahi msamehe aliyekusaliti kimapenzi katika mahusiano yenu na akajirekebisha au ni tukio baada ya tukio?
Vipi tena mkuu?Kuna jambazi kafanya yake?
 
Back
Top Bottom