Yaani Morocco ina mastaa wake wa maana huku Zambia ina akina Chama na Musonda na kule Congo DRC kuna akina Inonga na Mayele halafu nipoteze muda wangu kuishabikia CCM au serikali Taifa Stars?
Kila la kheri Morocco, Zambia na Congo DRC pale tu wakiwa wanacheza na Taifa Stars.
Katika interview aliyofanyiwa Bwana Kigwangala ameonyesha wasiwasi wa kuwa wanasiasa wenzake katika chama chake wanafanya kufuru ya wizi wa mali za umma kununua majumba katika maeneo yasiyofikirika mtumishi wa umma kumiliki majengo kama Mikocheni, Dubai, Afrika ya kusini nk. Huyu Mh. amewahi...
Hawa watu kamwe tusiwaruhusu wajipenyeze kwenye siasa za nchi hii hao kwenye fursa au sehrmu ambayo wanafaidika wapo radhi kukuua ili wapate wanachokipata na tena wanajifanya watu wa dini dini gani hiyo? Inayosupport mauaji?
Ona Rwanda walisababisha vita ya kimbari na waliwashawishi...
pichani ni ngoma kali nilizozisikiliza zaidi 2023.
Katika miaka ya hivi karibuni, nimekuwa shabiki mkubwa wa muziki wa Kikongo, haswa kazi za Ferre Gola na Fally Ipupa. Walakini, hivi karibuni nimegundua kuwa nimevutwa na muziki wa Kilingala. Sijui ni nini kuhusu aina hii ya muziki ambayo...
Nikiwa nasikiliza idhaa ya kiswahili ya dw Leo mchana moja ya wachambuzi wa maswala ya migogoro huko Congo alitoa ufafanuzi juu ya kikosi kingine Cha SADC Ambacho kinajiandaa kwa awamu nyingine kutumwa huko DRC.
Kilichonishangaza ni pale alipoulkuliwa akisema wanajeshi wakongo wanataka vita na...
Makazi mapya ya "hiari" ya Wapalestina kutoka Gaza polepole yanakuwa sera rasmi ya serikali, huku afisa mkuu akisema kuwa Israel imefanya mazungumzo na nchi kadhaa kwa ajili ya kufyonzwa kwao.
Zman Israel, gazeti la The Times of Israel ambalo ni dada wa Kiebrania, limegundua kuwa muungano wa...
Kuna mazungumzo “ya siri” kati ya Netanyahu na Congo DRC ili kuweza kuwahamishia raia wa Gaza huko pamoja na nchi nyingine za Africa.
Kaazi kweli kweli daah!
https://www.thedailybeast.com/israel-in-secret-talks-to-resettle-palestinians-in-congo-report-says
Kumekucha.
Kuna habari nimeipata kutoka chanzo nyeti kuwa Congo DRC na Burundi zinajipanga kuishambulia Rwanda. Haijabainika tarehe halisi ya mashambulizi na uvamizi ila chanzo hicho kimedai ni Kati ya mwezi February au March 2024.
Inadaiwa vyombo vya ujasusi nchini Rwanda vimepata habari hizi...
Habari zinaonyesha Tanzania tunapeleka wanajeshi Congo kwa mwamvuli wa SADC. Na kama tujuavyo wanajeshi watanzania pekee ndio huwa kwenye wakati mgumu kwani hupangiwa sehemu korofi hasa njia za kupita waasi huku wengine wakijipangia sehemu zenye wingi wa madini na kuishia kutajirisha nchi zao...
Matokeo ya uchaguzi wa urais Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yanatarajiwa kutangazwa kesho kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na tume ya uchaguzi, huku ushindi ukitarajiwa kwa Rais aliye madarakani Felix Tshisekedi.
Takriban watu milioni 44 walijiandikisha kupiga kura Desemba 20 katika uchaguzi...
Nimeweka uzi huu kwa sababu nipo Ulaya na Ijumaa hii ya leo(22.12.2023) nimepewa tuzo ya utumishi bora katika kampuni ya Continentall hapa Ingolstadt Ujerumani.
Tanzania haithamini wasomi na wananchi wenye vipaji nilikuja Ujerumani March 2023 mwezi huu nimepewa tuzo, nimepandishwa cheo na...
Msemaji wa Jeshi Polisi Nchini Uganda Vincent Twesige amesema wanamgambo wanaohusishwa na kundi lenye itikadi kali (Islamic State) wamewachoma moto watu 10 hadi kufa katika shambulizi lililofanywa kusini magharibi mwa nchi hiyo.
Inaelezwa kuwa wanamgambo hao kutoka kundi la ADF ni miongoni mwa...
Bado unayo nafasi ya kuitazama milima ya Congo DRC ukiwa hapa Kigoma, mlima tambalale uliyonyooka kwa mapana uliopakwa rangi ya blue ni nchi ya Zaire, utafika katika nchi hiyo kwa usafiri wa Boti, ni rahisi sana kutokea hapa kwetu Kigoma.
Hapa ni Kigoma Karibu na Station Milima ya Blue...
Kiongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amepeleka mashambulizi yake ya kejeli dhidi ya mwenzake wa Rwanda katika ngazi nyingine kwa kumfananisha na Adolf Hitler.
Félix Tshisekedi alisema Paul Kagame alikuwa na tabia kama Hitler, na akaongeza: "Naahidi ataishia kama Hitler".
Bw Tshisekedi...
Wagombea Wanne wa nafasi ya Urais Nchini DR Congo wameamua kujitoa na kueleza kuwa wanaelekeza nguvu zao katika kumuunga mkono Gavana wa zamani, Moise Katumbi ambaye ni mgombea mkuu wa upinzani katika uchaguzi huo.
Hatua hiyo inafanya wagombe waliosalia kuwa 21 mbapo wote wanawania nafasi...
Kikosi cha kanda ya Afrika Mashariki kimeanza kuondoka katika eneo lenye matatizo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Wanajeshi hao walitumwa kwa mara ya kwanza katika eneo hilo mwezi Novemba mwaka jana kutokana na ombi la serikali ya Kongo kwa matumaini ya kulidhibiti kundi la...
50% wawe ni Wanajeshi wa Rwanda
40% wawe ni Wanajeshi wa Uganda
4% wawe ni Wanajeshi wa Kenya
3% wawe ni Wanajeshi wa Tanzania
1.5% wawe ni Wanajeshi wa Burundi
1% wawe ni Wanajeshi wa Congo DR
0.5% wawe ni Wanajeshi wa Sudan Kusini
Liwe hivi hivi kama ambavyo GENTAMYCINE nimepanga kwani...
Moise KATUMBI anachukua nchi mapema sana.
Sera zake za kurejesha amani na kujenga miundombinu ya maendeleo ndio silaha yake kuu.
Pia huyu jamaa anatumia Kiswahili katika kampeni zake, hii inafanya aweze kusikilizwa na wacongo katika majimbo yote.
Huko KISANGANI amefanya mafuriko haijawahi...
19 November 2023
Kuelekea uchaguzi mkuu nchini DR Congo nchi yenye utajiri mkubwa wa maliasili kama madini, uvunaji magogo ni watia nia wawili wa uRais ndiyo wanaoutia moto uchaguzi
https://m.youtube.com/watch?v=XzU9u6Y4bzg
Moïse Katumbi amewasiki Maniema na kupokelewa na umati mkubwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.