Wanajeshi wa Kenya waliosakiziwa na Rais wao Mgeni Madarakani kuwa waende Kuungana na Jeshi Bovu na Goi Goi la Congo DR ili Wapambane na Waasi wenye Akili Kubwa za Kitutsi wa M23 sasa Wanajuta kwanini walikurupuka kwenda huko kutokana na Kipigo Kitakatifu wanachokipata.
Nichukue Fursa hii...
Bunge la Kenya limepitisha kiasi hicho cha fedha kwa Wanajeshi 1,000 kuelekea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ikiwa ni bajeti ya miezi 6.
Imeelezwa ruhusa hiyo ya Dola Milioni 37 imetolewa siku mbili baada ya Waziri wa Ulinzi, Aden Duale kukutana na Kamati ya Ulinzi ya Bunge.
Fedha hizo...
Wataalam wa mambo hii siyo 'act of aggression' kweli? Katika wakati mgumu kama huu unarusha ndege ya kijeshi, sio ya kiraia. Au ndiyo Congo wameamua kutokuwa wanyonge tena? Pia sidhani kama Kagame atakubali huu utoto.
Bila shaka ndiyo kipenga kimepulizwa hivyo.
#BREAKING: Rwanda says a fighter...
Siku zote panapofuka moshi ujue kuna moto hivyo kila jambo linalotokea huwa halikosi sababu. Kenya ameonekana kujiandaa kupekeka mamia ya wanajeshi Congo baada ya waasi kupata nguvu mashariki ya Congo na kukua kwa uhasama kati ya congo na Rwanda.
Ikumbukwe mwaka 2013 Tanzania alipeleka...
Nchi za Magharibi na Marekani ziko nyuma ya migogoro ya Ukraine na DR Congo. Nchi hizi zinaisaidia Ukraine kuishambulia Urusi na Rwanda kuishambulia DR Congo kwa maslahi yao.
Migogoro duniani haitakwisha hadi hapo nchi zinazoendelea zitakapopata ujasiri wa kususia misaada na mikopo kutoka nchi...
Hawa Wacongo wangejitambua enzi za Lumumba wakifanikiwa sana wameamua kutumia nguvu ya umma kuungana na kuandamana kuutangazia ulimwengu kwamba wanaibiwa madini yao mwizi wanamfahamu ,na bahati nzuri mwizi anajulikana.
Nawatakia kila kheri kwenye MAPINDUZI .
Rwanda imetuma wanajeshi kwenye mpaka wake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, saa chache baada ya DRC kumfukuza balozi wa Rwanda kwa madai ya DRC kwamba serikali ya rais Paul Kagame inawaunga mkono waasi wa M23.
Msemaji wa serikali ya Rwanda, Alain Mukurarinda amesema kwamba “wakiamua...
Kwa huu Unafiki Wenu, Wivu na Chuki Kubwa dhidi ya Rwanda Taifa lenu japo kuwa ni Kongwe ila hadi leo Umeme ni wa Shida, Maji ya taabu japo mna Mito mingi na Maziwa mengi, Elimu yenu ikiwa ICU kwa sasa na Mwezi huu Utafiti umeonyesha pia kuwa Watanzania Milioni Saba (7) wana Ugonjwa wa Akili...
Tayari Tanzania, Burundi na Nusu ya Wakenya wanaisapoti Congo DR huku pia Uganda na Nusu ya Wakenya wakiisapoti Rwanda.
Wazungu ambao Siku zote hawataki Kuiona Jumuiya hii ya Afrika Mashariki ikistawi wamefanikiwa Kutugombanisha na kwa Uzuzu wa Wanaogombanishwa wamekubali Kuingia katika huu...
Balozi Vincent Karega ameamriwa kuondoka Nchini ndani ya saa 48 kutokana na tuhuma za mara kwa mara za Rwanda kuunga mkono Waasi wa #M23, madai ambayo Rwanda imekuwa ikikanusha mara kwa mara
Uamuzi wa kumfukuza Karega unatarajiwa kuzua zaidi mvutano kati ya Nchi hizo Mbili ambazo uhusiano wao...
Waziri wa Mambo ya Ndani nchini humo amesema mkanyagano ulisababisha vifo vya watazamaji tisa na maafisa wawili wa polisi wakati wa tamasha lhilo kwenye uwanja mkubwa zaidi wa michezo katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Watu wengi sana walikuwa wameruhusiwa kuingia katika...
Kama shabiki mkubwa wa muziki nimeona leo niandike kitu tujikumbushe watu walionogesha sana muziki wa Congo... Marapa... hawa jamaa walikuwa wanafanya sebene zinoge. Ninaandika huku nikiusikitikia muziki wa dansi ukiwa hauna nguvu kabisa kiasi kwamba wanamuziki wa Bongo Fleva na wanigeria...
"Kwakuwa Rais wa Congo DR amekataa Kuzungumza nasi sasa tunamuomba asitulaumu kwani sasa tutampiga na kuanza Kukamata miji yote Muhimu na asidanganywe na Wanajeshi wa nchi Mbili Viherehere wanaomsaidia kwani watarejea Makwao wakiwa Maiti" Msemaji wa Waasi wa Kundi la M23.
Chanzo: Amka na BBC ya...
Franco Luambo Makiadi A.K.A Le Grand Mitre (Mwalimu Mkuu) atakumbukwa kwa mengi ila makubwa ni haya yafuatayo;
1. Utunzi makini.
2. Upangiliaji wa nyimbo.
3. Upigaji bora wa solo gitaa.
4. Uibuaji wa vipaji vya muziki.
5. Nidhamu kwa wanamuziki.
6. Sebene la muda mrefu.
7. Kuchomekea majina...
Ripoti hiyo inasema idadi kubwa ya matukio ya ukatili na mateso imetokea katika maeneo yaliyoathiriwa zaidi na migogoro ya kivita ambapo 44% ya mateso yalifanywa na maafisa wa Serikali wakiwemo Jeshi la Polisi na Jeshi la Ulinzi.
Ofisi ya Haki za Binadamu pia imesema kwa kipindi cha Juni 1...
Africans tunaswagwa Tu kama ng'ombe hatujui tunaelekea wapi. Ila anatuswaga ndo anajua anakotupeleka.
Hoja ya msingi hivi ni kweli nguvu za kiume ndo tatizo kubwa kwa vijana wa kitanzania. Mkuu wa Nchi unaamka unauambia ulimwengu vijana wangu Wana upungufu wa nguvu za kiume kwamba nalo ni...
Naomba kujua hii serikali ya sasa inaendeleaje na mkakati wa kuunganisha DR Congo na Tanzania Ili mizigo ya DR Congo isipitie Zambia bali ipitie Tanzania na kufika DR Congo kupitia Sumbawanga
Waziri wa Afya Jean-Jacques Mbungani Mbanda amesema Serikali imejiridhisha ikiwa ni baada ya siku 42 za ufuatiliaji ulioimarishwa bila kuwepo kwa mgonjwa mpya aliyebainika kukumbwa na janga la Ebola.
Ebola iliripotiwa kurejea tena Agosti 22, 2022 baada ya Virusi hivyo kugundulika katika mji wa...
Ruto amesema kwasababu Umoja wa Mataifa umetuma vikosi vyake kusaidia katika upatanishi wa amani na kupambana na waasi wa M23, kwa upande wa Kenya ikiwa ni sehemu ya EAC pia itajitolea kusaidia taifa hilo la Afrika ya Kati.
Alibainisha kuwa kila nchi ndani ya EAC, ambayo DRC ni sehemu yake kwa...
Duru zinatabanaisha Rwanda inaiba na kuwasafirisha wanyama hai kutoka mbuga ya wanyama ya Virunga nchini Congo na kuwapeleka/ kuwauza nchi za Uarabuni kwa mamilioni ya Dola.
Ifahamike, kundi la waasi la M23 ndilo linaendesha shughuli zake za uasi ndani ya mbuga la Virunga huko Kivu ya Kaskazini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.