Kwenu Daudi Mchambuzi, Mrangi, Tindo, Salary slip, BAK, Chakaza, Mmawia Quinine, Molemo na Erythrocyte Nk....Nk.
Ninawatakieni Christmas yenye baraka tele, kama kawaida mimi nitakuwa Useri kwa minajili ya kufunga mwaka.
Bwashee erythrocyte wasalimie hapo Kyela akina mh Kinanasi na wengine...