Naaaaam Barabara kabisa,
Ndugu wadau wa Michezo wa hapa Jamiiforums na kwingineko karibuni katika Live updates(Matukio Mubashara) kutokea hapa Kinshasa katika Dimba la Stade De Martyrs, uwanja wa nyumbani wa Timu ya AS VITA CLUB ambapo kuna "patashika nguo kuchanika" au unaweza kusema kipute...
Katika nchi za Afrika Mashariki, inaonesha kuwa ni Burundi na Tanzania pekee ndiyo hazina virusi vya korona na kwa hiyo hawahitaji chanjo ya COVID 19.
HOFU na WOGA ni roho za kuzimu na infact ndiyo lango kuu la nguvu za uharibifu na kifo....
IMANI kwa Mungu Baba Muumba wa vyote ndiyo UHAI na...
Chama kikuu cha upinzani katika Jamhuri ya Congo kimesema kitasusia uchaguzi uliopangwa kufanyika Machi 21. Kwenye uchaguzi huo Rais Denis Sassou Nguesso aliyepo madarakani kwa miongo kadhaa anawania kuchaguliwa tena.
Nguesso mwenye umri wa miaka 77 ameshikilia madaraka kwa miaka 36 sasa na...
Mzee Kissinger huniambia, ''Wewe Mohamed mimi nimekusomesha wapi?''
Mimi huwa simjibu kitu nashukuru na kama nimefuata kujua kitu kutoka kwake nitamuuliza na palepale mwalimu wangu ataniangusha ''lecture'' ya maana.
Vijana wengi wamekuwa wakija kwangu wakitaka kufahamu historia ya kweli ya...
Pata updates za mechi hii ya friendly inayochezwa uwanja wa Taifa mapinduzi day 12/1/20121.
===
Both teams were using the game to prepare for the Chan competition to be held in Cameroon
Tanzania and DR Congo settled to a 1-1 draw in an international friendly game played at the Benjamin Mkapa...
Equity bank imeamua badala ya kudeal na benki mbili huko DR Congo ni heri izishikanishe pamoja ili ziwe bank moja kubwa. Benki za Kenya zinazidi kutesa ukanda huu wote. Naona uchumi wa Kenya ni wa kwenye makaratasi...
Wiki hii Tanzania imeng'ara baada ya msanii wake Diamond kuweka rekodi ya kupata views milioni 10 siku ya 8 baada ya kutoa hit song aliyomshirikisha papaa mobimba KOFI OLOMIDE.
Ngoma hiyo inayoenda kwa jina la WAAH ilitoka siku ya tarehe 30 Novemba muda wa saa 6 mchana na ikapata views milioni...
Hapo jana ya tarehe 11/12/2020 tulipata taarifa kuwa Bunge la Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo limepiga kura ya kutokuwa na imani naye Spika wao wa Bunge, Jeanine Mabunda kwa namna anavyoliendesha Bunge hilo kwa upendeleo na kujiegemeza kwa Rais Mstaafu, Joseph Kabila, pamoja na chama chake...
Mkoa wa Kigoma ukatili waongezeka, "madanga" kutoka Congo DRC na Burundi waingia Kasulu
Mkoa wa Kigoma umetajwa kuwa na kiwango kikubwa cha vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana kitendo ambacho kimeelezwa kusababisha kurudisha nyuma shughuli za maendeleo katika mkoa huo...
Hii story imenitouch sana. Huyu Mkenya ambaye alikuwa jeshi alienda peacekeeping DR Congo akaona jinsi watu wanateseka akaamua kuresign na kuanzisha clinic mwaka wa 2008. sasa hivi ana hospitali nne mahali panaitwa Bukavu na Goma DR Congo.
Donald Trump ametangaza mapema Jumatatu jioni, Novemba 24, kwamba ameridhia ufunguzi wa mchakato wa kumkabidhi madaraka mrithi wake Joe Biden kutoka chama cha Democratic, zaidi ya wiki mbili baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais.
Idara ya serikali ya Marekani inayoratibu shughuli ya...
Aliyekuwa kiongozi wa wanamgambo katika taifa la jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu ikiwemo ubakaji wa watu wengi.
Mahakama ya kijeshi ilimpata Ntabo Ntaberi na hatia ya muaji, ubakaji, utumwa wa kingono na kuwasajili...
Amani iwe nanyi
Nimeambatanisha na video ya documentary ya Mobutu Sese Seko, aliyekuwa Raisi wa Congo ( Zaire) ili wajumbe mjionee wenyewe
Nilichogundua kutoka kwenye documentary hii ambayo ina sub-title ya kiingereza ni kuwa
1. Mobutu alitengeneza kundi kubwa sana la wanafiki waliokuwa...
Wapiganaji wenye silaha wamewaachilia huru wafungwa wasiopungua 900 kutoka jela mjini Beni, mashariki mwa Congo, katika shambulio la kupanga mapema Jumanne, ambalo meya wa mji huo amelilaumu kwa waasi wa ADF.
Zaidi ya wafungwa 900 wametoroka kutoka gereza la mji wa mashariki mwa Congo la...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo - FAO, limejulisha kwamba watu karibu milioni 22 wanakabiliwa na ukosefu wa chakula katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Leo ni Siku ya Kimataifa ya chakula.
Miongoni mwa sababu za ukosefu wa chakula hapa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ni...
Salaam wakuu
Naomba msaada wa kupata taarifa za mji wa Bukavu, Kongo kwa mwana JF yoyote ambae yuko huko.
Taarifa ambazo nazitaka ni kama:
1. Usafiri wa kufika huko kutokea Dar es Salaam
2. Nahitaji visa au ni passport tu?
3. Mazingira ya usalama kwa sasa yako vipi?
Nina Safari ya kwenda...
Wakuu salaam.
Nasubiri kwa hamu kusikia wakubwa zangu
mtu chake
zitto junior
mng'ato
Na wengine wadau wa siasa za maziwa makuu mngesema neno kuhusu kurejea kwa Kabila Joseph kwenye seneti ya Congo hasa ukizangia tetesi kwamba na uhusiano wake na rais Tshekesi kwa sasa hauko imara sanA.
Na kama...
Taarifa za wiki iliyopita zilieleza kuwa takriban wachimbaji 50 walifukiwa na kifusi baada ya mgodi mmoja wa dhahabu kuporomoka katika Mji wa Kamituga
Meya wa Kamituga, Alexandre Bundya amesema kuwa hadi sasa haifahamiki ni Wachimbaji wangapi walikuwa wakifanya shughuli zao kwenye mgodi huo...
Sikujua kama DRC ni matajiri kiasi hiki, wanadai DRC ina utajiri wa USD trillion 2,000 katika mfumo wa rasilimali umefukiwa chini ya ardhi, huo utajiri hata hauwezi kuandikika katika pesa ya madafu. Jionee mwenyewe kwenye video clip hapo chini.
Nasikia waEthiopia wanakamilisha bwa kubwa kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.