congo

  1. Akilihuru

    Jeshi la Kenya lililopelekwa nchini Congo linatia aibu

    Kwema wakuu, Wengi tulijua tu kwamba jeshi la Kenya halitaweza hata kurusha jiwe kwa kundi hilo la waasi wa M23, kutokana na jeshi hilo kuliogopa vibaya kundi hilo. Sasa hali inazidi kuwa mbaya na kundi hilo linazidi kuteka maeneo mbele ya macho ya jeshi la Kenya huku Wakenya wakiangalia tu...
  2. B

    Mzozo wa Congo, kwanini mchokozi asiwajibishwe?

    Katika mizozo yote, kila siku pana mchokozi na mhanga. Congo imekuwa ikiinyoshea kidole Rwanda siku zote kuwa ndiyo yenye lake jambo kwenye mzozo huu. "Kulikoni kushindwa kumfunga Paka kengele? " Tanzania ya Nyerere haikuukubali katu upuuzi wa namna hii. Haikujali ulikuwa ukitokea...
  3. Analogia Malenga

    Congo wagundua mawe yenye umeme, tutarajie ugomvi zaidi?

    Mambo ya Congo haya,
  4. kwisha

    Felix Tshisekedi anapoteza DR Congo

    Sijui kama felix anakomboa Kongo au anazidi kuipoteza Congo. Wakongomani tulimtukana Katumbi kwa kusema sio mkongomani sijui maneno mengi alivyosema kuna ya kuachana na vita hivi tujenge kwanza jeshi imara. Ambalo litakuwa na uwezo wa kupambana kuliko kushirikisha majeshi mengine ya nchi...
  5. kmbwembwe

    Ili kumaliza matatizo mashariki ya Congo ni lazima kung'oa utawala wa Kitutsi Rwanda

    Najua watutsi kote eneo la maziwa makuu watapinga kwa nguvu ila huu ndio ukweli. Ili kutatua tatizo la ukosefu wa amani mashariki ya congo ni lazima kwanza kuung'oa utawala wa kitutsi unaoongozwa na Kagame Rwanda. Kwa hulka na desturi ya Watutsi ya kugombea kuhodhi wao madaraka ya kisiasa kwa...
  6. BARD AI

    DR-Congo: Mkenya akamatwa kwa kuhusika na Bomu lililoua watu 10 Kanisani

    Mamlaka zimetangaza kumshikilia mwanachama wa kundi la Kigaidi la Allied Democratic Forces #ADF kwa madai ya kupanga shambulizi la Bomu huko Kivu Kaskazini. Kitengo cha Polisi cha Kupambana na Ugaidi Nchini #Kenya (ATPU) leo Januari 16, 2023 kimemtambua raia huyo kuwa ni Abdirizak Muktar Garad...
  7. BARD AI

    Rais Kagame akataa nchi yake kupokea Wakimbizi wa DR Congo

    Rais Paul Kagame amesema Nchi yake haiko tayari kutoa hifadhi kwa watu wanaokimbia migogoro kwa maelezo kuwa hilo sio tatizo la Rwanda hivyo hawezi kubeba mzigo usi wake. Kagame amesema chanzo cha mgogoro wa DRC na Rwanda ni mabaki ya vikosi vya Wahutu wenye itikadi kali ambao walijaribu...
  8. Moronight walker

    Ujasusi Congo: Majasusi wa Rwanda wakamatwa nchini Congo

    Serikali ya drc imesema kwamba imekamata majasusi wa Rwanda jijini Kinshasa. Ambao walifanikiwa kujipenyeza na kuwa ba mawqsiliano na maofisa wa juu wa jeshi la congo. Majasusi HAO walikuwa wanapanga njama za kuangusha ndege ya rais felix. Serikali ya congo imesema wanao USHAHIDI wa kutosha...
  9. J

    Majeshi ya Sudani ya Kusini yaelekea Mashariki ya Congo kulinda amani

    ..Naona Jumuiya ya Afrika Mashariki imedhamiria amani ipatikane Congo. ..Sudani ya Kusini naye imetoa wanajeshi wake kwenda Congo kulinda amani.
  10. jMali

    Banyamulenge ni wahanga wa Kagame

    Kwa wasiojua, Banyamulenge ni watu wenye asili ya kitutsi wanaopatikana DRC kabla hata ya mipaka ya wazungu, kama ambavyo Wamasai wako Kenya na Tanzania. Tunaongelea zaidi ya miaka 200. Kagame anavyofanya fujo Africa Mashariki watu wote wenye asili ya Rwanda/Burundi wanajikuta wahanga. Hata hapa...
  11. Mwande na Mndewa

    Kolo Muani na Kylian Mbappe watimiza matakwa ya mizimu ya babu zao waliolala Cameroon na Congo

    Jana mchana niliposema Waafrika tulimtuma Kolo Muani kuwapiga kibao Morocco kwa kusema wao sio waafrika na leo tunamtuma Kylian Mbappe kuwapiga ngumi Argentina ilionekana ni kama jambo jepesi lakini lilibeba maana nzito ya kiulimwengu! Waargentina waliwatesa Waafrika miaka ya 1870 hadi 1900 na...
  12. BARD AI

    Rais Kagame: Umwagaji Damu nchini DR Congo hauihusu Rwanda

    Rais Paul Kagame amesema matatizo ya Congo hayakuundwa na Rwanda na si matatizo yao pia hawezi kuwajibika kwa matatizo yanayosababishwa na Wakongo wenye asili ya Rwanda wanaodai kunyimwa Haki zao kama raia. Kauli ya Kagame inakuja kukiwa na ongezeko la vifo na mwagaji damu katika maeneo...
  13. BARD AI

    DR Congo: Mafuriko yaua watu 141 na kuharibu nyumba 38,000, Rais atangaza siku 3 za Maombolezo

    Taarifa ya Wizara ya Afya imesema hadi kufikia leo Desemba 14, 2022 imehesabu miili 141 na kuongeza kuwa idadi inaweza kuongezeka kadri utafutaji unavyoendelea. Zaidi ya nyumba 38,000 zimekumbwa na Mafuriko na nyingine 280 zikiporomoka jijini Kinshasa, eneo lenye Wakazi Milioni 15...
  14. Chizi Maarifa

    Mtoto wa Museveni Kainerugaba atema cheche kuhusu Rwanda na DR Congo. Afrika Mashariki wanyamaza

    Kipindi flani hawa Rwanda na Uganda wasingetamba hivi. Mimi nawaonea huruma sana DR Congo. Hawa miaka mingi wanachezewa. Toka miaka ile na wakoloni na sasa Waafrika wenyewe kwa wenyewe. Tena wa hapahapa East Africa. Hapana kwa kweli. Ningekuwa na uwezo ningewasaidia Congo. Hawa wapuuzi...
  15. Akilihuru

    M23 yatuma salam za uimara wake kwa vikosi vya KDF na FDNB vilivyopelekwa Congo kuthubutu kuwapokonya silaha

    Za asubuhi wakubwa, weekend inaendeleaje? Leo nawaletea muendelezo wa kile kinachojiri huko Congo katika oparation ya jeshi la kanda yetu hii ya EAC. Oparation hii mahsusi imebuniwa kwa lengo la kuwapokonya silaha waasi wote waliopo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ila walengwa haswa wa...
  16. BARD AI

    Serikali ya DR Congo yamuonya Kagame kumuongelea vibaya Rais Tshisekedi

    Msemaji wa Serikali Patrick Muyaya amesema Rais Paul Kagame ana lengo la kumdhoofisha Rais Tshisekedi kwenye Uchaguzi ili aendelee kufanya uporaji wa madini kwenye maeneo yenye migogoro Muyaya amesema Kagame hana sifa ya kuongelea masuala ya Utawala Bora kwa kuwa kwenye suala la Demokrasia...
  17. GENTAMYCINE

    Rais Kagame: Naunga mkono amani ya Congo DR, ila Rwanda ikichokozwa itajibu mapigo na watajuta kuifahamu

    "Nimeshiriki mazungumzo ya amani ya Congo DR na hata kushauri mambo mema ila nasikitika mwenzangu hataki kuwajibika kwa upande wake." "Wanasema Rwanda inaipiga Congo DR ila hawasemi wala hawaoni jinsi Congo DR inavyoivamia mara kwa mara Rwanda." "Napenda mno amani na sipendi machafuko kwani...
  18. IamBrianLeeSnr

    Mzozo wa DRC: Matumaini mapya baada ya mazungumzo ya Amani ya DR Congo kuanza nchini Kenya

    Rais wa Kenya William Ruto (aliyekaa kushoto), Evariste Ndayishimiye wa Burundi (katikati) na rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta (kulia), pamoja na mjumbe maalum wa umoja wa mataifa katika mziwa makuu Huang Xia (wa 3 kutoka kulia kwa waliosimama) Nairobi Kenya Nov 29, 2022 Rais wa Rwanda Paul...
  19. GENTAMYCINE

    Msemaji wa M23: Hatujashirikishwa katika Mazungumzo ya Amani Nairobi hivyo Kipigo kitaendelea huko Congo DR

    "Hii ni mara ya Pili M23 tunabaguliwa na hatushirikishwi katika Mazungumzo ya kutafuta Amani ya Kwetu Congo DR kama haya ya Leo Nairobi Kenya hivyo nasi tutaendelea Kuwapambania Wakongo kwa Kupambana na Utawala wa Rais Tshisekedi ambao ni wa Kibaguzi hasa kwa Wakongo tutokao Mashariki" Wille...
  20. GENTAMYCINE

    Mataifa mengine EAC mnaojiandaa kupeleka Wanajeshi wenu Congo DR hakikisheni wanagawa Urithi kabisa

    Waasi wa M23 hawana Masihara kabisa hivyo GENTAMYCINE nawaonya mapema msije Kukurupuka nanyi Kuwaiga Wakenya waliopeleka Wanajeshi ( Askari ) Wao 901 na Kukurupuka kupeleka Wenu kwani kwa Uhodari wa Waasi wa M23 kuna uwezekano nanyi mkipeleka wenu 500 watakaorejea Hai ni Wawili ( 2 ) au hata...
Back
Top Bottom