Hizi ni kauli za manguli wa uchambuzi wa taifa hili, kwamba pale Yanga tayari vijana wa umri mdogo walishajipata, na wanaendesha idara kwa weledi wa dunia ya mbele. Idara imejaa Generation Z ambao wamefanikiwa kuondoa kizazi cha wasema hovyo katika mpira, na usemaji sasa ni proffession kamili...
Tasnia ya habari hasa upande wa Ma-presenter wa kike naona bado hakuna wale wa kukiwasha sana atleast hawa wawili wamejitahidi sana pia wana-knowlegde ya mambo mengi tofauti na wengi
Mwana Jamiiforums yapii maoni yako kwenye ili yupi ni mkali hapa 🎤 🎙️
Meena Ally(Clouds FM)
Aaliyah...
Jana (Julai 01' 2024) ndio siku rasmi Crown Fm wameanza kutangaza baada ya kumaliza majaribio, na leo ( Julai 02' 2024) wamerusha kipindi cha michezo.
Kwa mtazamo wangu naona jina la Crown Fm na Clouds Fm kama hautakuwa makini katika usikilizaji unaweza sikIa kama wametamka Clouds Fm, na hiyo...
Mzee mbabe untouchable mkali ka Mugabe,
Hakuiva na Manji wenye ganji akasema akabwe,
Panya wakafyata mkia wakapotea wenye ngebe,
Acha kumpinga ukimsema unanyea debe,
Hakua mlevi wa uhuru kunyata kama kalewa,
Labda kama madaraka yanalevya alolevyewa,
Sometimes hivi vyeo vina hangover,
Lake gang...
Kwa wasiofahamu, Murtaza Mangungu ni mmatumbi wa Kilwa Kaskazini, kwao ni Kipatimu kule kulikoanza vita ya Maji Maji, Mangungu amekuwa mbunge wa jimbo la Kilwa Kaskazini, baadae akaangushwa na mbunge wa Cuf ambaye ni mpwa wa marehemu Kingunge Ngombale Mwiru aitwae Vedasto Ngombale.
Baadae...
Usiku wa leo kwenye kipindi cha Sports Extra ya Clouds FM mwenyekiti wa Simba upande wa wanachama alikua anhojiwa mambo mbalimbali kuhusu mwenendo wa klabu ya Simba na kile kinachoendelea sasa hivi ndani ya klabu hiyo.
Watangazji Biko Scanda, Shaffih Dauda na Alex Lwambano walikua wanaongoza...
Habari za wakati huu Wana JF, ni takribani wiki tatu Toka mkuu Wa maudhui clouds media group ndugu Sebastiani alivokuja na urithi Wa marehemu captain gadner G Habash na kutangaza warithi Wa jahazi. Miongoni mwa warithi alowatangaza ni:
✓George bantu
✓Hamisi mandi
✓Adam mchomvu
✓Bigchawa
✓Dj d...
Kituo cha Redio kinachomilikiwa na Nyota wa Bongo Flava pamoja na Mtangazaji Salim Kikeke kimemchukua DJ D Ommy aka “The INTERNATIONAL DJ! JITU na sasa ni “Head of Music Department” hapa CROWN Media. @djdommy pale ni Nyumbani.
WIKI YA MATUKIO Imeanza na TUKIO la kwanza la Kimkakati Limepigwa...
Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024.
Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na...
Nikiwa kwenye foleni nzito ya Jumamosi ya Jana iliyotokana na Mvua za Dar es Salaam, nimetune 88.5 mbele hapaendi nyuma hapaendi.
Gafla bin vuu kinaenda kuanza kipindi cha Rhumba saa 5/6 usiku. Mtangazaji DAKOTA anaingia studio anakarbishwa na wenzako kijiti, anapayuka mnifungulie Mlango...
Nasikitika sana sijui wanakosea wapi, hawapo kama wenzao wa Clouds Radio! Sijui wanafeli wapi?
Au ni bahati mbaya kwangu kila nikiingia kuiangalia nakuta vipindi visivyoeleweka.
Kama usiku wa Jana manyimbo TU yasiyoeleweka.
Nilikuwa nakifuatilia sana kipindi cha leo cha Sam Sasali na Tupa Tupa muda huu Clouds TV kipindi cha 360 lakini wamekatisha matangazo ghafla, shida ni nini?
Clouds FM imetangaza kuwa yale Mahojiano yao na Godbless Lema yamehairishwa.
Clouds FM wamsema mahojiano hayo yamehairishwa baada ya Godbless Lema kupatwa na dharura hivyo kuomba mahojiano hayo yasogezwe mbele
Pia Soma: Godbless Lema kutikisa Power Breakfast
Hii shule ipo njia ya Cocacola -Clouds, karibu kabisa na Bushoke Chips, hapa bhana asubuhi wazazi wanaleta watoto wao shule, basi hakuna parking, magari yanajaa barabarani na inasababisha foleni na usumbufu sana kwa watumiaji wa barabara hiyo.
Tunaomba uongozi wa shule uwajibike kuwa na mpango...
Anonymous (2ec0)
Thread
clouds
foleni
kupokea
magari
mbovu
mikocheni
njia
shule
utaratibu
JR. FARHAN WA CLOUDS TV HUNA UELEWA WOWOTE KATIKA MAHUSIANO YA MAPENZI; HUWEZI KUMHUDUMIA MWANAMKE ULIYEZAA NAYE BAADA YA KUACHANA NAYE UKABAKI SALAMA.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Sijui ulikuwa unatafuta sifa au kiki au vipi. Kama ni Kiki basi upo sahihi na hongera. Lakini kama ni kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.