Associated Press
Djibouti walicheza ngoma bandarini siku ya kwanza.
Leo Djibouti wanalia machozi, DP World wamefukuzwa, Djibouti wanasema wameibiwa, wamelipa madola ya mafaini na magharama ya kesi za kimataifa. Hukumu ya siku za karibuni ilitoka mwezi May 2023 Washington DC.
Kesi mahakamani...
Dawa inayodaiwa kuongeza nguvu za kiume maarufu 'Akayabangu' pamoja na vumbi la Kongo zimepigwa marufuku kutumika nchini kwa kile kilichoelezwa kuwa hazijathibitishwa ubora wake.
Hayo yamesemwa jana Ijumaa, Juni 23, 2023 na Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Profesa Hamis...
Kwa yoyote anayekutana na Miziki ya Sebene na Rhumba (ya zamani na mipya) awe anatuwekea hapa ili Wadau Wengine tujue na tuifuatilie na hata tuwe nayo?
Kama kuna Kitu GENTAMYCINE nakipenda na huwa Kinanifariji na kunifanya nijione sina Shida za Kimaisha wakati ninazo kuanzia Dar es Salaam hadi...
Najua mnae wa Kucheza Mechi zenu za Ndani tu ( NBC Premier League ) kutoka Kilosa Morogoro na mnae yule wa Kucheza Mechi zenu za Kimataifa tu atokaye Uvinza Mkoani Kigoma ila kwa kupenda Kwenu Ushirikina mlivyoenda Congo DR kucheza na TP Mazembe FC Wachezaji wenu Mayele na Moloko...
Nchi ya Congo na uongozi wake wanatutia aibu Afrika.
Kwa miaka nenda rudi wamejitawala lakini wana mindset ya kufanyiwa mambo yote na wau wengine.
Sasa hivi wanasumbuliwa na M23, lakini wao wanaona kulitatua tatizo ni kuwaite watu wa nchi nyingine wawatatulie tatizo hilo.
Huo ni ukubwa jinga...
Taarifa za ndani nilizozipata kutoka Jikoni katika Klabu moja na hata kule Kwenyewe kabisa CAF ni kwamba kama kuna Refa ( Mwamuzi ) ambaye atachunguzwa mno Maamuzi yake Kiuchezeshaji Siku hiyo basi ni huyu kutoka Congo DR.
Na Watu fulani wasivyo na Siri mpaka akina MINOCYCLINE tunapata Taarifa...
Ukiona Mtu yoyote anapendwa au anakubalika na GENTAMYCINE jua huyo Mtu ana Akili Kubwa halafu Kabarikiwa na Mwenyezi Mungu na ukiona namchukia Mtu jua ni Mpumbavu na Mwendawazimu mno.
Mapema mwishoni mwa mwaka 2022 na mwanzoni mwa mwaka 2023 Rais wa Rwanda Paul GENTAMYCINE Kagame na Rwanda yake...
WATOTO wawili wameokolewa wakielea karibu na ufukwe wa ziwa Kivu huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo siku chache baada ya mafuriko yaliyoua zaidi ya watu 400.
Haijabainika jinsi watoto hao wachanga walivyonusurika kwa siku tatu katika ziwa hilo, lakini mashuhuda wanasema...
Hapo nyuma niliwaletea Rhumba lake Kali liitwalo Se Yo na hata bado hatujatosheka na Utamu wa huo Wimbo tayari Fally Ipupa katuletea Rhumba lingine Kali na Tamu liitwalo MAYDAY.
Litafuteni haraka ili mlisikilize ila kwa Mimi GENTAMYCINE sasa nataka kuingia Chimbo nijue ni kwanini huyu Mtoto...
Kinshasa DRC 2 Mei 2023 – Benki Kuu ya Congo (BCC) imeipatia leseni ya kufungua kampuni tanzu nchini humo Benki ya CRDB. Leseni hiyo imekabidhiwa leo katika mkutano maalum kati ya BCC na ujumbe wa Benki ya CRDB ulioongozwa na Afisa Mkuu wa Fedha wa Kundi, Fredrick Nshekanabo.
Akikabidhi leseni...
Takriban watu sita wamefariki dunia, na wengine kadhaa hawajulikani walipo, baada ya boti kuzama katika upepo mkali Ziwa Kivu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Boti hiyo ilikuwa imesheheni wafanyabiashara na bidhaa zao zikitoka Mugote katika mkoa wa Kivu Kusini kuelekea Goma, mji...
Penye mali lazima kuwe nyoka. Hii haijadiliwi sana kwenye imani tulizopo nazo ila sehemu za upande wa nguvu za giza nyoka ni ishara ya utajiri na mali n.k.
Kwenye pesa ishara nembo nyoka yupo,kwenye kila jambo lenye mafanikio nyoka utumika. Si wageni kusikia story au mengineyo sehemu yenye mali...
Suspected Allied Democratic Forces militants, an insurgent group with ties to the "Islamic State," have killed at least 36 people in an overnight attack in eastern Congo.
Rebels killed at least 36 people in an overnight attack on a village in eastern Democratic Republic of Congo, officials said...
Vyanzo mbalimbali ikiwemo #BBC vimeripoti kuwa Wafanyakazi wa Mashirika ya misaada kutoka maeneo ya Mashariki mwa #DRC wamesema kuna mapigano mapya kati ya Jeshi la Serikali na Waasi wa M23.
Serikali imeshutumu Waasi kwa shambulio la Machi 7, 2023 lililosababisha raia wengi kukimbia makazi yao...
JF SUMMARY
Rais #FelixTshisekedi ameliambia Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (OHCHR) kuwa Vita inayoendelea Mashariki mwa DRC inahatarisha mchakato wa Uchaguzi wa Desemba 20, 2023 kutokana Watu wengi kuyakimbia makazi huku Tume ikishindwa kuyafikia baadhi ya maeneo.
Tume ya...
Itakumbukwa mnamo 1964 General Mobutu alianzisha mashambulizi huko Rusizi plain (Uvira), eneo hili lilikuwa linashikiliwa na waasi wa Simba-Mulele ,kwa usaidizi wa anga wa jeshi la Marekani mashambulizi haya dhidi ya waasi yanapata changamoto, waasi ikasemekana wanapewa dawa na bibi kizee mmoja...
Jeshi la Congo limekimbia kuelekea Goma baanda ya kusikia M23 inakalibia ku kamata mji wa Sake km chache kuelekea Goma,walipo fika Goma Miltary Police(MP) waka wakimbiza na viboko warudi kupigana!🤣🤣
Na inasemekana Sake ikikamatwa basi watu wa Goma kupata chakula ni kutumia ndege maana barabara...
Rais wa Rwanda, Paul Kagame amepeleka shutuma hizo kwa Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC), Félix Tshisekedi akidai anakiuka makubaliano kadhaa wanayoafikiana kuhusu mgogoro baina ya Nchi hizo unaoendelea.
Rais Kagame amedai licha ya kufanya mikutano na kukubaliana lakini Rais...
Mamlaka zimesema watu wengine 28 wamejeruhiwa baada ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa (UN) kurusha risasi wakati wakijihami wakati wakishambuliwa na waandamanaji katika eneo la Jimbo la Kivu Kaskazini.
Msafara wa UN ulishambuliwa wakati wakirejea kutoka Mji wa Goma ambapo mgari yao kadhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.