Nina shida ya computer, Windows 7 Pro
Inaonyesha imejaa lakini siyaoni hayo mafaili ya kujaza 150 GB.
Nawezaje kupata kitu kama listi ya mafaili yote yaliyomo kwenye computer, size yake na mahala yalipo ???
Kuna command prompt naweza kutumia?
- Recycle bin is empty
- Show hidden files and...
MHE. SONIA MAGOGO AKABIDHI VIFAA COMPUTER NA PRINTER KWA AJILI YA KUSAIDIA SHUGHULI NA UCHAGUZI WILAYANI HANDENI MJINI
#HandeniMjiniNiSoniaMagogoSasa.
#SoniaMagogoTenaMjengoni
katika fani ambazo zimejificha na siyo rahisi mtu kujua manufaa ya kusoma ni fani za Computer.
Zamani niliamini ya kwamba mtu hana haja ya kusomea Computer anaweza kujifunza kama vile ilivyo simu. Hivi na wewe unaamini kama nilivyokuwa na amini mimi au wewe unamtazamo gani mtu anaposema...
Tunatengeneza Computer za aina zote na kurudishia katika ubora Wake,,
Pia tunazo Software / Program Za Computer
Tupo DAR ES SALAAM
WASILIANA NASI 0628 880 380
Baadhi ya watu wamekuwa wakifanya OBD2 diagnosis kwenye magari. Ni kitu kizuri na kwa upande fulani kinaweza kurahisisha kutatua tatizo la gari husika hasa ukizingatia kwamba tatizo moja la gari linaweza kuwa na possible causes hata 10.
Tools zinazotumika kufanya diagnosis zipo za aina nyingi...
Hello bosses,
Kwenye maisha mara nyingi tunaamua kufanya kitu fln au kujenga hobby fln kutokana na kuona mambo yanayotuhamasisha kufanya hivyo.
Kwa wale coders, hackers au IT professionals ni nini kilikufanya uingie kwenye fani hio.
Binafsi nilivutiwa na movie fulani hivi ya zamani sana...
Wale woote wanaohitaji laptop za kuanzia laki mbili na nusu, zimekuja zipo pc 3
Sifa zake ni: hdd 80,ram 2gb,3 hours battery, warranty one year, bei tzs 250,000
Tupo Kariakoo , pia tuna tawi mbezi mwisho stand. Pia unaletewa ulipo Dar es salaam na mikoani tunatuma.
Piga :0713 03 98 75 kuwahi...
The Tanzania-Zambia Railway Authority (TAZARA) is a statutory institution owned by the two Governments of the United Republic of Tanzania and the Republic of Zambia on a 50/50 shareholding basis. Incorporated by the Acts of Parliament of the two contracting states, the Authority’s registered...
Drone Computer tumekuwa kwa muda mrefu tunawashauri watanzania juu ya elimu ya vitu vya ki-electronics hususani computer ikiwemo mambo ya kuzingatia kabla ya kununua, vitu vya kufanya na vitu vya kuepuka ili kifaa chako kidumu kwa muda mrefu n.k. Na leo tunakuletea elimu ya computer zainazotosha...
Sitakupa maelezo marefu sana ya kupoteza muda wako, ila umakini na faragha ni muhimu sana nyakati hizi za kimageuzi ya mitandao na ukuaji wa teknolojia.
Kwa watumiaji wa vifaa ya kimtandao kama simu na kompyuta iwe ya mezani au mipakato jaribuni sana kuwa na umakini ikiwa utaacha kutumia...
Utangulizi
Ni kampuni ndogo ya IT inayojishughulisha na ku manage website na ku manage kurasa za mitandao ya kijamii ya makampuni na watu binafsi, hivyo tunahitaji kuongeza watu zaidi kwenye timu yetu kwa ajili ya kutusaidia shughuli za kila siku.
Ajira
Wanahitajika watu wanne kwa ajili ya...
Hello wana JF,
Mimi ni kijana nimemaliza form four 2018, natafuta kazi nina ujuzi wa kutumia computer, pia nafanya kazi yoyote YA HALALI , pia nafanya kazi yoyote inayohsu mambo ya computer.
Msaada wenu wana JF niko Dar Gongo la Mboto
UDSM hizi kozi mbili zote zipo, sijafuatilia kwa UDOM na vyuo vingine. Hali ikoje wadau? Maana stori za mitaani zinasema kuwa waalimu wengi hawajali wanafunzi, hawana muda na wanafunzi ila mambo yao tu na wengi hawana moyo wa kumsaidia mtu amalize fresh.
Hali ikoje?
Kwa wale die hard tech fans lazima mtakua na ndoto za kumiliki computer ya aina flan na specs flani,either unapambana kutimiza ndoto yako kama mimi au umetulia unatamani unasubir miujiza itokee. Ni sawa tu twende pamoja tutiririke kushusha our dream specs.
Naanza na yangu
Being inspired by...
Nina Pc Lenovo i7, yenye Graphics Card ya 4 GB na Acer i5 yenye GB 2 za graphics Card ila nimebaki nashangaa nikaona ngoja niwacheck wataaamu wanisaidie.
Kifupi Preject ambayo nairender kwa masaa mawili huku kwenye i7, kwenye hii i5 Natumia dk 5! nimebaki nashangaa na kujuliza tatizo liko wapi...
Kwa wale wanafanya shughuli za electronics design, Engineering ama Hobbyists hii ni natoa offer ya electronics boards na Sensors
1. Aduino Mega (genuine) for 25K unaokoa 20K from 45k
2. Arduino Uno (without chip) 15K unaokoa 20K from 35K
3. Arduino Camera 20K unaokoa 20K from 45K
4. Current...
NOTE:
Ninaposema troubleshooting tool maana yake ni tool inayoweza kukusaidia kujua na kutatua tatizo lolote kwenye PC.
sifundishi ila najaribu kukufumbua macho ukae ukifahamu kuwa hauitaji knowledge kubwa kutatua matatizo madogo madogo ndani ya PC yako.
Kumbuka kila kifaa kimeundwa na mfumo...
How to increase shutdown speeds in Windows 10
Some vizuri kabla hujafanya kitu chochote kile kwenye hiyo WINDOWS REGISTER kwani unaweza kuharibu hiyo WINDOWS REGISTER yako na computer isiweze tena kufunguka shauri yako ukiharibu usije kunilaumu.
For some users, speed is everything. Eliminate...
Heshima kwenu wakuu.
Nahitaji kufanya biashara mtandaoni, ambapo kwa muda mwingi nitakuwa online. Kwa kuwa mimi si mjuzi wa computer, ni computer ipi inaweza kunifaa:
- Yenye ukubwa (Ram & storage)
- Yenye uwezo mkubwa wa internet
- Inayoweza kukaa online 24/7 bila shida
Kwa uchache naweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.