Nimeona kuna computer nyingi sana aina HP, ususani nataka kujua kuhusiana na izi laptop aina ya HP, nataka kujua zipi lianza kutoka mpaka muda huu zipi ndio zipo updated sokoni, (hapa nataka kueleweshwa mfano kama ulivyo Iphone, ilianza iphoe1, ikaja iphone2, ikaja iphone3, ikaja iphone4...