N:B: Sihitaji idea za PS, kamari, forex, bitcoin.
habari zenu wana tech, naombeni mnipe ideas
Nipo mazingira ya mjini
binafsi ni muajiriwa lakini ni mdau mkubwa sana wa side hustles
Nahitaji wazo au vifaa / huduma walau kuingiza elf 10 kwa siku,
niliwahi kufungua banda la games tatizo kubwa...