COVID-19 testing can identify the SARS-CoV-2 virus and includes methods that detect the presence of virus itself (RT-PCR and isothermal nucleic acid amplification) and those that detect antibodies produced in response to infection. Detection of antibodies (serology) can be used both for diagnosis and population surveillance. Antibody tests show how many people have had the disease, including those whose symptoms were minor or who were asymptomatic. An accurate mortality rate of the disease and the level of herd immunity in the population can be determined from the results of this test.
Due to limited testing, as of March 2020 no countries had reliable data on the prevalence of the virus in their population. As of 18 April, the countries that made public their testing data have on average performed an amount of tests equal to only 1.1% of their population, and no country has tested samples equal to more than 12% of its population. There are variations in how much testing has been done across countries. This variability is also likely to be affecting reported case fatality rates, which have probably been overestimated in many countries, due to sampling bias.
Wizara ya Afya ya Kenya imetangaza maambukizi 1030 mapya ya corona zilizothibitishwa saa 24 zilizopita. Hii inafanya maambukizi kufikia 145,184. Kasi ya maambukiziimefika 12.4%
Watu 1,616 wamelazwa katika vituo vya afya, wengine 4,243 wakiwa wanaangaliziwa nyumbani wakiwa wamejitenga. Katika...
Watu 279 wamepata madhara baada ya kuchoma chanjo ya COVID19 ya Astrazeneca huku watu 7 wakiwa na dalili za hatari na mmoja akiripotiwa kufariki.
Bodi ya Famasia na Sumu(PPB) ya Kenya imeanza uchunguzi wa kifo kilichoripotiwa na majibu yatatoka Ijumaa, Aprili 9, 2021.
Kaimu Mkurugenzi wa PPB...
Watu 20 zaidi wamefariki kutokana na kupata Virusi vya Corona na kufanya idadi ya watu waliofariki kwa Corona nchini Kenya kufikia 2,244
Aidha watu 460 wameripotiwa kupata maambukizi ya virusi kwa saa 24 zilizopita idadi inayofanya walioambukizwa kufikia 139,448
Wizara ya Afya imetangaza watu...
Mtandao wa kijamii wa Facebook umeifunga akaunti ya Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro kwa kutoa taarifa za kupotosha kuhusu Virusi vya Corona
Rais Madura alichapisha kwenye ukurasa wake video ambayo ilionesha aina fulani ya dawa ya asili inaweza kutibu Virusi vya Corona
Imedaiwa kuaw hii si...
Rwanda imetangaza kulegeza masharti ya kupambana na kusambaa kwa maambukizi ya Virusi vya Korona. Zikiwa zimepita siku nne baada ya Rais Paul Kagame na Mkewe kupata chanjo
Agizo litatekelezwa kuanzia Machi 16, 2021. Watu hawatatakiwa kutembea kuanzia saa tatu usiku hadi saa kumi alfajiri na...
Yaani inaudhi tumepitia huku kila baada ya miezi kadhaa sijui wapi wanaombea au kumngojea Rais aumwe? Ili kiwe nini?
Kama anaumwa vya kutisha mnasema, kama ni uzushi mnasema na hata kumwonyesha kama alivyofanyiwa Dr. Mpango.
Nililisema hili hata wakati wa zile tetesi nyingine wakati ule. Rais...
Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amekutwa na maambukizi ya #COVID19 lakini anaendelea vizuri katika hospitali ya Nairobi ambako amelazwa
Odinga alilazwa tangu March 9 baada ya kuwa na uchovu mwingi na maumivu. Ambapo nduguze walisema hakuwa na dalili za shida za mapafu lakini...
Kiongozi wa Chama cha ODM nchini Kenya amelazwa Hospitali ya Nairobi kutokana na kuwa na mchoko sana na mwili wake kuwa unamuuma
Kaka wa Odinga, Oburu Odinga amesema ndugu yake haijaonesha dalili za magonjwa ya mfumo wa hewa, lakini hadi wameondoka hospitali majibu ya #COVID19 yalikuwa bado...
Kenya inahofia kuwa inakumbwa na wimbi la tatu la CoronaVirus baada ya madaktari kugundua dalili mpya kwa wagonjwa wa COVID19.
Dalili zilizooneka kwa wagonjwa ni pamoja na kifua kuuma, kuharisha, vidole kubadilika rangi na kuvimba macho.
Madaktari wanadhani ya kwamba kirusi kinajibadilisha...
Athari kubwa za janga la Covid-19 kwa wanawake katika baadhi ya mataifa huenda zikasababisha ndoa milioni 10 zaidi za watoto katika muongo huu, kwa mujibu wa tathmini iliyotolewa na UNICEF Jumatatu.
"Kufungwa kwa shule, msongo wa kiuchumi, kuvurugwa kwa huduma na vifo vya wazazi kutokana na...
Hii ni kwa mujibu wa tweet ya Zitto Kabwe.
Ameichagiza BAKWATA kuishikiniza serekali ya awamu ya 5 iruhusu chanjo kwa Watanzania ili waweze kutekeleza hii nguzo muhimu sana kwa Waislamu.
Hili ni la kwako mzee wetu Mufti Zuberi.....kabiliana na swahiba wako asiyetaka chanjo ili Mungu aendelee...
Wanasayansi wana wajibu mkubwa katika kulinda Afya ya Jamii.
Wajibu mkubwa zaidi ni madaktari walio wizara ya Afya.
Kujifukiza ni hatua moja tu katika kupambana na gonjwa hili baya la covid19.
Sasa ni wakati wa kuacha utani, wananchi tunataka chanjo!
Kenya wamepata
Uganda wameoata
Rwanda...
EACSOF ilikaa Februari 26 kujadili muelekeo wa COVID19 na kushauri njia za pamoja za kukabilina na janga hilo
Haya ni Mapendekezo ya EACSOF kwa Marais wa Jumuiya ya Afrika Mashariki siku moja kabla ya Marais hao kukutana
1. Wameshauri kuwa na hatua za kikanda dhidi ya gonjwa hili, hasa kuwa na...
Rais wa Benki ya Dunia(WB) David Malpass amesema wamefurahishwa na namna Ghana inavyojizatiti kutoa dozi za chanjo kwa wananchi wake
WB ipo katika hatua za mwisho kuipa Ghana dola Milioni 100 sawa na takriban Tsh. Bilioni 232 ili kununua dozi zaidi za kuwatibu wananchi wake
Awali WB ilijiatiti...
Covid 29 na HIV aids vyote ni virus.
Siku zote HIV aka Ngoma inakwanyua Waafrika hakuna pupa wala uharaka wa kutafuta chanjo.
Hapa kamdudu kamewagusa na wao basi wako bize kutafuta chanjo wanaumiza vicha hadi wanapata vipara.
Hii inaonyesha Covid ingekuwa afrika tungeachwa tupambane tujifie...
Katibu wa Baraza la Maulamaa, Sheikh Hassan Chizenga ametaka waumini wa dini ya Kiislamu nchini Tanzania kufunga kwa siku tatu kuanzia Machi 8 ili kumuomba Mungu aepushe janga la CoronaVirus.
Pamoja na Mfungo Baraza Kuu la Waislamu Tanzania limeona haja ya kurejesha dua za Kunuti katika swala...
Wana jf,
Naungana na rais Wangu Dr. j.Magufuri kugomea chanjo, ikiwa tuna wataalum wakali kutoka NIMR wameonyesha uwezo Wa kukabili kirusi hiki hatari duniani. Yapo magonjwa Mengi ambayo tunaishi nayo na hatujawahi kupewa chanjo kwa Kuwa wenzetu washatokomeza labda kwa madawa yao. Sisi kwa...
Habari wadau,
Leo nimeamua kuingia kwenye hii fani ya udaktari ili nami niweke neno kaa hapa chin basi uongeze maarifa. Ok nadhan kila mtu anajua kwa sasa kuna vuguvugu la chanjo dunia mzima tena mbaya zaid chanjo imekuja kipind ambacho kila mtu anamtizama mwenzake kwa jicho la mnafiki kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.