Umaarufu unaokuwa kwa kasi kwa Mtandao wa TikTok umemfanya mwanzilishi mwenza wa kampuni mama yake, ByteDance, kuwa mtu tajiri zaidi wa Uchina.
Kulingana na orodha ya Utajiri iliyotolewa na Taasisi ya Utafiti ya Hurun , Mfanyabiashara Zhang Yiming, sasa utajiri wake umefikia thamani ya Dola za...