computer

  1. Computer inauzwa bei 230k ram 8, ssd 128

    Bei ni 230k nipo dar Problem ni hii nilinunua mwezi wa kwanza mwaka huu refub, ishu ni inapassword kwenye eufi sijui ni bios (ambayo siijui na niliponunulia warranty ni miez sita) Ram 8GB, Ssd 128, Battery 3hrs Bei maelewano
  2. D

    Computer4Sale ACER cx 708

    ACER cx 708 8GB RAM, 500 HDD 19" Monitor Window 10 Pro Bei 330000
  3. P

    Institute of accountancy Arusha (IAA) Complaint Regarding Delay in Issuance of Bachelor of Computer Science Certificate

    am writing to formally express my complaint regarding the delay in receiving my Bachelor of Computer Science certificate, which I completed in 2023 at your institution. It has now been over one year and four months since I graduated, yet I have not been able to obtain my certificate. This delay...
  4. Naomba Usharuri Mimi ni kijana wa Mwaka wa Kwanza Computer Science Nina shauku ya kutoka na GPA kuanzia 4.5 mpaka 5 Je nizatie jambo gani na gani?

    Naomba mtu yeyote mwenye experience anipe mawazo je hawa wanafunzi wanaopata GPA hizi za juu huwa wanafanya Jambo gani na gani?
  5. Kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?

    Wadau msaada Je, kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?
  6. Alan Turing: Baba(pioneer) wa computer za kisasa aliyeishi maisha ya utata kama shoga na kufa kifo tata kilichohusisha ushoga wake

    Alan Turing anachukuliwa kama baba(mwanzilishi) wa computer za kisasa, Muingireza aliyezaliwa mwaka 1912 na kufariki mwaka 1954 katika kifo chenye utata mkubwa akiwa na miaka 41 tu. Huyu ndiye aliyepangilia na kurasimisha nadharia za ufanyaji kazi wa computer za kisasa na pia kutengeneza Turing...
  7. Computer classes

    Natoa computer courses for beginners na computer programming classes pia. Ms-office, excel, PowerPoint, access, publisher na programming classes kama c,c++, java. Mwenye uhitaji piga 0759-124378, nipo mbezi ya kimara.
  8. Computer4Sale Naunza computer imezima ghafla

    Bei 70k Niyamtu hivyo hatujui inaram ngapi wala hdd wala tatizo Imezima muda kidogo (kwa mujibu wa aliye nayo)
  9. Computer ya IBM mwaka 1947: Wazungu wametoka mbali sana.

    Huyu ni Computer engineer, hapa anafanya wiring mwaka 1947 safari ya wazungu katika suala la Tech wametoka mbali sana
  10. Ipi kozi bora kati ya Computer Engineering na Civil Engineering?

    Nimepata nafasi ya kuchaguliwa na vyuo viwili hapa Tanzania chuo cha kwanza nimepangiwa kusomea civil engineering na chuo cha pili nimepangiwa kozi ya computer engineeringi. Wana JF nipeni ushauri kati ya kozi hizo mbili ipi ni marketable?
  11. Wakali wa IT Programming, wazee wa Games na application za computer zinazohitaji machine ya maana hii hapa sio ya kukosa

    SOLD
  12. COMPUTER CLASSES AND AWARD VERIFICATION NUMBER

    Hellw jf,kwa mwenye shida na AWARD VERIFICATION NUMBER(AVN),tupo kukusaidia na kukushauri.Pia tunatoa huduma ya computer classes for beginners i.e introduction to Ms-Word,Ms-Excel,Ms-Powerpoint,Ms-Access,Ms-Publisher na Internet and website.Pia tunatoa programming classes i.e Introduction to C...
  13. E

    Nimechaguliwa kusoma Computer Engineering nisaidieni!! Vipi ajira zake zipo?

    Nimechaguliwa DIT kusoma computer Ingineering naomba kujua fursa Zake katika kujiajiri kuajiriwa pia! Niongozeni wakuu.
  14. Kwa sasa nchini Tanzania tuna watu wazuri katika IT au tunaweza kuziita computer issues

    Kwa nini Hawa watu tusiwaekee forum Yao na kiuwezeshi kidogo ili waweze kuibua mambo mapya katika computer technology.
  15. Je, naweza badili matumizi ya monitor ya computer na kuitumia kama screen ya kawaida na kuiunganisha na king'amuzi?

    Swali langu ni hilo tu, sina mengi. Awali ya yote natoa shukurani kwa watakaochangia.
  16. Tuna Service, Repair & Maintenance aina zote za Computer

    Lete Computer yako mbovu tukutengenezee! Tunafanya Services aina zote za Computers Tunauza Spares & Accessories za Computer aina zote Tupo Ilala Dsm 0718290779
  17. Z

    Computer4Sale Laptop and computer accessories

    Kwa mwenye uhitaji wa vifaa vya laptop na vya computer kama vile adapters ,keyboard, mouse,battery za aina zote display ,display port,hard disk ,external case na vingine vingi naomba nicheki kwa namba hizi 0622793422 au fika kariakoo MTAA wa ndanda ulizia duka la doris laptop and computer...
  18. M

    Nina kipaji cha kuchora kwa kutumia computer, nawezaje kukitumia kutengeneza pesa?

    Naombeni mawazo yenu wadau nawezaje kutengeneza pesa kupitia kipaji changu.. nimeambatanisha sample za michoro
  19. E

    Computer Science inaongoza kutoa wadau wengi waliofanikiwa duniani

    Orodha ya Watu Waliosoma Computer Science na Wamefanikiwa 1. Elon Musk - Mwanzilishi wa SpaceX na Tesla(Japo alisoma physics na economics lakini Computer science imemtoa) 2. Mark Zuckerberg - Mwanzilishi wa Facebook (Meta). 3. Bill Gates - Mwanzilishi wa Microsoft. 4. Larry Page - Mwanzilishi...
  20. Mfundishe mtoto bado mdogo programming computer sio aje kukukuta ukubwani ndio maana tunazidiwa na wenzetu

    Programming computer ni mfumo wa lugha za vifaa ambavyo vyenyewe vinajua moja na ziro tu. ila kutokana na uwezo mfumo wa digital moja ziro ndio zinaweza kutambua mamilioni ya ziro na moja kwa wakati. Vifaa vyote tunavyotumia kuanzia simu,computer,mawasiliano kama internet na vyote kwa ujumla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…