congo

  1. mdukuzi

    Huyu mgeni tangu aje toka mkoani anaiponda Dar Es Salaam. Jana nimemtelekeza mtaa wa Congo mpaka sasa hivi hajarudi nyumbani

    Alitoka mkoani moja kwa moja akashukia Mbezi stendi ya Magufuli. Toka stendi akopokelewa na dogo akaletwa home Kinyerezi kupitia Malamba mawili. Kwa akili yake akidhani Mbezi ndio city center kama ilivyo Buzuruga au Nata. Tangu aje ni kuponda tu, jana nikamwambia twende tukatembee, nikamwambia...
  2. BLACK MOVEMENT

    Lobito Atrantic Railways, hawalali, wanajiandaa kusafirisha madini ya Zambia na Congo.

    Lobito wanajidaa kusafirusha madini ya Zambia na Congo hadi Angola.
  3. KING MIDAS

    Akayabagu ni hatari, vumbi la Congo linasubiri

    Hatari sana hii mambo
  4. Richard

    Trump adai kuna wafungwa wa kutoka Congo DRC wanopelekwa Marekani. Je mambo yapi wanofanya hawa wahalifu huko Marekani?

    Mgombea mtarajiwa wa kiti cha uraisi wa Marekani na pia mshtakiwa aletiwa hatiani kwa makosa ya kughushi nyaraka Donald Trump leo ameongea na waandishi wa habari na wafuasi wake katika ofisi zake mjini New York. Akiongea kwa muda wa dakika zipatazo 40 kuashiria kila kosa alotiwa hatiani kwa...
  5. Pdidy

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatetea Palestina tu, halioni yanayoendelea kule Congo?

    Kati ya vitu sitaki kusikia ni vikao visivyo na tija vya baraza la usalama la UN. Nimewaza hawa jamaa kila siku vikao nani anawalipa hizo perdiem na matumizi mengine. Hawa mabwana wanaona Palestina tu pale Congo wamekufa watu kama nzi kimya kabisa. M23 imewashinda mtaiweza Israel kweli...
  6. Ashampoo burning

    Makosa ya kiufundi kumpindua Rais wa DRC ni haya

    Nitaandika haraka haraka kama mtu niliwahi soma kitabu maalumu kwa ajili ya kufanya mapinduzi ya nchi kilichoandikwa C.I.A chini ya mwandishi edward luttwak kwa jina practical handbook for coup detat kitabu hii cha mwaka 1968 ndo huwa kina somo ili kufanya mapinduzi yafanikiwe...
  7. BARD AI

    DR Congo: Serikali yasema waliojaribu kupindua Serikali ni Wakongo na raia wa Marekani

    DR-CONGO: Serikali imesema jaribio la Mapinduzi lililozimwa mwishoni mwa Wiki iliyopita liliongozwa na Christian Malanga, Mwanasiasa mwenye uraia wa Congo lakini makazi yake yapo Nchini Marekani akiwa na kundi la Wanajeshi walioasi. Msemaji wa Jeshi la DRC amesema takriban Watu 50 akiwemo Mtoto...
  8. GENTAMYCINE

    Haya wale Bana Wenge BCBG Wenzangu hapa JamiiForums mmeshasikiliza Wimbo mpya unaotamba sasa Congo DR wa JB Mpiana uitwao ZEBUKA?

    Ama hakika kwa Wimbo huu na hasa ulivyo Mtamu na unavyochangamsha hata Kuucheza JB Mpiana kaamu kufanya Kweli. Unaambiwa sasa iwe ni Congo DR au Congo Brazaville au Angola au Cameroon au Zambia au Ufaransa au Ubelgiji au Marekani ( hasa Mji wenye Wakongo wengi wa Dallas ) au Rwanda na Burundi...
  9. MINING GEOLOGY IT

    Madini yenye damu nyingi iliyofanya Congo kukosa amani, kampuni ya Apple ikishutumiwa sana

    Congo ni taifa lenye historia ndefu na utajiri wa kitamaduni katika eneo la Afrika ya Kati. Kuna Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Jamhuri ya Congo (pia inajulikana kama Congo-Brazzaville). Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ni nchi kubwa zaidi katika eneo la Afrika ya Kati, iliyopo...
  10. kalisheshe

    Hakuna na hatatokea dancer mkali nchini Congo kumzidi Bouro Mpela

    Alikuwa bendi ya Quartier Latin chini ya Koffi Olomide. Wapenzi na mashabiki wa muziki nchini Congo walimbatiza jina kwa kumwita king of Domboro dance Kwa sasa sijui alipo wajuzi mnaweza kuongeza zaidi
  11. GENTAMYCINE

    Kwa wale Wapenzi wa Wenzangu wa Muziki wa Congo DR ( Bana Bandeko Nangai ) hivi Bendi ya Wenge Musica BCBG isingevunjika leo tungekuwa na huu Ubunifu?

    Kwa Maoni yangu GENTAMYCINE ( Rais wa Wapenzi wote wa Bendi ya Wenge Musica BCBG JamiiForums nzima ) japo niliumia sana kwa Bendi hii Kuvunjika na kila Mtu Kuunda Wenge Musica yake yaani JB Mpiana akibakia na Wenge BCBG, Werrason akibakia na Wenge Musica Maison Mere, Adolphe Dominguez akibakia...
  12. kmbwembwe

    Je, ni sahihi Tanzania kuendelea na uhusiano wa kawaida na Rwanda wakati tuko vitani na nchi hiyo DR Congo?

    Nchi ya Rwanda chini ya Kagame imekua kwa muda mrefu ikishutumiwa kukisaidia kikundi cha kijeshi cha Watutsi cha M23 kinachotaka kulidhibiti jimbo la kivu mashariki ya congo. Rwanda imekua ikikanusha kusaidia M23 lakini ukweli imekua na majeshi yake yakiungana na waasi hao kudhibiti maeneo ya...
  13. matunduizi

    Kwanini Watutsi wa Congo wasichukuliwe kama Wamasai, Wakurya au makabila mengine ambayo yako mipakani?

    Hili wazo niliwahi kusikia speech moja ya hayati Nyerere. Kabla ya Ukoloni lilikuwa ni kabila moja ambalo liliambaa Rwanda hadi Congo. Kama Arizona iliwahi kuwekewa mipaka katikati na nusu ya waarizona wakawa US na wengine wako Mexico. Kama Wamasai wako Kenya na TZ, Wakurya wako Kenya na Tz...
  14. U

    Umusirikare ubarizwa mu gisirikare cya Leta ya Congo ’FARDC’ arashinjwa kwirara mu nka z’Abatutsi muri Kivu

    Amakuru avuga ko uyu musirikare yarashe izi nka mu masaha ya mugitondo cyo kuri uyu wa Kabiri taliki 9 Mata 2024. Inka enye nizo zamenyekanye ko uyu musirikare yishe ariko imibare ikaba ikomeje gukusanywa kuko hari n’izindi zakomeretse bikomeye.Izi nka zarasiwe ahitwa Kibati, muri teritware ya...
  15. Z

    Nimwombe Rais Samia awaondoe haraka wanajeshi wetu kule DRC Congo. Mnapigana na nchi ya EAC

    Sijajua wanajeshi wetu wanafia nini kule DR congo wakati sasa imejulikana bila shaka kwamba wanapigana na wanajeshi wa Rwanda ambayo ni nchi mwanachama wa EAC. SOLUHISHO ya vita ile ni kuiwekea vikwazo RWANDA na kuifukuza EAC haraka iwezekanavyo. Mama yetu mpendwa nakuomba uwaondoe haraka...
  16. kibarango

    M23 yaua wanajeshi 3 wa Tanzania huko Goma DRC

    Majina hayajatajwa. Ikumbukwe jana Rais wa Rwanda Bw Kagame amekiri kuwa anawaunga mkono waasi wa M23 kwa kusema haoni sababu ya kuwapinga waasi hao. Hivyo kwa tafasiri ni kuwa Wanajeshi wa Rwanda wamewauwa wanajeshi wa Tanzania huko DRC. ===== Wanajeshi watatu wa Tanzania wameuawa kwenye...
  17. Pang Fung Mi

    Mtangazaji wa TBC 1 anasema meli ya MV Mwanza itapiga route ikiwa ziwa Victoria kwenda Sudani Kusini, Burundi, Zambia Congo na Malawi

    Sitaki niongee mengi nishasema watanzania wengi hasa kwenye kada ya uandishi wa habari miaka ya 2000+ ni hopeless na vilaza wa kutupwa sijui journalism gani hawajui hata Geography ya Primary na O level. Kama mnauzinduzi wa MV Mwanza basi vilaza wenu washaropokwa huko. Endeleeni na vilaza...
  18. Kaka yake shetani

    African laguages and their families

    AFRICAN LANGUAGES AND THEIR FAMILIES What is Language? language is a system of conventional spoken, manual (signed), or written symbols by means of which human beings, as members of a social group and participants in its culture, express themselves. What is Language family? A language family is...
  19. Mr Chromium

    Kagame nafsi yamsuta kwa anachokifanya Congo! Awatupia mpira nchi za Magharibi na Mashariki ya Kati

    Kufuatia Tuhuma za Genocide nchini DRC kwa ajili ya kuiba madini Sasa KAGAME akili wazi kua madini yanapitia kwake nchini Rwanda yakiibiwa. Sikiliza hapa.
  20. Mr Chromium

    Mobutu ndiye alikuwa Rais mwenye nguvu wa mwisho wa DRC (CONGO)

    Habari Ukifuatilia Historia ya DRC utaona inaongozwa na viongozi wengi wasio na uwezo wa kufanya CONGO kua nchi yenye nguvu kiuchumi, Kisiasa, Kiintelligencia na kijamii nchi ya CONGO imekua shamba la bibi yenye serikali zilizofeli muda wote. Mpaka sasa kuna makundi 120 yanatawala sehemu...
Back
Top Bottom