covid19

COVID-19 testing can identify the SARS-CoV-2 virus and includes methods that detect the presence of virus itself (RT-PCR and isothermal nucleic acid amplification) and those that detect antibodies produced in response to infection. Detection of antibodies (serology) can be used both for diagnosis and population surveillance. Antibody tests show how many people have had the disease, including those whose symptoms were minor or who were asymptomatic. An accurate mortality rate of the disease and the level of herd immunity in the population can be determined from the results of this test.
Due to limited testing, as of March 2020 no countries had reliable data on the prevalence of the virus in their population. As of 18 April, the countries that made public their testing data have on average performed an amount of tests equal to only 1.1% of their population, and no country has tested samples equal to more than 12% of its population. There are variations in how much testing has been done across countries. This variability is also likely to be affecting reported case fatality rates, which have probably been overestimated in many countries, due to sampling bias.

View More On Wikipedia.org
  1. Replica

    SADC yapoteza mawaziri 10 kutokana na Covid19, Tanzania tumejipangaje?

    Mpaka sasa nchi wanachama wa jumuiya ya kikanda ya kusini mwa Afrika, SADC imepoteza mawaziri wake kumi ndani ya wiki mbili huku Zimbabwe na Eswatini zikiongoza kwa kila moja kupoteza mawaziri watatu. SADC inajumisha nchi 16 ikiwemo Tanzania, majirani ugonjwa umetamalaki na ni ugonjwa...
  2. Analogia Malenga

    Zimbabwe: Vifo vya Mawaziri vyafanya masharti ya kujikinga na COVID-19 kuongezeka

    Wizara ya Afya ya Zimbabwe imetangaza kuongeza Lockdown ambapo baa, migahawa, sehemu za mazoezi na biashara zisizo na umuhimu zitafungwa Baadhi ya watu ameonekana kutofuata masharti ya Afya hivyo polisi watakuwa wanafanya doria jioni kuhakikisha ‘curfew’ inazingatiwa Zimbabwe imeripoti...
  3. Deogratias Mutungi

    Bwana Freeman Mbowe, tumia lugha ya staha unapoishauri Serikali ya Rais Magufuli dhidi ya COVID19

    Salaam Wana JF, Kupitia ukurasa wa twitter Bwana Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo" CHADEMA" ametumia haki yake ya Kikatiba kushambulia serikali hasa kiongozi wa nchi juu ya hatua zinazochukuliwa dhidi ya Covid19, Ukweli ni kwamba Bwana Mbowe ameshindwa...
  4. Analogia Malenga

    Malawi yatangaza siku tatu za maombolezo baada ya mawaziri wawili kufa kwa COVID-19

    Waziri wa Serikali za Mitaa, Lingson Belekenyama na Waziri wa Usafirishaji, Sadik Mia wamefariki Januri 12 asubuhi kutokana na COVID19. Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera ametangaza siku tatu za maombolezo kwa ajili ya mawaziri na wamalawi waliofariki kwa COVID19. Bendera zitapepea nusu mlingoti...
  5. Analogia Malenga

    Wizara ya Afya: Wasafiri watapimwa covid19 kwa dola 100

    Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imetoa muongozo mpya wa upimaji kwa wanaosafiri kwenda nje ya nchi kutokana na kuongezeka kwa idadi ya wanaoambukizwa #COVID19 na kuwepo kwa vimelea vipya kwa baadhi ya nchi Wizara imetangaza kupanda kwa gharama za upimaji wakisema kuwa...
  6. Analogia Malenga

    Antonio Guterres: Suala la Chanjo za kupambana na Corona lisichukuliwe kitaifa

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres amesema sio sahihi suala la chanjo dhidi ya Ugonjwa wa #COVID19 kuchukuliwa kitaifa Katika ujumbe wake amesema, hakuna nchi itakayokuwa salama dhidi ya #CoronaVirus hadi nchi zote zitakapokuwa salama Kauli yake inakuja baada ya nchi kadhaa...
  7. Sam Gidori

    Algeria, Bolivia Kupokea Chanjo ya COVID19 ya Sputnik V kutoka Urusi

    Urusi imesaini mikataba ya kusambaza chanjo yake virusi vya corona inayoitwa Sputnik V kwa mataifa ya Algeria na Bolivia. Hii ni mara ya kwanza kwa Urusi kuanza kusambaza chanjo ya COVID19 nje ya taifa hilo ambapo inaiweka Bolivia kuwa nchi ya kwanza kwa mataifa ya Amerika Kusini kupokea chanjo...
  8. Analogia Malenga

    #COVID19 Tafiti zinaonesha Waafrika wanadhani chanjo ya COVID-19 ni kutumika kama majiribio, Red Cross yaonya

    Mkuu wa Shirika la Msalaba Mwekundu, Francesco Rocca amesema kwamba taarifa zisizo sahihi kuhusu chanjo ya COVID-19, zinaweza kusababisha ''janga la pili.'' Rocca, rais wa Shirikisho la Kimataifa la Msalaba Mwekundu na Hilali Nyekundu, ameuambia mkutano uliofanyika kwa njia ya video kwamba...
  9. mugah di matheo

    Mo salah tested positive for Covid19

    Shirikisho la kandanda nchini misri limethibitisha kuwa mshambuliaji wake Mohammed Salah maarufu kama "Mo salah" Amekutikana na ugonjwa wa Covid19 wakati akijiandaa na mechi ya kufuzu afcon Hivyo salah ameondolewa kwenye kambi ya mafarao na tayari amejiweka carantine
  10. Analogia Malenga

    Kenya: Jumla ya watu 1,013 wafa kwa covid19

    Watu 17 wamathibitishwa kufariki kwa #COVID19 na kufanya idadi ya waliofariki kufikia 1013 nchini humo Wizara ya Afya ya Kenya imesema watu 685 wamekutwa na maambukizi ya #CoronaVirus na kufanya walioambukizwa kufikia 55,877 Watu 1,271 bado wapo hospitalini wakipatiwa matibabu huku wengine...
  11. Analogia Malenga

    Waziri wa afya Ujerumani akutwa na COVID19

    Waziri wa Afya wa Ujerumani, Jens Spahn amethibitishwa kukutwa na #CoronaVirus na ana dalili kama za mafua Wizara ya Afya imesema waziri huyo amejitenga lakini watumishi wengine wa wizara hiyo hawatajitenga. Wote waliochangamana naye wameshataarifiwa Spahn ni mmoja kati ya wanasiasa wa wakubwa...
  12. mugah di matheo

    CR7 akutwa na COVID19

    Taarifa toka kambi ya timu ya taifa ya ureno zinasema kuwa cr7 ana corona na ameondolewa kwenye kambi hiyo ili kushughulikia matibabu. Namtakia apone haraka maana uefa inakaribia Source: Supersport Mytake Kuna kiongozi alituambia Covid19 haiwapati watu wa mazoezi
  13. beth

    #COVID19 Wagonjwa wasioonesha dalili kuruhusiwa kutoka hospitali bila kupimwa

    Wizara ya Afya ya Uganda imefanyia marekebisho muongozo wake wa kukabiliana na corona ambayo itawafanya wagonjwa wa Covid-19 wasioonesha dalili ya maambukizi kutolewa hospitali bila kufanyiwa tena uchunguzi. Wiziri wa Afya Jane Ruth Aceng amesema watu waliotengwa kwa siku 10 watatolewa...
  14. P

    Trump tested positive for Coronavirus

    Trump na mke wake Melanie wakutwa na virus vya Corona. Rais wa Marekani Donald Trump na mkewe wakutwa na #CoronaVirus, amesema ataanza kukaa karantini haraka iwezekanavyo Rais Trump alipima baada ya msaidizi wake, Hope Hicks KUkutwa na maambukizi na kufanya maambukizi ya #COVID19 kuingia...
  15. Rahma Salum

    Waziri Zanzibar aeleza WhatsApp ilivyoendesha Wizara alipougua Covid19

    Riziki Pembe, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar ameeleza namna ambavyo Wizara ilivyokuwa ikiendelea na shughuli zake pindi alipokuwa hospitali kwa matibabu ya maambukizi ya Corona. Waziri huyo amesema alikuwa akiwasiliana kupitia mtandao wa WhatsApp na viongozi wenzake, akiwemo Naibu...
  16. Kurzweil

    Indonesia: Waliokamatwa kwa kutovaa barakoa watakiwa kuchimba makaburi ya waliokufa kwa COVID19

    Wanakijiji ambao walikamatwa na Polisi kwa makosa ya kutokuvaa barakoa wamepewa adhabu ya kuchimba makaburi ya watu waliokufa kwa maambukizi ya CoronaVirus Adhabu hiyo imelenga kuwafanya waone hatari ya ugonjwa huo na wajisikie huruma kuona wenzao wanakufa huku wao wakiwa hawachukui tahadhari...
  17. beth

    UTAFITI: Marais Wanawake waongoza kudhibiti maambukizi ya COVID19 duniani

    Tofauti na matarajio ya wengi, utafiti uliofanywa na Shirika la Centre for Economic Policy Research na Jarida la World Economic Forum umebaini kuwa mataifa yanayoongozwa na wanawake yana kiwango kidogo cha maambukizi na athari zinazotokana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu, COVID-19...
  18. Analogia Malenga

    Ulaya yaanza kupigwa na wimbi la pili la Covid19

    Nchi za Ulaya zinaonekana kupigwa na wimbi la pili la #CoronaVirus kutokana na kurekodi maambukizi mapya makubwa ndani ya muda mfupi Wataalamu bado wanashuku kutangaza kuwa hilo ni wimbi la pili la #CoronaVirus. Mtaalamu wa Virusi, Margarita del Val anasema inawezekana kuwa ikawa ni wimbi la...
  19. Basi Nenda

    #COVID19 Rais Yoweri Museveni ametangaza Jumamosi kuwa siku ya kitaifa ya maombi kwa ajili ya COVID-19

    Rais Yoweri Kaguta Museveni ametangaza muda mfupi uliopita kwamba kutokana na kufuatwa na mtu fulani aliyedai ameoneshwa na Mungu maono kwamba amwambie Museveni aandae siku ya maombi ya Kitaifa kumshukuru Mungu kulitoa Taifa katika janga la Corona ameamua siku ya tarehe 29 /8/2020 kuwa siku ya...
  20. Analogia Malenga

    Kenya: Jumla ya watu 487 wafariki kwa Coronavirus

    Kenya imetangaza watu 4 zaidi kufariki kutokana na CoronaVirus na kufanya idadi ya vifo kufikia 487 Aidha watu 271 wamethibitishwa kuwa na maambukizi ya CoronaVirus kutoka kwa sampuli 4,019 na kufanya nchi hiyo kuwa na jumla ya 30,636 waliothibitika kuwa na maambukizi Katika waliothibitika...
Back
Top Bottom