covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. #COVID19 Waziri wa Afya: Kuna wagonjwa 26 wa COVID-19 mkoani Dodoma

    Waziri wa Afya nchini Tanzania Dk Dorothy Gwajima, amesema mkoa wa Dodoma hadi sasa una wagonjwa 26 wa COVID-19 na kati ya hao wagonjwa 22 wanapumulia gesi. Dk. Gwajima amewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya wimbi la tatu la ugonjwa wa COVID 19.
  2. #COVID19 Dkt. Dorothy Gwajima: Serikali haitatumia nguvu, jilindeni na Covid-19

    PICHA: Dkt. Dorothy Gwajima Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema serikali haitatumia nguvu katika kukabilia wimbi la tatu la virusi vya corona, na badala yake watajikita katika utoaji elimu zaidi. Akijibu maswali ya waandishi wa habari jana Dar es...
  3. L

    #COVID19 Huu sio wakati mwafaka kwa Ulaya kulegeza hatua za kupambana na COVID-19

    Wakati baadhi ya nchi zimekuwa zikipambana na wimbi la tatu la maambukizi ya COVID-19, na zikiendelea na juhudi za kutoa chanjo kwa watu wake, baadhi ya serikali zimekuwa zikitafuta kila njia ya kurudisha hali ya kawaida, bila hata kuzingatia tahadhari zinazotolewa na wataalamu wa afya. Hali hii...
  4. #COVID19 Kuingia kwenye wimbi la tatu ni Uamuzi Kama Ilivyo Kutokuingia

    Utakumbuka wakati ule ametangazwa mgonjwa wa kwanza wa COVID-19 Tanzania, watu wengi walianza kuchukua tahadhari. Lakini kirusi alishaingia Tanzania. Watu baadhi wakaumwa. Kwakuwa tahadhari ilikuwa juu, idadi ya waliokuwa wanaumwa ikaanza kupungua. Virusi hawakuwa wameisha! Walikuwa wachache. Na...
  5. #COVID19 Napambana na COVID-19 deadly Delta

    Habari 👋🏾 Kumekuwa na hali ya watu wengi kupuuza na kutokuchukua tahadhari ya ugonjwa wa UVIKO na wengine wakienda mbali kudai hakuna ugonjwa kama huo. Napenda kuwaambia COVID-19 deadly Delta yupo Tanzania na kila mahali, nimepatwa na ugonjwa ilhali nipo eneo lilotengwa na pembezoni katika...
  6. #COVID19 RC Kigoma: Mkoa una wagonjwa 12 wa Wimbi la tatu la ugonjwa wa COVID-19

    Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye athibitisha mkoa wake kuwa na wagonjwa 12 wa CoVID-19, RC Andengenye amesema kuwa miongoni mwao 6 wanatibiwa hospitalini na wengine wamejitenga nyumbani. ==== Mkoa wa Kigoma umeripotiwa kuwa na wagonjwa 12 wa Corona ambapo wengine wamejitenga...
  7. #COVID19 Waziri Gwajima: Maambukizi ya COVID-19 yapo, wasiochukua tahadhari waitikie wito

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Doroth Gwajima amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameshatoa maelekezo kila mtu avae barakoa kwenye mikusanyiko, hivyo watu wachukue tahadhari. “Kasi ya wagonjwa kuendelea kujitokeza na kulazwa kwenye hospitali zetu inaashiria...
  8. #COVID19 Corona iko maeneo gani Tanzania?

    Hey, Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania. Hivi majuzi juzi tumesikia taarifa lukuki kuhusu corona. Wengine nimesikia wanasema kwa sasa hili ni wimbi la tatu — Wengine wanaita sijui DELTA kitu gani gani?? Majina yamekuwa mengi kidogo. Kuna DELTA na kuna wimbi. Kiuhalisia...
  9. #COVID19 Rais Samia hili la Covid-19 bado unatuchanganya kidogo, au ungeachana nalo tu?

    Rais Samia kwanza kabisa Mimi sipo upande wa CCM na naichukia sana CCM, lakini kutokana na kusema tukukosoe kwa heshima basi nitafanya hivyo kwako. Naomba nikukosoe kwa heshima kuhusu ili suala la corona. Mara nyingi umekuwa ukituoumbusha na kutuasa kuwa corona iliingia nchini mwetu na ipo na...
  10. #COVID19 Rais Samia: Miji mikubwa ya Tanzania tayari imekumbwa na wimbi la tatu la Covid-19

    Rais Samia akiwa katika ziara yake mkoa wa Morogoro maeneo ya Kibaigwa amewataka wananchi wote kuchukua tahadhari juu janga la Covid-19. Katika kufafanua jambo hili Rais Samia amesisitiza kuwa wimbi la tatu la ugonjwa huu limeshaanza kutikisa katika miji mikubwa ya taifa la Tanzania. Aidha...
  11. #COVID19 Indonesia: Sekta ya Afya yalemewa na ongezeko la wagonjwa wa COVID-19

    Hospitali katika Kisiwa cha Java Nchini humo zinakabiliwa na uhaba wa Oksijeni, Dawa, Vitanda na Wafanyakazi wakati huu ambapo ongezeko la maambukizi ya COVID19 limepelekea Sekta ya Afya kulemewa. Imeripotiwa kuwa, Hospitali kadhaa zimelazimika kufunga huduma za dharura kutokana na kukosa...
  12. #COVID19 Hizi dawa za COVID-19 ni siasa au tuna malengo gani? SUA hiki kitu gani?

    Kwa wasiwasi wangu, koo lilipokwaruza tu, nikajua COVID-19 hiyo. Nikabugia chupa langu. Hapa nilipo niko hoi kwa kuharisha usiku kucha. Ni uchafu gani tunauziwa na taasisi za serikali? Watu wa SUA bado munacheza na afya zetu kama enzi iliyopita? Ni kweli hiki ndo kiwango cha utaalamu wa chuo...
  13. #COVID19 Japan kutangaza hali ya dharura Jijini Tokyo kutokana na janga la COVID-19

    Japan inatarajiwa kutangaza Hali ya Dharura Jijini Tokyo ili kukabiliana na wimbi la Virusi vya Corona. Michuano ya Olimpiki imepangwa kuanza Julai 23, 2021 na itafanyika kwa wiki mbili Uamuzi wa kutangaza Hali ya Dharura unakuja baada ya ongezeko la visa. Kwa wiki kadhaa Wataalamu wa Afya...
  14. #COVID19 Kenya's COVID-19 positivity rate at 7.9% after 400 new cases recorded, 7 dead

    Kenya has recorded 400 new COVID-19 cases from a sample size of 5,068 tested in the last 24 hours, marking a positivity rate of 7.9%. In a statement issued on Tuesday, the Ministry of Health said the total confirmed positive cases are now 186,453 and cumulative tests so far conducted are...
  15. #COVID19 Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) latahadharisha mataifa yanayolegeza masharti ya kukabiliana na Corona

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya kuhusu Serikali ulimwenguni kote kulegeza masharti ya Ugonjwa wa COVID19 mapema ikisema wanaofanya hivyo wapo hatarini kulipa gharama kubwa kwa kutaka maisha kurejea kama awali. Onyo hilo limekuja kufuatia hofu juu ya Kirusi aina ya Delta ambacho...
  16. #COVID19 Takwimu: Mwenendo wa Chanjo ya COVID-19 barani Afrika - Julai 2021

    Baada ya kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona duniani mwanzoni mwa mwaka jana, dunia ilianza kutafuta chanjo, na hadi kufikia mwishoni mwa mwaka, kampuni kubwa tano za Pfizer-BioNTech, Moderna, AstraZeneca na Johnson & Johnson zilikuwa zimetengeneza chanjo za kukabiliana na ugonjwa huo...
  17. #COVID19 Covid-19: Singapore kusitisha kutoa takwimu za ugonjwa. Serikali yawataka wananchi kuishi nao kama mafua

    Serikali ya Singapore imetangaza kuwa itaacha kutoa takwimu za visa vya #COVID19 na kwamba muda umefika wa kuishi na ugonjwa huo kama mafua. Aidha, Serikali hiyo imesema itafuatilia wagonjwa waliozidiwa sana, na pia utoaji wa chanjo na ukaguzi/upimaji kwenye mipaka utaendelea. === As...
  18. #COVID19 Ugandans to be jailed for violating COVID-19 rules

    Ugandans who violate the Covid pandemic control restrictions may go to jail for up to two months. According to new rules released by the health ministry in a statutory document, those found operating banned businesses such as bars, night clubs, cinemas and shops selling non-food items face time...
  19. #COVID19 COVID-19: Urusi yarekodi idadi kubwa zaidi ya vifo tangu kuanza kwa mlipuko

    Taifa hilo limerekodi vifo 697 vya COVID-19, idadi ambayo imetajwa kuwa kubwa zaidi kuripotiwa ndani ya siku moja tangu kuanza kwa mlipuko. Aidha, Mamlaka pia zimerekodi maambukizi mapya 24,439 huku 7,446 kati ya visa hivyo vikitokea Mji Mkuu wa Moscow. Ongezeko la maambukizi limetajwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…