clouds

  1. L

    Clouds, Mama ana Nyota yake, imetosha

    Nawasilimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tz.naona clouds wameanzisha promo ya praise and worship kwa mama. Ni hivi huyu mama hahitaji promo imetokea tu watu wengi kumpenda kama nyota za kina mama zilivyo amekuwa na charisma ya kupendwa hii promo mngeitumia hata kupinga vitendo vya ukatili...
  2. J

    Kama CAG amewaonea Clouds Media atashindwaje kuzionea taasisi nyingine kama ATCL n.k?

    Jana alisikika meneja wa fedha wa Clouds media akidai kuwa taasisi yake iliwasilisha kwa CAG risiti zote za kielectronic kama alivyoagiza na siyo kweli kwamba kuna utata katika malipo waliyolipwa na wizara ya maliasili na utalii. Ndiposa natafakari kama meneja huyo wa fedha bwana Masoud anasema...
  3. Kinuju

    Clouds yatoa ufafanuzi malipo ya TSh milioni 629 yaliyotajwa na CAG

    Meneja wa fedha wa kampuni ya Clouds Media Group, Issa Masoud amesema walitoa vielelezo vyote ikiwa ni pamoja na stakabadhi kwa Wizara ya Maliasili na Utalii kufuatia malipo ya Sh 629.7 milioni kwa ajili ya matangazo ya tamasha la urithi mwaka 2018. Masoud ametoa ufafanuzi huo leo Alhamisi...
  4. M

    Tafadhali anayeuelewa Utangazaji wa Samuel Nathaniel Sasali wa Clouds 360 anieleweshe

    Moja wapo ya Kanuni za Utangazaji hasa wa Runinga ni Mtangazaji Kuuvaa Uhusika hasa wa Jambo fulani unalolitangaza ili Hadhira nayo ikuelewe. Tuko katika Kipindi cha Majonzi cha Kushangaza Mtangazaji huyu Samuel Nathaniel Sasali wa Clouds 360 hayupo Kimsiba Msiba na Yeye muda wote tu ni Kufanya...
  5. 2019

    Wachambuzi wa Clouds FM hawana weledi

    Yani jana nimeishushia hadhi sana hii radio hasa kipindi cha michezo. Binafsi sina ujuzi wowote wa kuchambua mpira lakini game ya jana kati ya Barca na PSG nilijua kabisa Barca anakufa, jambo la kushangaza kila mchambuzi akadai PSG hana pa kutokea kwa Barcelona. Wachambuzi kama hawa wamaweza...
  6. kidadari

    Baada ya kutamba sana Clouds Tv "dead and Gone"

    Ni siku kadhaa sasa clouds Tv haionekani kwenye kingamuzi za Azam. Wenyewe wapo kimya hakuna updates wala taarifa yoyote kama kuna tatizo ama lah. Sio kawaida kwa Tv station kama Clouds kua na kimya cha namna hii. Ilitegemewa baada ya Wasafi Tv kufungiwa wao wangejitahidi kuteka soko ila...
  7. kidadari

    Clouds TV sasa imejifia kimya kimya

    Ni siku kadhaa sasa clouds Tv haionekani kwenye kingamuzi za Azam. Wenyewe wapo kimya hakuna updates wala taarifa yoyote kama kuna tatizo ama lah. Sio kawaida kwa Tv station kama Coluds kua na kimya cha namna hii. Ilitegemewa baada ya Wasafi Tv kufungiwa wao wangejitahidi kuteka soko ila...
  8. chongoe

    Ushauri kwa Simba wapige stop habari zao kwa Clouds

    Nawaomba uongozi wa simba waipige stop kuzungumzia simba kwa njia yoyote ile sababu ukiona simba inazumziwa sana clouds basi tambua kuna jambo baya hapo kwenye mema wala watazungumza hata dakika moja haishi, kwa sababu hiyo nawaomba iwazuie clouds kuizungumzia kama ilivyokuwa radio one miaka...
  9. GIRITA

    Wasafi TV inabidi mkajifunze kwa Clouds TV namna ya kurusha vipindi mubashara

    Hii media imekuja kwa kasi sana, kweli mmeweza kukamata pakubwa kwenye tasnia ya habari mawasiliano na burudani. Lakini bado mnasafari ndefu sana kufikia media zilizotangulia, msijione mnaweza kufika 10 kabla ya kuanza 1, ni vema kujifua zaidi kupata maujuzi kabla ya kuanza kufanya mambo ambayo...
  10. luangalila

    Clouds FM uvumilivu umewashinda, waanzisha kipindi cha michezo asubuhi

    Hatimaye Clouds FM moja kati ya redio kubwa Tanzania imeanzisha kipindi cha michezo asubuhi kiitwacho Hili Game. Ikumbukwe Efm ndio mwasisi wa kipindi cha michezo asubuhi kitwacho Sports HQ. Zamani ili kuwa nadra sana Clouds ku-adapt mifumo ya vipindi vya redio zingine hakika katika hili ni...
  11. H

    Clouds Media imepoteza mvuto

    Naona kabisa moja Kati ya redio iliokuwa na power Sana kwenye enteinment Ni hii.Ukiangalia miaka ya nyuma ukipita nyumba 7 basi Kati ya hizo 5 utakuta zinasikiliza clouds fm ila kwasasa hiv Hali ya imebadilika clouds imepata ushindani mkubwa kutoka Wasafi media na Efm ila hasa hasa Ni Wasafi...
  12. crankshaft

    Clouds na EATV muwe mnawapanga wasanii kabla ya kuwafanyia interview, wanawaaibisha!

    Karibuni clouds wamekuwa wakiandaa show na wasanii kutoka nje ya nchi. Kimbembe kimekuwa kikijitokeza kwenye interview na wasanii hao kwani jina la Diamond limekuwa haliepukiki. Juzi juzi kwenye kipindi cha Friday night live EATV msanii kutoka Zimbabwe king 98 kamtaja mondi mpaka kero...
  13. crankshaft

    Diva Thee Bawse aikacha Clouds Media

    Bila kutaja sababu, kupitia ukurasa wake wa instagram diva the bawse ametangaza rasmi kuacha kazi. Ameandika hivi:
  14. J

    Clouds 360 mbona kama mmeishiwa pumzi baada ya kutoka kifungoni? Wapi Babie Kabaye na Sam Sasali?

    Nauliza tu menejimenti ya Clouds Media Group (CMG) kwamba hiki kipindi cha Clouds 360 mmeamua kubadilisha watangazaji baada ya kutoka kifungoni? Mbona hawa watangazaji wapya mliowaleta hawaendani kabisa na swaga za hiki kipindi? Mnatuchosha bhana. Ngoja nirudi Baragumu ya Albert Kilala kule...
  15. J

    Clouds wamaliza adhabu ya TCRA warudi hewani kwa mbwembwe!

    Hatimaye Clouds Media Group wamemaliza kutumikia adhabu ya kifungo cha siku 7 waliyopewa na TCRA na wamerudi hewani rasmi. Kinachoendelea sasa luningani ni sherehe ya wafanyakazi baada ya kutoka kifungoni, ni full shangwe. CCM hoyeeee! Maendeleo hayana vyama!
  16. Tulimumu

    Poleni sana Clouds FM na TV kwa adhabu kali mliyo pewa

    Nime sikitishwa sana na adhabu ya kuzima mitambo na kutofanya biashara kwa muda wa siku saba yaani wiki moja kwa kile kilicho elezwa kuwa mlitangaza habari za kweli lakini hamkuwa na mamlaka ya kutangaza. Poleni sana. Habari zile zili tangazwa na vyombo vingine na mitandao ya kijamii na zilitoka...
  17. Roving Journalist

    Clouds Media wafungiwa kwa siku 7, kwa kutangaza Takwimu za Uchaguzi ambazo hazijathibitishwa na Tume

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevifungia vituo vya habari vya Clouds TV na Radio kwa siku saba kuanzia kesho Agosti 28 na adhabu ya kuomba radhi siku nzima ya leo kwa kosa la kukiuka kanuni za utangazaji na kanuni ndogo za utangazaji za Uchaguzi. TCRA imesema kosa walilolifanya ni...
  18. CalvinKimaro

    Usiahidi mbingu wakati mawingu huyafikii. Don't promise the sky while the clouds are out of your reach!

    Tukumbushane ahadi, 1. Serikali ikikamata makenikia itabamizwa mahakama za kimataifa. Hewa! 2. Huu ni mwaka wa kudai demokrasia lazima katiba na tume huru kabla ya uchaguzi. Hewa! 3. Tanzania itatengwa maana dunia ni kijiji. Hewa! 4. Uchumi umevurugwa nchi itaingia matatizo makubwa ya...
  19. GENTAMYCINE

    Hadi Kesho nisipoona Clouds Media Group, MCT, TCRA na Serikali ( Wizara ) husika vimemchukulia hatua Kali Mtangazaji Adam Mchomvu nitawadharau mno

    Hatuwezi kumuacha Mpuuzi Mmoja kwasababu tu ya Mibange yake na Malezi yake ya hovyo hovyo atuchafulie Tasnia yetu nzima nchini Tanzania.
  20. R

    Adam Mchomvu aomba radhi, asema alikwazika

    “Dear #WashkajiZangu, kwanza nimuombe radhi Rais wetu wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Pili kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuniamini na kunipa nafasi ambayo bahati mbaya ilitokea tukapishana kauli jukwaani na Bwana ndugu Msanii mwenzangu, nimepokea simu mbalimbali za Viongozi wa Serikali...
Back
Top Bottom