Printer ni HP
Laptop ni samsung
Computer ni ONDA
Bidhaa zote zilikuwa zinatumika ofisini
Bei laki 7 fixed for all
Location Dar es salaam
Communication 0625825641
Wakuu naombeni mnitajie maarifa ambayo kama nikiamua ku deal nayo nikayapa muda wa kutosha kujifunza katika mtandao basi nitapiga hela maana nasikia Kuna watu wanasema pesa ipo tu hewani ni wewe tu kuidownload yaani kuivuta ndo maana tunaona vijana wanakunywa tu bia na kushinda bar.
Halafu...
Salam ndugu zanguni.
Naomba kufahamu ni desktop computer yenye sifa zipi inauwezo wa kufanya kazi za kuzalisha na kuhariri picha za video, naomba kusaidiwa hili kwa wataalamu wa humu jukwaani wanaofanya kazi hizi na wasiofanya.
Inatakiwa iwe ya gharama za chini kabisa kuliko zote,Nataka kujua...
Habari wakuu.
Ni wapi zinapatikana Computer used nzuri kwa bei ya jumla?
Nitapata kwa Tshs. Ngapi kwa pc 1 kutokana na specifications za computer husika? Yaani bei ya kila pc na specifications zake.
Kwa wanaofahamu ma Supplier wa China na Dubai watujuze pia.
Kwa mzigo wa kutoka nje gharama...
Hellow wanajamii?Habari,Ninatafuta kazi ya kufundisha soma la Basic Computer Application katika vitu vifuatavyo.
1.Introduction to Computer
2.Microsoft Word
3.Microsoft Excel
4.Microsoft Publisher
5.Microsoft Powerpoint
6.Microsoft Excel
7.Internet and email
Pia nafundisha na basics of...
Habari za sasa hivi wakuu. Msaada PC yangu inagoma kuleft click. Kwaiyo nikahamua kutumia external mouse nayo imeanza kumisbehave inaji double click sometimes msaada jamani nashindwa kufanya kazi
Habari wana JF, Naitwa SAM.
Nafundisha Computer Applications ( Computer Basics,Maintanance,Excel,Word,Power point,Publisher,Internet & Emails) & Computer Maintanance(Repair, Windows Installation, assemble and disassemble), kutengeneza website kwa kutumia wordpress au wix, hata kama hujui...
Kuna watu wanaleta utetezi kua mitandao ambaayo haijabadilisha vifurishi ni kutokana na suala la programing, pia kwenye gazete wanasema inaeeza kuchukua siku zaidi ya nne, mpaka leo hii bado mitandao hiyo haijabadilisha vifurushi.
1. Je, ni kweli wataalamu wa serikali wanaamini kua system...
Kuna mtu nimempipia simu ikapokelewa lakin hakuongea nikakata simu,baada ya kukata simu ikaingia text inayoonesha. Connected,A,EXPW:ON,[URL="http://maps.google.com/maps?q=-3.379723,36.669060&t=m
Nikahisi kuna mtu ametumia google map kufanya tracking ni njia ipi atakayoitumia...
Nimeanza kwa umombo kwa title hapo juu. Nina degree ya uhandisi katika hii fani pendwa....
Nilikuwa mtu wa Mungu Sana wakati napiga security. Sasa katika eneo la ku compromise Akaunti za watu niliona natenda Dhambi.
Nawaza sana watu wanaodukuana.
Mimi sinauwezo wa kuhack hata Akaunti ya...
Nmechek youtube nkaona kuna kitu kinaitwa exagear kwamba unaweza run program za computer kama virtual dj au fl studio ukaweza tumia kweny smartphone ila kwang inagoma je kun mjuzi humu anisaidie.
Computer imejaa lakini nimegundua vitu vipo mara mbili mbili au zaidi. Yaani faili hilohilo lipo locations tofauti tofauti.
Je, naweza kuserch na kufuta at once libaki file moja tu.
Wakuu me so mjuzi wala, mzoefu wa computer na kutumia natumiaga kucheki movie, Na game, sasa kuna jamaa anauza computer aina ya Dell, lakini nilivo icheki ndani inatumia Window 7 XP, afu aiwezi kusoma CD Za DVD, Na mlango wake Ni mfumo, wa zamani hata kubadirisha uweke unao weza kusoma, DVD...
This error message is the one which appears after running a network troubleshooter on any version of Windows from Windows 7 and it indicates that there is a problem regarding your DNS server which is causing further Internet connection problems.
Your computer appears to be correctly...
Wakuu naomba ushauri: KIjana anafikiria kuanza masomo ya Diploma IT jijini Dar mwezi march/april 2021 lakini vyuo vyenye March intake ni vichache. Najua UCC wana dahili intake hiyo. Swali je ajitupe UCC au afikirie kusubiri September intake ambayo ina vyuo vingi? Kwa lugha nyingine je UCC ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.