Si mnajifanya mnafichaficha huku mkitumia muda mwingi Kuvihonga Vyombo vya Habari nchini viiseme vibaya Simba SC na nyie viwe vinawapamba tu?
Haya Waambieni sasa akina Bumbuli na Manara waje wawape Ufafanuzi na Ukweli uliopo juu ya hawa Wachezaji wenu Watatu niliowataja katika Headline yangu...
Karibu watu 4,500 wameugua kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia kuvuja kwa sumu kutoka kwa mgodi wa almasi katika nchi jirani ya Angola, waziri wa mazingira anasema.
Eve Bazaiba alisema watu 12 walikuwa wamefariki dunia. Alisema kuwa DR Congo itauliza fidia ya uharibifu...
Habari zenu.
Baada ya mwanaume Ethiopia kupuuza vitisho na mikwara ya mbu nje ya net iliyokuwa ikitolewa na Egypt kwa Ethiopia Kuhusu kujaza maji kwenye Bwawa la Umeme,jamaa sasa wameamua kuiangukia Congo DRC.
Egypt sasa inapanga kutumia mabilioni ya dola kuwalipa wakongo Ili ijenge channel ya...
Utawala wa Rais Joe Biden wa Marekani unajiandaa kutuma kikosi maalumu cha jeshi Congo DRC kupambana na wanamgambo wa ADF na ISIS waliopo mashariki.
Balozi wa Marekani Congo DRC amesema kwa sasa vita vya Congo vitafikia ukingoni.
Hatua hiyo ya Marekani unakuja wiki moja baada ya Kenya nayo...
MONUSCO Force Intervention Brigade FIB imekua DRC kwa miaka 8 sasa ikijaribu kuleta amani eneo la DRC, wakati ilipoanza ilikua adui mkubwa ni M23 (kama sijakosea) ambao walimumunyika na kupotea ndani ya raia wa kawaida kisha baadae wakaanzisha vita vya guerilla, Sahii M23 hawatajiki tena lakini...
Hii imetokea juzi usiku mchawi nguri kutoka Congo kadondoshwa na wataalam wa hapo Bwanga chato
Kwa sasa ameshikiliwa kituo cha police chato ila kuna changamoto ya language collision kwani hajui kiswahili wala kiinglish
Walioko Bwanga watuwekee picha maana Mimi niliikuta wakati nikiwa na safari...
Mkongomani auwawa kwa kupigwa hadharani na Polisi nchini India. Kifo cha Mkongo huyo kimesababisha mandamano kwa raia walivyoona akipigwa marungu na miti kichwani na kiunoni kwa kushambuliwa na Polisi Zaidi ya 8 bila Huruma hadi alipokata roho na kuendelea kupiga maiti kwa kuiponda-ponda...
BANYAMRENGE, WALOWEZI WA KITUTSI NCHINI KONGO DRC AMBAO WANADAI ARIDHI ILI WAANZISHE TAIFA LAO.
Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA)
Wednesday-30/06/2021
Kilimanjaro national park Kilimanjaro Tanzania
Banyamulenge ni jamii ya watutsi wanaoishi eneo la Mulenge, eneo hili ni kiunga kilichopo wilaya...
Poleni na Majukum watanzania Leo nimeona nije na ili swala la Uyu Mama Diamond kujiona Mungu mtu kwa watoto wa watu
Hivi serikal yetu ikowap imtetee uyu mtoto Rais Mama Samia Naomba kama utapendezwa mtendee haki uyu mtoto alie taka kufanyiwa kitu kibaya na wanaume wa nne alie fanya kazi za Ndan...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo itadhibiti mikusanyiko ya Umma kufikia watu 20 na kufunga klabu za usiku wakati Taifa hilo linakabiliwa na wimbi la tatu la maambukizi ya Virusi vya Corona.
Kwa mujibu wa Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa Afrika, DR Congo imerekodi visa zaidi ya 35,000 na...
Wakuu
Kwa muda mrefu nimeskia haya juu ya wasanii wa hao ndugu zetu Congo. Madai na Story zimekuwa nyingi sana. Kwamba jamaa huwa wanaamini bila uchawi muziki hauwezi kutusua. Na wanauamini sana.
Niliwahi sikia Story kwa vijana wa kizamani walinisimulia kuwa, pepe kale alikuwa ana jeneza lake...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inakabiliwa na wimbi la tatu la maambukizo ya corona, na huku kitovu kikiwa katika mji mkuu, Kinshasa, ikiwa ni moja ya miji yenye idadi kubwa ya watu barani Afrika, Waziri wa Afya Jean-Jacques Mbungani alisema Alhamisi.
Kwa mujibu wa shirika la habari la...
Wakazi wengi wa mji wa Goma nchini Congo wanakimbilia nchini Rwanda katika mji wa Gisenyi kujiokoa na mlipuko wa volcano inayolipuka muda huu katika mlima Nyiragongo.
Chanzo ni mimi mwenyewe nipo hapa Gisenyi.
=====
FACT: More than 3,500 DR Congo nationals have crossed to Rubavu, Rwanda...
Summary
The decision was made to ensure usage of the vaccines before the expiry date on June 24.
The DRC has not issued a vaccination plan to support a mass vaccination campaign and has an insufficient number of vaccination sites.
The Democratic Republic of Congo says it will return to the...
Kwa Mpira ule mkubwa wanaoucheza AS Vita Club ambao hata Waarabu wenyewe na Mabingwa Afrika Al Ahly wamekiri kupata nao Taabu nimeamini kuwa nje ya Kucheza Mpira mwingi lakini hata Bahati nayo ina nafasi Kubwa mno katika Mafanikio (Ushindi) wa Mchezo wa Soka (Kabumbu) duniani.
Hofu yangu Kubwa...
Kiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Kongo (Congo-Brazzaville) na mgombea wa kiti cha urais amefariki kwa COVID-19 ikiwa ni saa chache tu baada ya vituo vya uchaguzi kufungwa.
Guy-Brice Parfait Kolelas alifariki akiwa kwenye ndege akipelekwa nchini Ufaransa kwa matibabu baada ya kuumwa. Saa...
Rais mstaafu wa Congo DR, Joseph Kabila Kabange apokonywa walinzi wa kikosi cha jeshi waliokuwa wakimlinda na kupewa ulinzi wa Polisi wa kawaida.
Haijulikani sababu ya uamuzi huu uliofanywa na Serikali ya Felix Tshekedi. Siku za karibuni wawili hao wamekuwa katika mgogoro wa madaraka.
Habari...
Washambuliaji ambao hawajajulikana wamevamia msafara wa UN na kupelekea kifo cha balozi wa Italia nchini Congo DRC pamoja na bodygurd wake.
----
Italian ambassador killed in DR Congo attack, says Italy's foreign ministry
Rome, Italy (CNN)The ambassador to the Democratic Republic of Congo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.