Kuondoa utata clouds wambieni walimu kutoka mikoa tofauti tofauti wapige sm wawambieni lini na wapi walimu walipewa mafunzo ya hii mitaala mipya, zaidi nao wanasikia na kuona kama wazazi.
Pili halmashauri gani imepokea vitabu vya kujifunza na kujifunzia vya hiyo mtaala mpya.
Waache siasa...
Makonda hata ajifarague na kujibaraguza vipi mbele ya watanzania, yeye ni jambazi, mtekaji, mporaji na muuaji.
Niliowataja hapo juu walitoa shutuma za uhalifu wa Makonda hadharani kabisa.
Cloudsmedia walirusha kwa masaa 3 kwenye TV, shutuma za uvamizi wa Makonda kwenye jengo lao la matangazo...
Taarifa yake hii hapa .
Ikumbukwe kwamba Clouds media ndio kile chombo cha habari kilichovamiwa kwa silaha za kivita na yule jamaa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM , jina lake limenitoka kidogo , mnaweza kunikumbusha .
Kuna watu wapo kwenye siasa wanataka kuwaweka ndugu zao waongoze chama cha walimu Tanzania. Kuna watu wapo kwenye mfumo wa CCM wanataka kukimiliki chama cha walimu Tanzania
Kufanikisha malengo yao wamewachukua Makada wa CCM na kuwapeleka studio kutimiza malengo yao.
Tuliona namna Serikali...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara, Mwekezaji wa Kimataifa, Bilionea Joseph Mbilinyi, asubuhi ya 23/11 /23, atakuwepo kwenye Clouds TV kwa mahojiano Maalum.
Usibadili Channel kwa Mawe Matakatifu.
Angalau wanajitahidi kuhoji vitu vyenye maslahi na nchi.
Leo wamembananisha sana yule afsa wa NIDA mpaka nimefurahi.
pia wamehoji vizuri lile swala la fine ya 75b. Hawa ndo wanastahili teuzi kama kweli mamlaka za uteuzi ziko makini.
Achana na takataka zingine kazi kujikomba komba tu ili...
Bado GENTAMYCINE naendelea kuzitibu Kucha zangu kwani nimezitesa katika Kuchakura Zawadi za Mchogo Pesa katika Majaba na nimeishia Kukosa na kuambulia Mchubuko mikononi kwani Michanga ilikuwa Mibichi na Imeshindiliwa Kunakotukuka.
Ila Clouds FM na hii Bahati Nasibu yenu ya Mchogo Pesa leo...
"Hela tuliyopata tumeenda kununua Mayai Viza, Kuku Mweusi na Udi na kumpelekea Mganga wetu wa Kienyeji na kwa jinsi tunavyoenda Kuwaroga Watatukoma" Shabiki wa Timu Moja inayoshiriki Michuano iliyosifiwa na inayosapotiwa na Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ya Ndondo Cup' kwa Mikoa...
Nipo hapa natazama the spark ya Clouds Tv kinachorushwa kila siku za wiki saa 11 jioni hadi 12.
Namwona Miss Lolo ambaye ni Mtangazaji wa kipindi amevaa blausi ya kijani mpauko kimeabdikwa "Your boyfriend Loves me".
Maana yake Rafiki yako wa kiume ananipenda. Watangazaji wa Tv huwa...
Wakuu, kila mtu apambane na hali yake ,
Kuna hivi. Viwanja wanatangaza clouds FM kwenye mji wameuita clouds city,
SQM 1 wanauza 8,000/-
Ina maana kiwanja cha sqm 800 ni 6.4M,
Viwanja hivi vipo sehemu inaitwa tundwi Songani, wanakupa ofa ya kulipa kwa miezi 33,
Sasa shida yangu kuja...
Clouds Media Group wamiliki wa Clouds TV, wameanza kupunguza wafanyakazi kwa namna ya kidhalikishaji na ukiukaji mkubwa wa haki ya Usiri na faragha.
Tumeona watangazaji kadhaa wakianikwa mitandaoni kwamba mikataba yao imeisha na wameachwa.
Tunaomba uongozi wa Clouds Media kuacha mara moja...
"Tumewaletea wana Yanga SC Mchezaji ambaye hatakama hatofunga Goli ila atahakikisha Mashabiki Wote Uwanjani wanaburudika kwa Maufundi yake ya Kuchezea Mpira" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe aliye Studioni sasa Spoti Extra ya Clouds FM.
Haji Manara (Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC) hakukosea...
Ni aibu kwa level ya Radio kama Clouds kuwa na matangazo yanayohamasisha watu kubet kila dakika. Ubunifu wa kupata mapato umeisha wamebaki kutegemea Buku Buku za wasikilizaji. Clouds imekua radio ya ajabu sana kwasasa. Kama hali imekuwa ngumu wauze hisa tu ili wapate mwekezaji mwingine.
Mbona...
SALAAM...!
Natumai muwazima kabisa. Well...!
Clouds FM (CMG) ni Radio iliyoleta mapinduzi katika huu muziki wa kizazi kipya na hata miziki mingine, tangu ilivyosemwa kuwa muziki wa Bongo Flavor ni uhuni watu waliukataa. Ila niseme tu, ujio wa radio hii uliwaaminisha WENGI sana kuwa huu muziki...
Kinachoendelea Clouds TV kutoka Leaders club ni aibu tupu. Pastor Mzimbabwe anayeishi London anawaburuza kama kawaida yao. Nawakunbusha kidogo utapeli wake wa zamani hapa.
Kama alivyo prophet Alfa Lukaku, mzaire , nani ya Johannesburg. Alifanya muujiza wa kumfufua mtu. Aliyejifanya kafa...
Ni vibe la hela yote, ni shangwe za volume yote, ni cheers za glasi zote kwa Mashabiki, Wafuasi na Wa-Cloudsnia wote ndani na nje ya Tanzania leo baada ya Mfalme wa show za mchana Mtangazaji Hamisi Mandi maarufu kama B Dozen, B12, B Twangala kutangaza kurejea rasmi Clouds Media Group baada ya...
Ipp Media na Clouds Media uzeni kampuni zenu kwa wawekezaji vijana wafumue na kuunda upya vituo vyenye muonekano wa kushawishi vijana kutazama channel zenu kwasababu mpo kizee sana channel zenu zimekaa kizee ndio maana vijana wamewakimbia na kwenda Wasafi Media ninyi mmeabaki na wazee na vijana...
Baada ya kuangalia mahojiano ambayo Feisal Salum amefanya na Clouds Media, nimeshangazwa sana na kitendo chao cha kuachia mambo ya "off-air" yaruke hewani tena kwa muda mrefu.
Kuna video ambayo imekuwa inasambaa ambayo inasikika Feisal akizungumza na Wakili wake pamoja na watangazaji wa Clouds...
Tukisema huyu dogo anapotezwa na washauri wake, hasikii. Kaenda clouds kuongea shits kumbe kuna watu wamempanga namna ya kuongea.
Kuna kundi la watu liko nyuma yake linampoteza bila yeye kujua?
Hivi huyu hana management?
Elimu Elimu Elimu, mzee Lowassa apewe maua yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.