clouds

  1. Kibosho1

    Yu wapi Benji Cosmo wa Caribian beat kila Ijumaa Clouds FM?

    Napenda rege na miondoko ya Caribian beat nk. Nakumbuka miaka ya 2007 hawa jamaa walikua 🔥 sana, Alikuwa Cosmo mwenyewe na Dj alikuwa Bula na jamaa mwingine sikumbuki jina lake. Niliipenda sana rege kwa jinsi wajamaa walivyokuwa wanaendesha kipindi hicho. Nasikitika kwa sasa kipindi hiki hakipo...
  2. Tengeneza Njia

    Clouds Tv shida ni nini?

    Jamani ni mimi au na wenzangu mmeona hiki! Mimi ni mdau mkubwa sana wa chaneli ya Clouds kwa muda mrefu sana, lakini naona siku na miaka inavyoenda ubora(si wa vipindi pekee) na hata muonekano wa baadhi ya vipindi vyao umedorora! Issue ni budget, kukosa creativity au ndo dalili za kukata tamaa...
  3. N

    Clouds FM wanaongea muda huu kuhusu Super League

    kwani clouds fm hamjui kwamba congo hawapo cecafa? Mazungumzo mengii mnazitaja mazembe na as vita, kwani nyie ni vilaza? Hapa teams nane zitatoka south africa, sudan, ethiopia,zambia,angola.. Tanzania nchi hairuhusiwi kutoa zaidi ya teams 3. Hao wacongo wako zone ya central and west africa
  4. N

    Shayo Abiud wa Clouds FM anasikitisha kwa kweli

    Hakuna mtanzania asiye shabiki wa simba/yanga kama hawapo ni wachache sana, hata hao wachambuzi wa michongo wa nchi hii wote wamegawanyika katika teams hizi mbili Kwa mfano kitenge ni Yanga lialia hadi kwenye matamasha hutumika kama MC, Ibrahim Masoud maestro huyu aliwahi hadi kuwa kiongozi wa...
  5. sinza pazuri

    Lizer afunguka ya moyoni: Diamond alikuwa analipia nyimbo za Wasafi kupigwa Clouds

    Producer namba moja wa muziki East Africa wakuitwa Lizer Classic ametoa za ndaaaaani kabisa namna Clouds na Wasafi walivyofanya biashara ya muziki. Alitoa comment hiyo akimjibu shabiki kaukau wa mtandaoni.
  6. N

    Harakati za kanjanja la clouds utopoloni

    Aiseee huyu kijana kama hawajampa kitengo wampe tu hapo utopoloni kwa kweli, kajivika mabomu haswa na kaingia vitani kwelikweli Hiyo harusi nitashangaa kama hawatachangia atleast millions 50 he deserves it...hapo ukimuuliza kwamba ilikuwaje senzo akaweka booking ya kambi uturuki last month...
  7. N

    KANJANJA LA CLOUDS: sema na hili la mrundi usigharamiwe harusi

    Mzee chawa mwenyewe full shobo dundo usizojua hata kuzi balance,zee la kuleta historia za miaka 6 hadi 10 ya new signings za utopolo naku challenge useme hili kuhusu bwana Bigirimana kama utagharamiwa harusi yako na maboss zako hao unaojitahidi kuwafurahisha na somo la historia Bigirimana...
  8. Roving Journalist

    Mkurugenzi wa JamiiForums, Maxence Melo anazungumza ndani ya Ugali wa Taifa ya Clouds TV, Juni 30, 2022

    Maxence Melo amesisitiza suala la JamiiForums kutaka kujitanua na kuzifikia nchi nane za Afrika ili kuwapa watu wa nchi hizo huduma ambayo watanzania wamekuwa wakiipata pia kukuza Kiswahili. Suala la umuhimu wa faragha ni suala alilozungumza kwa undani akitaja mfano wa watu kuandika majina...
  9. Mr. JF

    Chips Zege ya Clouds

    Imagine zama hizi ambazo dunia nzima inapambana na magonjwa yasiyoambukiza (Non Communicable Diseases) yakiwemo Magonjwa ya Moyo, Sukari, Cancers etc, ni nyakati ambazo dunia nzima inasisitiza kuepuka vyakula vyenye viashiria vya visababishi vya Magonjwa haya (kwa mfano kuepuka vyakula...
  10. M

    Hongereni sana Clouds Media Group (CMG) kwa Kumrudisha Mburudishaji na Mchangamshaji katika Radio na Television Mbwiga Mbwiguke

    Nina uhakika Kitendo chenu cha Kuachana nae (Retrenching Him) pamoja na Watangazaji wenu Wengi wakiwemo Watangazaji Maarufu (Ninaowahifadhi) ambao wanafikia 27 mlitupoteza Wasikilizaji wenu. Ni Wiki ya Tatu sasa namsikiliza Mtangazaji Mburudishaji na Mchangamshaji Mbwiga Mbwiguke akiwa Clouds...
  11. Dr Matola PhD

    Je, ni sahihi kwa DSTV kuziweka ITV, EATV, Clouds TV na Channel Ten kwenye chaneli za kulipia?

    Huenda mimi ndio sielewi basi nielimishwe, lakini kwa upeo wangu mdogo ninavyojua mimi hizo channel ITV, eatv, clouds na channel ten ni FTA channels sasa inakuwaje kifurushi cha Dstv kikiishia wanakuachia Tbc peke yake? Mimi nina king'amuzi pia cha Star times hawa air time ikikuishia free...
  12. L

    Mwijaku: Arusha ndio mji pekee Mlima Kilimanjaro unapatikana

    Akihojiwa na mwandishi wa habari wa kituo kimoja cha tv katika uzinduzi wa filamu inayotangaza vivutio vya kitalii Tanzania. Mwijaku ameulizwa kwa nini uzinduzi wa filamu ya Royal Tour unafanyika Arusha? Amejibu kwa sababu mkoa wa Arusha ndio mji unaopatikana mlima Kilimanjaro. Mwijaku amekuwa...
  13. N

    "Mchambuzi" huyu wa Clouds fm alimaanisha nini na akafuta hii tweet chonganishi?

    kwa kweli nchii hii ina safari ndefu embu jionee maarifa na uwezo "mkubwa" wa wachambuzi wa kibongo a.k.a ma genius, huyu bwashee kajiandikia ka tweet chake halafu kafuta.
  14. W

    Queen Clouds

    UPDATE: nimefanikiwa kumpata huyo mrembo Queen Clouds , thanx to John Dilinga , huyu dada alikua dancer miaka ya late 80's and early 90's , enzi hizo ni kuna gazeti la Mfanyakazi ndilo lilokuwa na habari za entertaiment za kutosha . Kwa wanao kumbuka , kipindi fulani miaka ya late...
  15. H

    Watangazaji Clouds Media wapendekeza siku ya kuzaliwa Rais Samia Suluhu ingizwe kwenye kalenda ya kusheherekea

    Watangazaji wa clouds Media kwa niaba ya media imependekeza siku ya kuzaliwa ya mhe Raisi Mama Samia Suluhu ingizwe kwenye calendar ya kusherekea siku ya kuzaliwa kama ilivyo Nyerere day n.k iwe sehemu ya siku ya kitaifa
  16. N

    Bata la Dar "Clouds Fm" vs Komaa Concert "Efm" Nani ni Nani?

    Nimesikiliza Clouds FM katika kipindi cha Power Breakfast leo asubuhi kutoka kwa watangazaji wa kipindi hicho Nanuu, " Wameamua kukuleta BM (Adam Mchomvu) baada ya vijana kushindwa..." Mwisho wa kunukuu. Nae Adam Mchomvu alikiri Nanukuu, "Kuna eneo vijana wamepwaya ndio maana nimekuja..."...
  17. GENTAMYCINE

    Kwa mnaotaka Simu za 'Madili' na za Bei 'Nafuu' subirini baada ya haya 'Matamasha' ya leo ya EFM na Clouds FM mtazipata kwa Wingi tu

    Nimepishana na 'Coasters' mbili za 'Masela' na Wazee wa 'Ndole' tupu zikielekea Tanganyika Packers Kawe walipo EFM na Tamasha lao na nyingine ikielekea Leaders Club Kinondoni waliko Clouds FM na Tamasha lao, na kwa zile 'Sura' au 'Nyago' nilizoziona nina uhakika kuanzia Kesho Asubuhi huenda...
  18. C

    Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

    HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017 Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa...
  19. M

    Mchambuzi Privaldinho wa Clouds FM tafadhali acha Kutuzidishia Machungu na Kutupandisha Hasira Watanzania wapenda Soka

    'Sasa ni Saa 12 na tupo hapa Uwanja wa Ndege JNIA tukijiandaa Kuruka kwenda nchini Madagascar. Tunawaombeni Watanzania wote mtuombee tufike Salama, tucheze na tushinde Mechi na twende QATAR Mwakani,' Privaldinho Chanzo: Clouds FM Sports Extra leo. Kwahiyo tuwaombee muende mkafungwe tena au...
  20. Dr Matola PhD

    Clouds media na utapeli wa mchongo wa clouds kupitia kipindi cha 360

    Leo nimepata wasaa wa kuangalia local channel clouds tv kwakuwa mimi si mshabiki wa local channel ni nadra kwangu kuangalia hizi channel. Wakati naangalia porojo za kipindi cha 360 ndipo nikagunduwa hawa clouds kupitia kipindi hiki cha 360 nimebaini kuna utapeli unaendeshwa wameupa jina la pata...
Back
Top Bottom