Kiukweli nikiona watumishi wa Mungu, wana wa ufalme wanaingia darasani na kusoma mavitu mazito, na kufanya tafiti na kupata titles OG sio feki, inatia moyo sana.
Najua sio rahisi ndio maana wengi tunaona wanapita chocho wanaibuka na phd unaa zisizo na utafiti za kupewa na vyuo visivyotambulika...