Rwanda has confirmed the first case of corona virus today
It becomes the 2nd country in East Africa after Kenya yesterday confirmed its first case
DR Congo also confirmed their case in the past few days
Rais Magufuli ameishukuru serikali ya Germany kwa msaada walioutoa kujenga karakana hiyo ya kisasa.
Pia Rais Magufuli amempa balozi barua maalumu ya shukrani kwa counvillor Mikael wa Germany.
Kadharika Rais Magufuli ametumia fursa hiyo kuwataka watanzania wajihadhari na ugonjwa huo hatari.
Rais...
Maambukizi ya Corona Virus barani Afrika yamefikia 134 baada ya maambukizi mapya manne kuripotiwa Afrika Kusini leo. Hadi sasa watu watatu wamefariki dunia kutoka nchi za Misri, Morocco na Algeria.
Misri ina idadi kubwa zaidi ya waathirika ikifuatiwa na Algeria
====
As coronavirus continues to...
NBA suspends season due to coronavirus
Rudy Gobert, mchezaji wa timu ya Utah Jazz amepimwa na kukutwa na coronavirus. Hii imesababisha ligi iahirishwe mpaka wakati utakaoamuliwa (until further notice).
Game ya jana kati ya Oklahoma City Thunder (OKC) na Utah Jazz iliyokuwa ichezewe Chesapeake...
The Democratic Republic of Congo has reported recording its index case of coronavirus. The patient is a Belgian national who was under quarantine in the capital Kinshasa upon entry through the airport.
Authorities say he has since been isolated. DRC is currently quarantining passengers entering...
Mawaziri wa Afya wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), wameshauri kusitishwa kwa vikao vyote vya ana kwa ana vya jumuiya hiyo hadi mlipuko wa ugonjwa wa homa ya mapafu wa corona utakapodhibitiwa.
Hatua hiyo imefikiwa wakati kunatarajiwa kufanyika mkutano wa Baraza la Mawaziri wa...
Hadi hivi sasa Tanzania na Afrika Mashariki hali ni shwari. Kabla ya kupitia thread hii osha mikono kwa kimiminika chenye uwezo wa kupambana na maambukizi, maji safi na sabuni. Hali ni mbaya duniani kote maambukizi yanazidi kuongezeka pamoja na vifo vikiripotiwa.
Tanzania na Sehemu ya maziwa...
Aliyetengeneza hiki kirusi pengine hakujua kitasambaa kiasi hiki Nina uhakika hofu iliyopo Duniani kwa sasa dhidi ya Coronavirus ni kubwa kuliko Silaha za maangamizi ya Nuclear
Hakuna mwanadamu popote Duniani ataandamana kwa sasa
Hii itakuwa na athari ya muda mfupi juu ya uchumi wa Dunia...
Whether it's a matter of faulty detection, climatic factors or simple fluke, the remarkably low rate of coronavirus infection in African countries, with their fragile health systems, continues to puzzle – and worry – experts.
To date, only three cases of infection have been officially recorded...
Ni siku kama ya tatu mwanagu wa mwaka mmoja anakohoa kikohozi kikavu na usiku anapata taabu ya kupumua.
Mimi ni mfauatiliaji wa thread ya Coronavirus humu, nimekosa raha kabisa na isitoshe niko mbali nao.
Yaani kila nikifuatilia habari ya wataliii Arusha natamani kulia kwa jinsi serikali...
Mzuqa,
Kijana wetu mpendwa Mbwana Ally Samatta, mshambuliaji hatari haijawahi kutokea tangu mbingu na nchi ziumbwe leo katika ukurasa wa mbele front page katika gazeti linaloheshimika Uingereza -- Dailymail -- wameleta history yake.
Wamemuelezea jinsi ni tegemeo Aston Villa na anavyotarajia...
Mhudumu wa uwanja wa KIA amesema katika kipindi hiki ambapo ugonjwa wa Corona Virus umepiga sana China, idadi ya watalii kutoka China imeongezeka maradufu kuja nchini.
Wachina wenyewe wakihojiwa wamesema pamoja na utalii wamekuja kutafuta sehemu salama kukimbia ugonjwa huo kwao.
Hii hali...
Serikali ya Kenya, japo imesimamisha ndege zake za KQ kwenda China, imekuwa ikiruhusu abiria kutoka China kungia nchini humo bila kuwa na tahadhari zozote zaidi ya kuwapima joto wanapowasili uwanja wa Jomo Kenyatta au kuwadhibiti katika kile kipindi cha siku 14.
Hii imezua taharuki kwa...
Serikali ya Saudi Arabia imezuia wageni wote wanaoingia nchini humo kwa safari za kidini, ikiwemo wanaotembelea miji mitakatifu katika dini ya Kiislamu - Makka na Madina.
Mamilioni ya watu huingia Saudia mwaka mzima kufanya ibada ya Umra, na wengi zaidi huingia kwa pamoja kufanya ibada ya Hija...
Mzuqa
Utawala wa kero na maigizo wa akina Ayatollah Iran imeilaumu vikali na kuisingizia taifa la Israel na Marekani kusababisha wa Iran wengi kutojitokeza kupiga kura katika uchaguzi wa Wabunge kwasababu ya coronavirus.
Wanadai maadui wa Iran Israel na Marekani wameingiza virusi hivyo Iran...
Matajiri wakubwa duniani kama Bill Gates ni watu wenye resources nyingi ikiwemo access za conspiracies mbalimbali na intelligent missions. Bill Gates kutabiri kuwa waafrika milioni 10 watakufa kwa coronavirus sio jambo la kupuuzwa, hasa ikizingatiwa habari hii imeandikwa na gazeti maarufu la...
Hapa kuna maelezo mazuri toka DW yakieleza theories mbalimbali juu ya "kwa nini ugonjwa wa Coronavirus haujaripotiwa Afrika".
Moja ya sababu zilizotaja ni uwezo mdogo wa maabara za nchi nyingi za Afrika zmbazo hazikuwa na uwezo wa kutest coronavirus.
Hadi wiki iliyopita ni maabara za nchi...
The endangered pangolin may be the link that facilitated the spread of the novel coronavirus across China, Chinese scientists said Friday.
At least 31,000 people have been infected and 630 killed by the virus, which has spread to two dozen countries.
Researchers at the South China Agricultural...
Mzuka wanajamvi
Mimi sinaga bahati kabisa. Tangu outbreak wa hili gonjwa hatarii nimekuwa kwa maksud nashindilia na kubughia minofu na supu ya popo mfululizo lakini wapi ndio kwanza afya yangu inaimarika.
Kutokana na kujaliwa na perfect genes na strong body immune system niliorithi kwa mababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.