chuo cha ukutubi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka tangu tulipe fedha ya bima mwaka 2023 hadi mwaka huu tunamaliza hatujapata bima

    Mimi ni mhitimu wa Diploma katika chuo cha Ukutubi na Uhifadhi nyaraka School of Library and Documentation Studies (SLADS) kilichopo Dar es Salaam, chini ya Maktaba ya Taifa. Tangu tulipoanza masomo ya Certificate mwaka 2023, tulilipa fedha kwa ajili ya bima ya afya, lakini hadi leo...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu Chuo cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka (SLADS) 2025 hatujapewa vyeti, wanasema “msiwe na haraka"

    Kwa niaba ya wanafunzi tuliohitimu mwaka 2025 katika Chuo cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka (SLADS), tunaomba kupaza sauti kuhusu changamoto kubwa tunayoipata ya kucheleweshewa vyeti vyetu. Tangu tumalize masomo mwezi Julai mwaka 2025, hadi sasa hatujapewa vyeti. Kila tunapofuatilia chuoni...
Back
Top Bottom