Habari wana JF?
Nahitaji kujua aina za desktop computer ambazo ni nzuri zinazopiga kazi kwa ufasaha na zinadumu kwa muda mrefu nalifikisha kwenu naombeni ufafanuzi
Ahsante!🙏
Je, wewe ni mmiliki wa hospital, shule ama micro-finance yoyote na unahitaji huduma zetu tupo kwaajili yako.
Zendela company limited ni kampuni ya IT iliyopo dar es salaam na iliyojikita katika kutengeneza mifumo mbalimbali pamoja na kutoa huduma ya kumanage na kuintegrate mifumo yetu na TRA...
Salaam,
Mimi ni kijana wa kiume mwenye Umri wa Miaka 26 na makazi yangu ni Mwanza wilaya ya Nyamaghana. Mwaka huu 2021 nimehitimu Bachelor of science in computer science, Lengo la thread hii ni kuomba nafasi ya internship or volunteering opportunity (paid or unpaid), katika kampuni yoyote...
Habari wakuu,
kama kichwa kinavyojitangaza, mimi kama mtaalamu wa mambo ya kutengeneza mifumo mbalimbali ya computer, nawakaribisha kwa mwenye uhitaji wa mfumo wa aina yoyote, niko hapa kukusikiliza na kukuhudumia.
Mfano wa systems ambazo unaweza kuhitaji ni kama ifuatavyo ( Naomba udhuru kwa...
Baadhi ya key zilizopo kwenye keyboard ya computer hua ni Shortcut kwenye YouTube.
Hivyo ukiwa unatumia computer kuna baadhi ya key unaweza zitumia kama mbadala wa kipanya.
Baadhi ya shortcuts hizo ni;
1- kusimamisha video inayo play kwenye YouTube bonyeza Back space hiyo inatumika kama ku...
Najaribu kutest maji tu, Nina computer desk top All in one. ni nzuri sana kwa mtu anaetaka kufungua computer class.Ziko 17 ni dual core 2 na icore 5 ,Napendelea kuziuza zote kwa pamoja ibox me with your price
Samahani ndugu zangu, hivi nikisoma diploma ya information technology ninaweza nikaja kuchukua degree ya computer science au haiwezekani, please nisaidieni ndugu zangu.
Niliwahi kuandika na leo narudia ili angalau tutafakari kwa makini na ikiwezekana tuwasaidie Polisi na pia wanasiasa wa upinzani.Kila anayekamatwa jambo la kwanza ni kuchukuliwa compuetr na simu yake.
Zina nini hizi?
Habari wana JF
Leo nina mada fupi juu ya utofauti wa kazi za hawa watu watatu tajwa hapo juu kwenye kichwa cha habari katika sekta ya TEHAMA (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano) .
Mada hii itachochea wale ambao wanahitaji kuwa na uelewa wa maswala ya TEHEMA na pia kwa wale walio ndani ya...
Wakuu msaada wenu hapa.
Nina laptop yangu niliiacha kama miezi nane bila kuitumia baada ya kununua nyingine, sasa leo nimeiwasha ikawa ianawasha tuu taa zake na kuzima, pia haileti hata mwanga wowowte kwenye screen.
Wazee wa tech msaada wenu hapa tatizo linaweza kuwa ni nini?
Habari wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akiwa Soko Kuu la Kariakoo, amesema serikali imeunda tume ya watu kumi kuchunguza na kupata ukweli wa chanzo cha moto na athari zilizopatikana ikiwemo mali zilizoteketea, pia amesema Waziri mkuu yuko njiani kuja kukagua na kuongea na...
Nauza Computer CPU aina ya Dell, inauwezo mzuri pia ina internal storage GB 800.
CPU bado ipo katika hali nzuri,
niliacha kuitumia baada ya monitor (screen) yake kuvuja wino kwenye kioo baada ya kuanguka.
Ukinunua CPU nakupa Keyboard, mouse na cable zake zote bure.
Bei ni laki mbili tu.
CPU ipo...
Habari za kazi wakuu,
Kwa majina naitwa Hagai Anyimike, ni Fundi Simu, Radio, Tv na vifaa vingine vya umeme, lengo la kuandika uzi huu ni ombi kwenu hasa wakazi wa Dar es Salaam ikiwa unahitaji huduma ya kutengenezewa kifaa/vifaa vyako naomba unipe hiyo kazi nitakufuata hapo ulipo hivyo pia...
Habari,
Naombeni msaada wa wapi naweza kupata keypads za HP SPECTRE kama mnavyoona kwenye picha hapa chini, kama kuna mtu unazo naomba tuwasiliane tufanye biashara, Namba yangu ni 0687855558.
Hp spectre 360
Touch
cpu 2.5ghz
ram 8gb
ssd 256gb
core i5
silver
Nauza CPU ya Computer kwa bei nafuu
Ni Dell Vostro
Ram 4 GB
Hard Disk 800 GB
Bei laki mbili (200,000/=)
Ukinunua nakupa Keyboard na mouth bure
Nipo DSM, Tabata Kinyerezi
Nipo na computer yangu inatumia window 10. Tatizo kuu ni hili swala la bundle consumption. Inanyonya sana kiasi kwamba ndani ya dakika 3 nikiiacha moderm On nakuta nimetumia mbs zaidi ya 30..Kwa makadirio ya haraka ni zaidi ya mbs 10 kwa dakika.
Nimejaribu kucheki kwenye setting pamoja na...
Salamu sana kwenu JF experts na sisi wengine ma newbies.
Najichanga bajeti alau niwe na around 350k hivi. Kwa sasa imebakia kidogo tu ili itimie hiyo bajeti.
UHITAJI ni kwamba napenda kujifunza graphics hususani video editing na design mbalimbali kwa kutumia programs za Photoshop...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.