Chama cha CUF kimesema Serikali inatakiwa kuweka wazi upembuzi yakinifu ya miradi inayotekelezwa ikiwemo ya SGR, ufuaji wa umeme na uimarishwaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL).
Mwenyekiti wake, Prof. Ibrahim Lipumba amesema "Tunaelekezwa hii miradi ni mizuri lakini hadi leo Serikali...