"niliambiwa na viongozi wa Yanga kuwa nauza mechi iliniuma sana na nikipokuwa nawapigia simu hao viongozi waliokuwa wanatamka hayo maneno hawapokei simu yangu.
"Viongozi walikua wanamtukana mama yangu na kutoa matusi ya kumnyanyasa hata ingekua ni wewe ndugu mwandishi usingekubali kutukaniwa...
Mpaka vyombo vya Habari vimeliona hili, walimu mjitathimini vinginevyo mtadharaulika mpaka kufa kwenu. Mnachekwa mpaka na watoto wanadai mmekuwa ombaomba kwa kuwaomba wanafunzi wawanunulie Chai muda wa break na wakisema pesa hawana mnawachapa.
Walimu wengi mnawalazimisha wanafunzi wanunue...
Mkurugenzi wa Jamii Forums, Maxence Melo akizungumza katika Kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM anasema “Kwenye ulimwengu wa kidijitali wewe ni bidhaa ambayo inatokana na namna ambavyo wewe unachakata maudhui (algorithm).”
Hivi ndivyo mitandao inavyotengeneza pesa, kuna maudhui utayaona...
Habari wakuu,
Nimeshangaa sana kuona hii studio/chumba cha habari wanachotumia Clouds Tv katika kipindi cha Sports bar mpaka nikajiuliza kwa nini wameamua kufanya hivyo? Je, wamekosa resource? Ubahili? Au ukata?
Kwakweli chumba cha habari ni kama wapo ndani ya 'contena' au kabatini, Yaani...
Kama ni mfuatiliaji mzuri wa vipindi vya Radio, utagundua kuwa kuanzia saa 12 asubuhi kipindi cha Good Morning kutoka Wasafi FM kinasikilizwa sana mitaani, kwenye madaladala, magari binafsi kuliko ilivyo Power Breakfast ya Clouds FM. Nimeshindwa kuelewa tatizo ni nini kwa Clouds kupoteza...
Mmeshajua kuwa Adam Mchomvu hapendi Shobo na kwamba ukijaa tu katika 18 zake Unachapika kwa Kipondo chake Tukuka na cha Kishalubela kwanini Umchokoze?
Nimefurahi mno alivyotoa Dozi kwa mwana Yanga Mmoja na Msanii huku Yeye Adam Mchomvu akiwa ni mwana Simba Kindakindaki Mwenzangu.
Hopeless...
Limekuwa ni suala linalojirudia kila siku kwa Adam Mchovu kama sio kupiga watu basi kutukana ama kufanya mambo ya fedheha.
Kushindwa kwa uongozi wa Clouds Fm kuweza kumdhibiti na kumpa adhabu stahiki basi inamaanisha aidha anafanya upuuzi wake kwa baraka za uongozi wake ama ni mkubwa mno kuliko...
Clouds TV jana iliita muuza madawa ya kulevya anaeitwa Jack Cliff kuja kujitetea jinsi alivyokamatwa na madawa ya kulevya.
Taarifa za uhakika zinaonyesha kua mamlaka nchini China/Macau zilimkamata Jack akiwa na madawa ya kuelvya aina ya Heroine kilo 1.1 mwilini mwake na kupelekea kufungwa...
Baada ya kwa muda mrefu Clouds FM na Kipindi chao pendwa cha Sports Extra kutamba kwa muda mrefu kila Siku za Usiku wa Saa 3 hadi Saa 5 sasa wamempata Mpinzani wao mpya wa Kipindi cha Michezo cha Usiku.
Taarifa ikufikie kuwa kuanzia Wiki ijayo kile Kipindi pendwa cha E-Sports cha EFM...
Wakili mzoefu, Fatma Karume almaarufu shangazi leo amemtuhumu mtangazaji wa kipindi cha michezo cha Clouds FM, Prisca Kishamba kuwa ni muongo na yeye hamna kitu hapendi kama watu wanaofanya 'Assumption'.
Fatma alitengeneza swali na kumtaka mtangazaji amuulize upya kama alivyosema baada ya...
Kwanini clouds media ni wakabila sana. Almost wote ni wahaya na interview zao wanakuuuliza jina lako ili wajue we ni mhaya au la! Wapo wachache sana ambao siyo wahaya lakini wameajiriwa kwa bahati mbaya.
Hivi ni ujinga [kwa maana halisi ya neno ‘ujinga’]?
Uoga?
Kuwa na ajenda ya siri?
Kuwekewa masharti ya mahojiano?
Kutokujiandaa kikamilifu?
Au ni nini hasa?
Nimeyaangalia mazungumzo ya Tundu Lissu na Clouds Media 360.
Moja ya maswali ambayo nilitegemea wangemuuliza, hawakumuuliza.
Ni...
Lissu ameyasema hayo baada ya kuulizwa swali kwenye kipindi cha Clouds 360 ambapo mtangazaji alimuuliza Lissu yupo upande gani sababu mahasimu wake wa kisiasa wamekuwa wakimtuhumu kuwa supporter wa mapenzi ya jinsia moja kwakuwa anakaa ulaya.
Lissu amesema hizo ni siasa za maji taka na kwamba...
Hello wakuu Leo vyombo vyote vya habari, wametumia nafasi Yao vizur kujulisha wananchi Juu ya ujio, Mapokezi ya Makamu mwemyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu. Pamoja na Mkutano uliofanyika huko Temeke.
Lakini Cha kusikitisha Clouds Media imeungana na tbc hawakuipa umuhimu habari hiyo.
Katika kurasa...
Huyu mtangazaji wa Clouds anatumiwa na CCM kwa maslahi ya nani? Yuko laivu mida hii halafu anamuuliza mchungaji Msigwa "the forbidden question "
Jamaa amemuuliza Msigwa eti ni lini Mbowe ataachia nafasi ya Uenyekiti? Kwa kifupi Msigwa alishindwa kabisa kulijibu swali hili zaidi ya kuruka ruka...
Watu wengi tunaokusikiliza ukiwa Hewani tulikuwa tunataka tu Kujua Wewe ni Shabiki wa Timu ipi za Kariakoo na hatimaye leo tumekujua kuwa kumbe Wewe ni Yanga SC.
Mnafiki mkubwa Wewe muda wote Unaongea na Kuchambua kwa Hasira huku ukiitetea Yanga SC kwa kusema Kufungwa Kwao siyo Story.
Sasa...
Juma Kaseja ameanza kuchambua mechi za mpira kupitia kituo cha radio cha Clouds FM. Ikumbukwe pia Kaseja aliestaafu mpira msimu uliyopita, ana leseni ya ukocha wa makipa inayotambuliwa na CAF.
Unaonaje uwezo wa Kaseja?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.