corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    Brazil: Mahakama Kuu yaamua Copa America kuendelea licha ya kitisho cha Corona

    Mahakama Kuu ya Brazil imesema Michuano ya Copa America ambayo inatarajiwa kuanza Jumapili inaweza kuendelea Nchini humo licha ya janga la Corona. Majaji wametoa uamuzi huo baada ya Mkutano wa dharura kusikiliza maombi ya kusitisha mashindano hayo kutokana na COVID19 ikielezwa yatahatarisha...
  2. Suley2019

    #COVID19 IMF: Tanzania lazima iweke wazi takwimu za COVID-19 ili ipate msaada wa dharura

    Tanzania inahitaji kuweka wazi data ya ueneaji kwa Covid-19 kabla ya kupata idhini ya mkopo wa dharura wa Dola 574 milioni kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa. Maamuzi hayo yanatokana hali ya kutojulikana kwa takwimu halisi za ugonjwa huo tangu Serikali ilipoacha kuziweka wazi Mei mwaka 2020...
  3. MenukaJr

    Kuhusu Corona, Serikali isiturudishe nyuma

    Taarifa ya Msemaji Mkuu wa Serikali iliyotolewa tarehe 05 June, 2021 imebainisha kwamba Rais wa JMT amepokea tayari taarifa mbili kutoka katika Kamati aliyoiunda kwa ajili ya kufuatilia na kuishauri Serikali namna ya kupambana na gonjwa la corona. Taarifa ya kwanza ilikua ni yenye maoni ya namna...
  4. Shadow7

    WHO: Dozi za Corona zilizotolewa mpaka sasa nchi tajiri 44 %, mataifa maskini 0.4%

    Shirika la Afya Ulimwenguni WHO, limesema nchi tajiri kiviwanda za kundi la G7 zina uwezo wa kutoa dozi milioni 100 za chanjo ya Corona kwa nchi maskini mwezi Juni na Julai pekee kusaidia kufikia malengo ya utoaji chanjo duniani kote katika mkutano wao wa kilele wiki hii. Mkuu wa WHO Tedros...
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    Wasafiri Uwanja wa Ndege Dar, Walalamikia utaratibu wa kupimwa corona

    Download 720 Waziri wa Afya anatakiwa kubadilisha utaratibu mbaya unaofanywa Mjini Dares-Salaam Airport. kuhusu Wageni ama sivyo Mwaka huu Tanzania itakosa wageni wengi na pato la Taifa kuhus wageni litashuka. Sikiliza hiyo video. ==== WASAFIRI katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
  6. beth

    WHO: Hatuna mamlaka ya kuilazimisha China kutoa taarifa zaidi kuhusu asili ya janga la Corona

    Afisa wa Juu wa Shirika la Afya Duniani amesema WHO haina mamlaka ya kuilazimisha China kutoa taarifa zaidi kuhusu asili ya mlipuko wa Virusi vya Corona Hivi karibuni Nadharia ya kuvuja kutokea Maabara iliyopo Wuhan kwa bahati mbaya imekuwa na mjadala mpya baada ya Wanasayansi kadhaa kutaka...
  7. beth

    #COVID19 Luhaga Mpina: Corona isiwe kwa wazembe kukusanya mapato ya Serikali

    Mbunge Luhaga Mpina ametahadharisha mlipuko wa COVID19 usiwe kinga kwa watu waliozembea kukusanya mapato ya Serikali kwa kisingizio cha Ugonjwa huo. Katika mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Fedha, Mbunge huyo amehoji namna Wizara hiyo inafuatilia ili kujiridhisha pale inapoambiwa sababu ni Virusi...
  8. J

    #COVID19 Serikali: Chanjo ya Corona iliyoruhusiwa ni kwa wafanyakazi wa Balozi na taasisi za nje, kwa Watanzania bado hatujaamua

    Msemaji mkuu wa serikali Mh Gerson Msigwa ametolea ufafanuzi tangazo la serikali linalohusu chanjo ya Corona. Msigwa amesema chanjo iliyoruhusiwa ni kwa ajili ya wafanyakazi wa balozi na taasisi za kigeni tu. Kuhusu chanjo ya Corona kwa wananchi serikali itafanya uamuzi baada ya kupitia kwa...
  9. Analogia Malenga

    DRC yakabiliwa na wimbi la tatu la maambukizi ya Virusi vya Corona

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inakabiliwa na wimbi la tatu la maambukizo ya corona, na huku kitovu kikiwa katika mji mkuu, Kinshasa, ikiwa ni moja ya miji yenye idadi kubwa ya watu barani Afrika, Waziri wa Afya Jean-Jacques Mbungani alisema Alhamisi. Kwa mujibu wa shirika la habari la...
  10. Miss Zomboko

    #COVID19 Mamilioni ya watu duniani huenda wakapoteza ajira kutokana na Corona

    Shirika la kazi duniani ILO limesema mamilioni ya watu ulimwenguni wamepoteza ajira zao au kupunguziwa muda wao wa kufanya kazi kufuatia janga la virusi vya Corona. Katika ripoti yake ya tathmini iliyotolewa leo shirika hilo la kimataifa limeeleza kwamba, ikiwa janga hilo halitoongezeka soko...
  11. Jumbe Brown

    CHADEMA na kutochukua tahadhari ya Corona katika mikutano yake

    Wameendelea kutovaa barakoa. Ni CHADEMA hawahawa walioishinikiza serikali ya awamu ya 5 itoe takwimu za kila siku za wagonjwa wa UVIKO-19. Ni CHADEMA hawahawa walioupinga msimamo wa jemedari Hayati Dkt. Magufuli juu ya kutowekwa lockdown nchi nzima/maeneo yenye msongamano. Kipi kilitarajiwa...
  12. MsemajiUkweli

    #COVID19 Je, Viongozi na Watendaji Serikalini wameyapuuza mapendekezo ya Kamati ya kutathmini Covid-19?

    Takriban wiki ya tatu tokea Kamati maalumu ya tathmini ya ugonjwa wa Corona (COVID-19) nchini kukamilisha kazi yake na kukabidhi ripoti kwa Rais Samia Suluhu Hassan. Tume hiyo ilikuja na mapendekezo zaidi ya 19 ambapo mpaka sasa ukiondoa pendekezo ya kuagiza chanjo ya Corona ambalo serikali...
  13. YEHODAYA

    Mbowe alisema kachanjwa chanjo ya Corona, mbona anaendelea kuvaa barakoa? Nchi walizochanja nao wanaendelea kuvaa barakoa

    Mbowe aliutangazia umma kuwa yeye keshachanja chanjo ya Corona lakini kila anapoenda barakoa haimtoki. Nimeangalia nchi za wenzetu pia kama ULAYA na Marekani wamechanja lakini kutwa wanavaa vibarakoa!! wana maintain social distance, kunawa maji tiririka nk. Sasa hiyo chanjo ina kazi gani kama...
  14. Q

    Rais Mwinyi: Tukatae uzushi kuwa Mtu akipata chanjo ya corona atakufa

    "Chanjo ya ugonjwa wa Corona ni hiari, hatolazimishwa mtu kuchanja chanjo hiyo. Tukatae uzushi kuwa mtu akichanjwa atakufa, sio kweli" Ndugu @DrHmwinyi Rais wa Zanzibar na M/kiti wa BLM Mjumbe wa Kamati Kuu ya H/Kuu ya Taifa. Mahonda, Kaskazini Unguja. Mei 29, 2021.
  15. OLS

    Chanjo ya Corona ikitolewa kwa hiyari, tutakula hasara

    Ni kwa muda sasa kumekuwa na mjadala kuhusu chanjo ya corona ambayo inawezekana kwa sababu za kisiasa, wameamua kusema kuwa ni hiyari. Ili watu wasione ubaya wa kuchoma. Lakini naomba ni waambie ikiwa ni ya hiyari, tutakula hasara Hasara ya chanjo kuwa hiyari Chanjo tunanunua na kuongezewa...
  16. beth

    Brazil: Wananchi waandamana kupinga namna Serikali inashughulikia janga la Corona. Washinikiza chanjo zaidi zitolewe

    Maandamano yanaendelea Nchini Brazil kuhusu namna janga la COVID-19 linavyoshughulikiwa na Serikali ya Rais Jair Bolsonaro. Katika Mji Mkuu wa Brasilia, maelfu ya watu wamekusanyika mbele ya Jengo la Bunge wakitaka Rais kufunguliwa mashtaka na kushinikiza upatikanaji wa Chanjo zaidi. Pia...
  17. M

    Chanjo ya corona: Ushuhuda wa huyu jamaa msikilize (FAKE NEWS)

    Hebu atakayefanikiwa kumsikiliza vizuri atufafanulie anacholalamika huyu jamaa. Inaelekea chanjo ya corona imemwunganisha moja kwa moja na mtandak wa AstraZeneca(chanjo ya corona kupitia bluetooth). Click hiyo picha umsikilize. FACT CHECK: Fact Check-AstraZeneca’s COVID-19 vaccine does not...
  18. J

    Musukuma: Maprofesa wanatuchanganya; wakati wa Magufuli walisema hakuna Corona na wakati huu wa Samia wanasema tuchanjwe

    Mbunge wa Geita Vijijini mh Joseph Kasheku aka Msukuma amesema Maprofesa wa Tanzania wanafeli sana na hii inasikitisha ndio maana aliwaripua bungeni. Msukuma amesema kwa mfano tafiti za Corona zilizofanywa na maprofesa wakati wa hayati Magufuli wakitumia mapapai mbuzi, sungura, mafenesi na oil...
  19. K

    #COVID19 Rais Biden ataka kuchunguzwa asili ya Covid-19 wakati vyombo vya intelijensia Marekani vikiunga mkono kuwa imetokea China

    Tusije kushangaa kwanini Corona imekuwa kali hivi ukweli unaanza kuonyesha kwamba Corona hii imetoka kwa bahati mbaya kwenye maabara huko China. Inawezekana walikuwa wanafanya uchunguzi wa chanjo za magojwa ya corona na bahati mbaya wakatengeneza virus na wakatoka pale na kuambukiza watu na...
  20. Sam Gidori

    Kenya kupokea chanjo ya Corona iliyorudishwa na Sudan Kusini

    Kenya inatarajiwa kupokea dozi 72,000 za chanjo ya Oxford/AstraZeneca kutoka Sudan Kusini zilizorudishwa kwa Mpango wa Pamoja wa Chanjo wa Dunia, COVAX. Sudan Kusini imesema inarudisha chanjo hizo kutokana na kushindwa kuzigawa kwa wananchi kwa wakati kabla hazijaisha muda wake wa matumizi...
Back
Top Bottom