congo

  1. Lord denning

    Kagame awatuhumu SADC na Ramaphosa kuwaunga mkono Congo. Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama SADC ni Rais Samia!

    Kagame kweli kajaa kiburi! Kwenye kurasa zake za Mitandao ya Kijamii amerusha Video akiongea kuhusu Mgogoro wa Congo jana kwenye kikao chake na Wakuu wa EAC Kamgombeza kama mtoto mdogo Rais wa Afrika Kusini kuhusu majeshi yake yanavyoisaidia Congo. Kawananga SADC ambayo mwenyekiti wa Kamati...
  2. F

    Tetesi: Inadaiwa Makumi ya Askari jeshi wa SADC watekwa Congo na kupelekwa Kigali

    Source: VOA Radio. Mtangazaji wa VOA Kgali anaripoti wanajeshi wengi wa SADC wametekwa na M 23 na kusafirishwa hadi Kigali. Rais Kagame kaamuru wanajeshi wa SADC Warejeshwe makwao haraka. Inaripotiwa pia wanajeshi 800 wa SADC na Congo wameuliwa na M 23. Wanajeshi wa SADC wanatoka Tanzania...
  3. Ngungenge

    JWTZ, tulindieni heshima yetu yalindeni maslahi yetu DRC-Congo

    Afande G. Mkunda Ni muda wako wa kulinda historia na heshima ya muda mrefu iliyowekwa na watangulizi wako Yanayoendelea DRC hatuwezi kuyaacha yaendelee, Sisi kama MABABU wa ulinzi na ukombozi katika ukanda wa east na south Africa ni fedheha kuona mgogoro huu unaendelea na Sisi tumekaa tuu bila...
  4. Eli Cohen

    Kweli Congo imelaanika, hata askari mwenyewe anaiba (loot) kwenye duka analopaswa kulilinda. Tazama video hii.

    https://youtu.be/CC6XA5sI2ds?si=c7E0JJ-KkqyzA3JH
  5. W

    PDF la vita inayoendelea DRC, wakongo wa Mashariki wanaonewa na serikali yao, wakombozi wao ni M23 na Rwanda

    Kabla ya kuilaumu Rwanda kuhusu suala la M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), nataka nikupatie historia fupi kuhusu kinachoendelea katika sehemu ya mashariki ya Congo. Hii ilianza vipi? Unachosikia kila mara ni kwamba Rwanda inaunga mkono waasi wa M23, na serikali ya DRC...
  6. Richard

    Congo DRC yavunja uhusiano na Rwanda kufuatia mzunguko wa Goma unofanywa na waasi wa M23

    Leo hii serikali ya Congo DRC imetangaza kuvunja mahusiano na Rwanda huku wanajeshi wapatao 13 wa kutoka vikosi vya kulinda amani na wanajeshi wengine wa kigeni kuuawa. Wizara ya mambo ya nje ya Congo DRC imetangaza leo kuwa inawaondoa watumishi wote walioko katika ofisi ya ubalozi wa Congo DRC...
  7. Eli Cohen

    Wanajeshi 7 wa jeshi la South Africa wameuliwa na kikosi cha M23 huko Goma.

    Wemefariki wakiwa wanaitetea Goma. M23 walijaribu kuwafanyia mashambulizi kwa siku 2 ila hawakufanikiwa kusogea zaidi. Hongera na rest in peace kwa mashujaa hawa
  8. Marie Antoinette

    Umunyamabanga wa African Union ngo ahangayikishijwe n’ibibera muri Congo!

    Perezida wa Komisiyo y'Umuryango wa Afurika Yunze Ubumwe, African Union Moussa Faki Mahamat, yatangaje ko ahangayikishijwe n'umutekano mucye uri mu burasiraazuba bwa Congo. Asaba impande zombi kuyoboka inzira y'ibiganiro bya Luanda, biyobowe na João Lourenço. Kandi ubu arakeka ko twibagiwe ko...
  9. Shooter Again

    Niombeeni nimechaguliwa kwenda Congo kuwaondoa m23 kundi letu linaondoka Jumanne

    Wakuu niombeeni nimechaguliwa kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
  10. Powder

    Ajari ya Roli la Kampuni ya Akamiko huko Congo.

    Kuna Ajari Mbaya imetokea Jana huko Congo, nje kidogo ya Lubumbashi, township Ndogo inaitwa Likasi. Kuna rafiki yangu Mcongo Man anaishi hapo Likasi, na vile Roli lilikua linaendeshwa na Dereva Mtanzania, huyu Rafiki yangu akaona anipe taarifa ili nijaribu kuwahabarisha pia. Kuna picha ambazo...
  11. T

    KWELI James mrithi wa Jameson Whiskey alishuhudia binti wa miaka 10 Congo akiuliwa na kuliwa baada ya kulipia vitambaa sita

    Wakuu nmeona video ikielezea kuwa miongoni mwana ukoo wa mwanzilishi wa Whiskey alimnunua binti wa miaka kumi huko Congo miaka ya 1880 na kisha kumtizama akiuliwa na kuliwa.
  12. M

    Amnesty International yasema Vikundi vyenye silaha vinavyofadhiliwa na Rwanda nchini DR Congo vinatumia silaha za maangamizi ya halaiki

    DR Congo: Rwandan-backed armed group and Congolese army must stop using explosive weapons in densely populated areas - Amnesty International FOR IMMEDIATE RELEASE Inaccurate explosive weapons with wide area effects used in densely populated areas more than 150 times in a seven-month period...
  13. chizcom

    Hawa koluna na wahalifu wengine nchi ya congo kwa sheria walizowekewa kuna siku watakimbilia nchi jirani kuendeleza kazi zao.

    Waziri wa sheria wa kongo Constant Mutamba.Kupitisha sheria ya kunyonga na kukamata wahalifu kongo kuna weza kusabisha asilimia kubwa au ndogo wengi wakaenda kufanyia nchi jirani. Ili swala nimekumbuka vikundi vya panya road hapa tanzania baada ya kuzibitiwa na mwisho wa siku vilikimbilia nchi...
  14. Mwamuzi wa Tanzania

    D.R.C Taifa lililolaniwa tangu wapate Uhuru

    Kongo imelaaniwa, tangu wapate Uhuru hawajawahi kupata utulivu. Dalili kuu ya mtu au Taifa lililolaniwa ni kukosa utulivu. DRC nchi iliyojaa madini. Kuna sehemu ukiingia msituni kabisa huko ukichota mchanga gunia 1 unaweza kupata pure gold debe moja lakini kwasababu ya laana iliyotokana na...
  15. T

    Paull KAGAME ku kibazo cya Congo

    “Dufite ingamba ndetse n’abayobozi baziyoboye ariko icy’ingenzi kuri bo ni ukwigaragaza imbere ya camera basinya amasezerano runaka, ibyo bikarangirira aho. Usiga ikibazo cya nyacyo ukigira ahandi.’’
  16. GoldDhahabu

    Ungefanyeje ili kurejesha amani nchini Congo DRC?

    Kama ungelikuwa Rais wa Congo DRC, ungeweza kuifanya hiyo nchi kuwa na amani? Naamini suluhisho la Congo DRC lipo kwa Wacongoman wenyewe! Lakini hilo wataweza kulifikia kupitia viongozi wao, kama wasemavyo "wahenga", "Everything rises and falls under the leadership" Ingelikuwa wewe ndiye Rais...
  17. GoldDhahabu

    Kwanini Congo DRC?

    Kuna nchi zilishawahi kuingia katika misukosuko ya kisiasa lakini hatimaye zilikuja kutukia. Rwanda ni mojawapo. Kwanini imekuwa tofauti nchini Congo DRC? 1. Tatizo ni uongozi? Angepatikana huko kiongozi kama NYERERE, au KAGAME au MAGUFULI angeweza kuituliza? 2. Wasababisha machafuko ya Congo...
  18. Dalton elijah

    Wachina 17 Washutumiwa Kuendesha Mgodi Haramu wa Dhahabu Congo

    Wanaume 17, raia wa China wamekamatwa kwa tuhuma za kuendesha mgodi haramu wa dhahabu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, mamlaka ilisema hapo Ijumaa, wakati serikali ikiendelea na msako mkali wa uchimbaji wa madini yake bila leseni. Wanaume hao waliletwa katika mkutano na waandishi wa...
  19. Nyumba Nafuuu

    List y Ramani z Nyumba Zaidi y 450 Unazoweza Jenga TZ na Makadirio Gharama Yake (Nafuu, Kawaida, Bungalow, Ghorofa, Pangisha) Tanzania, Kenya, Uganda

    List hii ya nyumba 400 ambazo unaweza jenga... Vyumba 1, 2,3,4,5... Nyumba za gharama nafuu, kawaida za familia, bungalow, maghorofa, za kupangisha Mwaka Usiishie huja sogea mbele japo hatua moja kati ujenzi wako Piga/WhatsApp: +255-657-685-268 Siwezi Weka Details Zote hapa za nyumba 450 na...
  20. Mpigania uhuru wa pili

    Mashabiki wa Yanga walifanyiwa vurugu DR Congo na warabu wameleta vurugu uwanja wa taifa

    Tanzania ni taifa linalochekesha mda huo huo linasikitisha sana yaani uko nchini kwako mgeni anakuletea vurugu na humfanyi chochote kile Yanga kule congo mazembe wameloga waziwazi na mwishowe wakawafanyia vurugu mashabiki wa Yanga Watu hawa hawa ndo uwategemee kwa mabadiliko ilihali...
Back
Top Bottom