chuo kikuu huria tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Open University wamefanya suala la Research kuwa kitega uchumi, Supervisor anataka kutumia El Nino kunipressure nimlipe TZS 250,000 ili nimalize chuo

    Hii si hadithi ya kusimuliwa bila ushahidi, nina vielelezo vinavyothibitisha ninachokizungumza. Nimekuwa nikijiuliza kama niwashirikishe hapa kwa kuwa wahusika wanaonekana kuwa na kiburi na hawajali malalamiko ya wanafunzi, nimeamua pia kuweka wazi suala hili kupitia mitandao mingine kama...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Open University; Upoteaji wa mitihani, kupewa maksi chache za maksudi, hawajali kabisa muda wa mwanafunzi

    Kipindi nachaguliwa pale Open University nilikuwa najua kuna utaratibu mzuri na kueleweka katika ku-handle vitu vingi vya academic hasa hasa niliposikia asilimia kubwa ya vitu vinafanywa online na kuna urahisi wa kuwasiliana na lecturer wako. Ila vitu vimekuwa tofauti uti, mwezi wa 9 nilifanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…