Katika gazeti la The Citizen la leo Agosti 24,2020 habari iliyopo ukurasa wa mbele inasema "Nchi za Afrika Mashariki zinapoteza fursa ya biashara na Congo DRC inayofikia Dola za Marekani Bilioni 10.
Hii ni hasara kubwa kwa Tanzania (Sitaki nizisemee nchi nyingine za E.A).
Awali ifahamike...
Kwa mujibu wa utafiti wa mwaka 1984 wa Prof. Norman Nyazema mbobezi wa Pharmacology wa huko Zimbabwe anasema nyongo ya mamba siyo sumu na taarifa zinaonesha ikikaushwa na kusagwa inauzwa nchi za Asia kama uchina kwa matumizi ya kuhamasisha tendo la ngono ( aphrodisiac ) kama lile vumbi la...
Tanzania’s CRDB renews plan to get pan-African bank status
By JAMES ANYANZWA
Tanzania’s CRDB Bank Plc is planning an ambitious programme that could see it expand into seven countries in East and Central Africa.
The largest bank by assets and market share in Tanzania, CRDB had started its...
Hapa ni Mungu tu aliyemuokoa huyu dogo. Sisi tuliosoma Physics japo ya St. Kayumba tunajua nini kingemkuta huyu dogo baada ya Injini kuwashwa.
Kwa kifupi hata unywele wasingeambulia ndugu zake.
The Mombasa port has recorded increased cargo destined to Tanzania, South Sudan and the DRC Congo while Uganda’s consignments declined in the first four months of this year.
This is according to latest Kenya Ports Authority (KPA) performance report of 2020.
The introduction and gazettement of...
Mfalme Philippe wa Ubelgiji ameeleza majuto yake kutokana na unyanyasaji uliofanywa na nchi yake wakati wa ukoloni
Katika maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa DR Congo, Mfalme Philippe amesema hayo katika barua aliyoandika kwa Rais Felix Tshisekedi
Ubelgiji ilikuwa Mtawala wa DR Congo kutoka...
Wenzetu hawa wanavyopenda kuchachamaa kuhusu ukabila kwetu utadhani kwao ni binguni hamna aina yoyote ya ubaguzi, ilhali mitandao ya kijamii huanika uozo wao haswa kwenye bunge ambapo mizuka ya wabunge husababisha wanaanza kushambuliana kwa misingi ya kikabila, kikanda na asili ya mtu, mara rudi...
Inaitwa man to man!
Congo wamekata umeme wao wanaowazalishia Wazambia hiyo ni kwa hatua ya kujibu mapigo kwa sababu ya Zambia kufunga mpaka wa Tunduma na kupelekea mizigo wa Congo kuchelewa kufika kwa wakati na hali hiyo imepelekea wafanyabiashara wa Congo kuingia hasara kubwa!
Chanzo ni...
Mhudumu wa uwanja wa KIA amesema katika kipindi hiki ambapo ugonjwa wa Corona Virus umepiga sana China, idadi ya watalii kutoka China imeongezeka maradufu kuja nchini.
Wachina wenyewe wakihojiwa wamesema pamoja na utalii wamekuja kutafuta sehemu salama kukimbia ugonjwa huo kwao.
Hii hali...
DR Congo 'prepared' to take part in vaccine testing: official
The Democratic Republic of Congo is prepared to take part in testing of any future vaccine against the coronavirus, the head of the country's taskforce against the pandemic said on Friday.
"We've been chosen to conduct these tests,"...
Wakuu,
Ule ugonjwa wa Covid-19 maarufu kama Corona umeshawasili nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Ikiwa ni Siku chache tu tangu mgonjwa wa mwisho wa Ebola atoke hospitali nchini DRC sasa imeripotiwa mgonjwa wa kwanza wa Corona nchini humo ameripotiwa na kuthibitishwa.
Inasemakana...
Ungana nasi kwa kutazama video hii kufuatilia mguu kwa mguu toka wakiwasili jijini Sao Paolo Brazil wakijifanya raia wa Angola ktk utalii Brazil kisha wanaanza safari kwenda Canada.
Safari hii ya 'Wakongomani' toka Congo na nchi za Maziwa Makuu pia Afrika ya Mashariki wanaoingia Brazil bila...
Habari JF.
Waziri mkuu wa zamani wa Congo Matata Mponyo na kiongozi moja wa kanisa, wamedai kwa nyakati tofauti kuwa Rais Kagame anataka kuipanua Rwanda. Mpango huo wa Kagame ni kushinikiza utawala wa majimbo nchini Congo na baadae kuliingilia jimbo moja kwa kuliomba kupiga kura ya kujitenga na...
Shirika la Afya Duniani WHO limesema nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo mlipuko wa ugonjwa wa surua mkubwa zaidi ulimwenguni umesababisha vifo vya maelfu ya watu ijapokuwa ugonjwa huo unaweza kukingwa kwa chanjo.
Idadi ya watu waliokufa kutokana na mlipuko wa maradhi ya surua imepindukia...
Waasi wa kundi la ADF wameishambulia tena wilaya ya Beni Kaskazini mwashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na kuuwa watu 22 katika tarafa za Ndombi na Kamango.
Wakaazi wa wilaya ya Beni kwa mara nyingine wanahesabu maiti za wapendwa wao waliouawa kinyama na waasi wa ADF. Mmoja wa...
Usafiri wa ndege ni moja ya njia salama zaidi za kusafiri duniani, lakini katika baadhi ya mataifa yenye mifumo dhaifu ya usimamizi wa safari za ndege pamoja na ukosefu wa miundo mbinu bora, unaweza kuwa hatari.
Ajali mbili za ndege zilizotokea majuzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo...
Mamlaka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), imetangaza hali ya hatari katika mji wa Beni.
Aidha, Jeshi la nchi hiyo limetangaza msako wa nyumba hadi nyumba kati ya saa 12 jioni hadi saa 12 mbili asubuhi.
Gavana wa Mkoa wa Kivu Kaskazini, Charly Nzazu Kasivita, alisema jana Jumanne...
Mamlaka nchini jamhuli ya kidemokrasia ya congo imetangaza hali ya hatari na msako wa nyumba hadi nyumba kila siku kati ya saa kumi na mbili jioni hadi saa mbili asubuhi maeneo ya Beni.
Gavana wa mkoa wa kivu kaskazini charly nzazu kasivita, amesema hatua hiyo imechukuliwa baada ya kikao cha...
Watu ishirini na nane wamefariki huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, kutokana na ajali ya ndege iliyokuwa imebeba watu 18 wakiwemo rubani wa 2 na abiria 16 na wengine 10 ni wakazi wa eneo ambapo ndege ilianguka
Ndege hiyo ilianguka katika mji wa Goma, kwenye mtaa wa Birere...
Mobutu Sesseko Kuku ngendu Wazabanga baada ya kuingia madarakani kimabavu akaanza utawala wa kidikteta
Akajenga ikulu/kasri kubwa kijijini kwao Gbadolite ,akajenga uwanja mkubwa wa kutua ndege tena zilikua zile Concord ,uwanja huu alijenga kijijini kwao
Mobutu alipandisha hadhi kijiji cha kwao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.