Nime soma course ya computer graphic miaka minne kutoka JWTZ Kama kuna mtu anatafuta kijana wa computer graphic anaye weza kutengeneza kama photoshop, photography, logo design, web design, app design, video director nipo hapa 4 years experience.
Lakini pia nina mafunzo ya ukamanda kutoka JWTZ...
Hello bosses........
Nadhan hii inawakuta watu wengi pia. Kuna muda unafanya decision bila kuwa na sababu yoyote ya msingi au logical. Hii wazungu hupenda kuiita 'gut feeling'. Yaan unaweza panga kwenda safari lakini ghafla tu unaamua kuahirisha halafu unasikia basi ulilopanga kusafiria...
Kama wewe ni mtumiaji wa kifaa hiki, hili jambo halitakuwa geni kwako!
Changamoto hii tumekuwa tukikumbana nayo kwa kiwango kikubwa na hapo hapo tusijue nini chanzo chake. Leo hii hebu tupate ufafanuzi ni sababu zipi hupelekea kutokea kwa jambo hili.
Sababu hizi ni kama ifuatavyo;
1. Laptop...
Mara nyingi kwenye kompyuta kumekuwa na milio mbalimbali kuonyesha kwamba Kompyuta kuna hitilafu mbalimbali, na hali hii inapotokea inakuwa ni vyema kutambua tatizo lipo sehemu gani hasa.
1. Sauti kidogo tu (very short beep) sauti hii huonesha kuwepo kwa tatizo kwenye Ubaomama (motherboard) Pia...
Habari,
Harddisk za desktop na Laptop Na CCTV Camera zinapatikana.
Zipo za ukubwa mbali mbali, kama 320GB, 500GB, 1TB, 2TB, 4TB.
Ukihitaji mawasilliano 0673330618
Habari Wanajamvi Natumai ni wazima wa Afya....Nilikuwa naomba kufahamishwa Je ni Wifi Adapter ipi ambayo naweza Tumia kwenye Computer bila Tatizo na Yenye kasi zaidi.
Ninazo GPS za aina mbalimbali kwa ajili ya vyombo vya moto, TV, Computer, n.k..
Zina sifa zifuatazo.
1. Ina uwezo wa kuzima chombo kwa kutumia simu yako.
2. Ina Live location na live tracking.
3. Unaweza kuset fence chombo chako kikiingia au kutoka eneo fulani upate taarifa.
4. Inahifandhi...
Je! Unajua unaweza kudukua Iphones?
Unafahamu ndicho chanzo cha tajiri namb 1 duniani Jeff Bezos kuachwa na mkewe?unafahamu aliyefanya hilo tukio ni King Salman kiongozi wa Saudi Arabia?
Kuna imani kwamba iphones zina strong security ni ngumu kuichezea, inawezekena! Swala la kudukua...
Solid State Driver (SSD) Ndo suluhisho la uzito wa Computer yako! Simple tu Unatoa Hard Disk unaweka SATA SSD ata kama machine yako ina Ram GB2 lakini ukiwa na SSD Computer yako itakuwa nyepesi kuliko mwenye Computer yenye RAM 8 alafu inatumia HARD DRIVE yakawaida.
Sio bei kubwa mdau wangu, ni...
Umeshawahi kujiuliza hivi ubongo wa binadamu na computer kipi kina uwezo Zaidi?, basi hili swali ni moja ya swali maarufu sana ambalo wanazuoni wengi wamekuwa wakijiuliza na kulifanyia utafiti, kwa miaka mingi.
Wengine wamejaribu kulimit comparison katika Nyanja nne ambazo ni ,
Energy...
WAKUU NINA MILIKI COMPUTER (DESKTOP) YA KAWAIDA TU, RAM GB 3 HDD GB 500 ILA IPO TU HAINA KAZI NAWEZAJE KUITUMIA KUINGIZA KIPATO MAZINGIRA YA MJINI?
Nilishawahi kuitumia kwenye mambo ya stationary, na library, pia nina uwezo waku edit video,(video production), kiufupi napenda sana kutumia...
POST AGRICULTURAL TUTOR II – COMPUTER SCIENCE – 5 POST
EMPLOYER Wizara ya Kilimo
APPLICATION TIMELINE: 2022-07-23 2022-08-05
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.To read and understand the Curriculum in order to be able to translate them into specific learning and teaching modules...
wapenzi wa kuondoa ujinga na kuongeza maarifa mnisaidie napata wap chuo chenye cheti cha kuthaminika kwa kozi nimetaja! mhusika wangu amehitim f4 mwaka 2021.
nisaidien wide range of choices. uzazi kazi!
St. Mary’s International Schools is looking for a computer course teacher for our Dodoma campus. Applicants should have a university degree in Education or Computer Science, at least 2 years of prior teaching experience, fluency in English and the ability to teach programming and typing.
We are...
Habari wanajamvi, nina TV pamoja na desktop computer, nikiunganisha vifaa hivi kwa kutumia HDMI Cable, nina uwezo wa kutumia TV kama monitor, ila sasa mtihani ni kuwa nahitaji pia vile vile kuona kile kinachoendelea kwenye TV ionenekane pia katika computer. Je ni njia gani naweza kuitumia...
Kwa wale walioko kwenye soko la kuuza used computers na spare part au accessory zake na wanatafuta soko la kununua vifaa hivi kwa bei poa ya jumla karibuni UAE, soko linajitosheleza kabisa, unachokitaka kwenye hili soko utakipata, model kuanzia 2010 and above.
Kwa maelezo zaidi niletee DM
Katika kipindi ambacho technology iko Kasi pia fursa nyingi zinafunguka kwa vijana wanaoitaji kujiajiri.
Saan agency tunakupa mafunzo yatakayo kufanya uweze kujiajiri mwenyewe.
1. Tutakufundisha matatizo mbalimbali yanayoikumba computer au simu yako upande wa software na hardware na jinsi gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.