covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. #COVID19 COVID-19: Vifo Nchini India vyafikia 400,000

    Wakati jitihada za kuongeza kasi ya Chanjo zikiendelea Nchini humo, idadi ya vifo kutokana na janga la Virusi vya Corona imepita 400,000 huku Wataalamu wakionya namba halisi inaweza kuwa kubwa zaidi kwasababu vifo vingi havijarekodiwa rasmi. Hivi karibuni, maambukizi mapya India yamepungua...
  2. #COVID19 Kwanini mganga wa Hospitali Mwananyamala alimwingiza Rais chumba cha wenye Covid-19 bila kumfahamisha kabla?

    Corona ni ugonjwa hatari wa kuambukiza kwa njia ya hewa, Rais alitakiwa kufahamishwa kuwa sasa anaingia wodi ya wagonjwa wenye corona ili ajiandae kimwili na kiakili, pia ahiari mwenyewe kuingia au kutoingia wodi ile. Rais ameonekana hadharani kushitushwa kwa kujikuta katikati ya wagonjwa wa...
  3. #COVID19 Indonesia kuchukua hatua za dharura kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya Corona

    Kufuatia ongezeko kubwa la maambukizi ambalo limepeleka Sekta ya Afya kulemewa, Rais Joko Widodo amesema Indonesia itachukua hatua za dharura ili kukabiliana na hali ya mlipuko. Kirusi Delta ambacho kilisababisha ongezeko kubwa la maambukizi India mwezi Aprili na Mei kimetajwa kusambaa katika...
  4. #COVID19 WHO yaonya kuhusu wimbi jipya la maambukizi barani Ulaya

    Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ulaya, Hans Kluge amesema Wimbi jipya la Maambukizi haliwezi kuepukika ikiwa Wananchi na Viongozi hawataendelea kuwa na nidhamu Wiki iliyopita maambukizi mapya yaliongezeka kwa asilimia 10 ambapo baadhi ya vichocheo vilivyotajwa kusababisha hali hiyo ni...
  5. Shirikisho la Mpira Uganda (FUFA) laitanganza Express FC kuwa mabingwa kutokana na ligi kusimama kwa Covid-19

    Shirikisho la Chama cha Soka la Uganda limemaliza Ligi Kuu ya 2020-21 na kutangaza Express FC kama mabingwa. Fufa imelazimika kuchukua uamuzi kufuatia tangazo la hivi karibuni la Rais Yoweri Museveni kupiga marufuku shughuli zote za michezo nchini humo kwa sababu ya kuwapo kwa idadi kubwa ya...
  6. #COVID19 Covid-19: Rwanda yafunga shule, yazuia mikusanyiko ya kijamii, muda wa kutotoka nje waongezwa

    Ofisi ya Waziri Mkuu nchini Rwanda imeamuru kufungwa kwa shule na vyuo vikuu na kuzuia mikutano na mikusanyiko yote ya kijamii, kuanzia Julai 1. Zuio la kutotoka nje kuanzia saa 1 jioni hadi saa 10 alfajiri limebadilishwa na amri ya kutotoka nje sasa itaanza saa 12 jioni hadi saa 10 alfajiri...
  7. #COVID19 COVID-19: Miji kadhaa Nchini Australia yaweka lockdown

    Takriban nusu ya watu katika Taifa la Australia wametakiwa kutekeleza agizo la kukaa nyumbani huko Sydney, Brisbane, Perth, Darwin, Townsville na Gold Coast Mamlaka zinafanya jitihada kudhibiti maambukizi ya Kirusi cha Corona aina ya Delta ambacho kimetajwa kusambaa kwa kasi huku Viongozi wengi...
  8. #COVID19 Upungufu wa Chanjo wapelekea Serikali ya Namibia kusitisha utoaji wa dozi ya pili

    Nchi hiyo imeacha kutoa Dozi ya pili ya Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19 ili kutoa kipaumbele kwa wale ambao bado hawajapata Dozi ya kwanza. Kutokana na upungufu, Serikali imesema itagawa Chanjo zilizobaki katika maeneo ambayo yameripoti ongezeko la maambukizi na vifo, na ambao wanasubiri...
  9. Madhara ya Covid-19: Club za Uchina bila wageni ni Utopolo FC tu

    tulizoea sana hizi timu zikivunja rekodi kwenye usajili. Baada ya hali mbaya kiuchumi kupitia makampuni ya udhamini wachezaji woooote wa kigeni wameondoka. Angalia kipigo zinavyopokea kwa sasa.
  10. #COVID19 Ikulu, Dodoma: IMF kusaidia Tanzania kupata fedha kukabiliana na athari za COVID-19

    IKULU, DODOMA: Mkurugenzi wa Idara ya Afrika kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF) Abebe Selassie amesema Shirika hilo litasaidia Tanzania kupata fedha kwa ajili ya kuimairisha sekta zilizoathiriwa na COVID19 ikiwemo Afya, Utalii na Maji Ameeleza hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na Rais...
  11. #COVID19 Kuchanganya chanjo za COVID-19 kunaongeza ufanisi

    Njia ya kuchanganya chanjo za Covid -19 kwa kutumia chapa mbalimbali za chanjo ya Covid kwa dozi ya kwanza na ya pili - inatoa kinga nzuri dhidi ya virusi vya janga hilo, utafiti wa Uingereza umebaini. Majaribio yalitazama ufanisi wa dozi mbili za Pfizer, AstraZeneca na Mchanganyiko wote...
  12. #COVID19 Zambia yafunga baa na casino kupunguza kasi ya maambukizi ya COVID-19

    Zambia ambayo inakabiliwa na wimbi la tatu la Virusi vya Corona imesema maeneo ya starehe ikiwemo baa na casino zitafungwa kwa siku 14, ili kupunguza kasi ya maambukizi ya Ugonjwa huo. Wiki iliyopita, Shule zilifungwa kwa siku 21 ili kuruhusu Tawala kuchukua tahadhari za kuhakikisha usalama...
  13. #COVID19 Siku 100 za Rais Samia na janga la Covid-19

    Habarini za asubuhi wanaJF. Namshukuru mungu kwa kutupa uzima kuiona siku ya leo. Siku miamoja za rais Samia amejitahidi kuonesha mwanga zaidi, kuhusu namna ya kupambana na ugonjwa wa corona. Nikiri wazi kua, Tanzania tuna bahati ya kupata viongozi wazuri, wenye maono na wanaoendana na Nyakati...
  14. #COVID19 Japan: Tokyo yahofia uwezekano wa kutokea Wimbi la Tano la mlipuko wa COVID-19

    Ongezeko la maambukizi #Tokyo limesababisha hofu ya uwezekano wa kutokea Wimbi la Tano la Virusi vya Corona, ikiwa ni takriban mwezi mmoja kabla ya michezo ya Olimpiki. Ishara kuwa visa vimeongezeka zilionekana siku chache baada ya Serikali kuondoa hali ya hatari Tokyo na Mikoa mingine 9, licha...
  15. #COVID19 COVID-19: Afrika Kusini yapiga marufuku mikusanyiko na mauzo ya pombe kutokana na mwenendo wa mlipuko

    Afrika Kusini imetangaza masharti mapya yanayolenga kudhibiti ongezeko la maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo mikusanyiko yote ya ndani na nje itapigwa marufuku kwa siku 14 Aidha, Rais Cyril Ramaphosa amesema katika siku hizo mauzo ya pombe na safari kuelekea au kutoka maeneo yaliyoathiriwa...
  16. Zanzibar inasubiri idhini ya Samia kuagiza chanjo ya COVID-19

    Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Mazrui alisema afya sio jambo la muungano ila kwa suala la chanjo inabidi wafanye kazi kama #jamhuri kwa kuwa mashirika ya kimataifa yanatambua #Tanzania Bara na #Zanzibar kama nchi moja, kwa hivyo hawawezi kupata chanjo kwa kutengwa. My Take: Bado naona...
  17. #COVID19 Rais Samia: Tanzania tuna wagonjwa wa Wimbi la Tatu la Corona

    “Tanzania tuna wagonjwa wa wimbi la Tatu la Corona. Hili jambo bado lipo, tuchukue hadhari zote na tunawaomba viongozi wa dini mseme hili kwa sauti kubwa" Rais Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza na baraza la maaskofu katoliki (TEC) #Tanzania #COVID19 ========= Rais Samia Suluhu...
  18. #COVID19 Tafiti: COVID-19 ilisambaa miezi miwili kabla ya kutangazwa rasmi

    Tafiti mpya imeonesha kuwa Virusi vya Corona vilisambaa miezi miwili kabla ya kugundua maambukizi ya kwanza ambayo yaliripotiwa Wuhan. Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Kenti cha Uingereza wameonesha kuwa maambukizi yalianza Novemba 17, 2019 ambapo Januari 2020 yalisambaa duniani. China iliripoti...
  19. #COVID19 Idadi ya Watu baada ya COVID-19 itapungua?

    Ukifuatilia mwenendo wa ukuaji wa idadi ya watu duniani kwenye tovuti ya Worldometer World Population Clock: 7.9 Billion People (2021) - Worldometer utagundua kwamba idadi ya watu katika karne za nyuma kuanzia Karne ya 19 ilisalia bila kuongezeka hadi karne ya Ishirini Idadi ya Watu ilipoanza...
  20. #COVID19 Ugonjwa wa COVID-19 unaonekana nchi za Afrika kuwa wakutisha kuliko Nchi za Magharibi

    Wadau kama niwafatiliaji wa michuano ya mpira uefa euro 2020 inayoendelea utaona kwamba wenzetu janga hili haliwagusi watu wamejazana uwanjani na hawana barakoa kulikoni sisi huku Afrika. Nini kinaendelea nyuma ya pazia kuhusiana na janga hili la corona? Sisi kama watanzania hili swala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…