Novemba 28, 2023 nilianza kuona fununu za aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo kujiuzulu. Nikiri ilikuwa nimetokea msibani Bukoba ambako nilikaa siku nne, hivyo sikuwa na taarifa za kinachoendelea mtandaoni. Novemba 29, 2023 nilisafiri kwenda Nairobi, na hatimaye...