Copper(I) fluoride or cuprous fluoride is an inorganic compound with the chemical formula CuF. Its existence is uncertain. It was reported in 1933 to have a sphalerite-type crystal structure. Modern textbooks state that CuF is not known, since fluorine is so electronegative that it will always oxidise copper to its +2 oxidation state. Complexes of CuF such as [(Ph3P)3CuF] are, however, known and well characterised.
HABARI Mgombea Ubunge Jimbo la Ilala kupitia CUF, mhe. Rashid Mwinyishehe Ilala amefika ofisi za msimamizi wa uchaguzi na kuchukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Ilala
Makamo mwenyekiti wa jumuiya wa wanawake CUF taifa mhe. Kiza mayeye ambaye pia ni mgombea wa ubunge Jimbo la kigoma kaskazini, mapema leo amefika katika ofisi za msimamizi wa uchaguzi wa Jimbo la kigoma kaskazin na kupewa fomu ya uteuzi.
Pia mhe. Kiza amesema kuwa Jimbo la kigoma kaskazin bado...
Nimeshaona jinsi CCM wanavyolewa maoni ya wanachama wao katika udiwani. Yaonekana hata katika Ubunge ulevi huo unaendelea. Baada ya 'wajumbe' kuwapitisha waliowaona kwa wema wao, wanaamini wapiga kura wote nchini pia watawapenda. Tulioko mitaani tunajua ni nini kinachozunguka vichwani mwa...
#HABARI Mgombea Ubunge wa Jimbo la temeke kupitia CUF, mhe. Zainab Mdolwa amefika ofisi za msimamizi wa uchaguzi na kuchukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Temeke.
Ni kwamba CCM na Dkt. Magufuli tayari wana mtaji wa kura walizopata 2015 na watafaidika na kurejea kwa mzee Lowassa ambaye ana ushawishi mkubwa. Kura za CCM zitaongezeka.
CHADEMA na Tundu Lissu watazikosa kura za CCM ( kupitia Lowassa) walizopata 2015 kadhalika watazikosa kura za UKAWA yaani...
Siasa za Lissu za sasa ni zile zilizopitwa na wakati ambazo akina Maalim Seif walizitumia sana kule Zanzibar zilikuwa zikiitwa siasa za ngangari Hadi kieleweke. Hadi wakaagiza visu na kufanya vitendo vya kigaidi .Mwisho was siku wakaja kugundua kuwa haziwapeleki popote wakaziacha
Sasa Lissu...
Naibu Katibu Mkuu wa CUF upande wa Zanzibar Mhe. Faki Suleiman Khatib , ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na CHADEMA .
Haya yametokea ndani ya vikao vya CHADEMA vinavyoendelea huko ukumbi wa Mlimani City
TUNATARAJIA UCHAGUZI MKUU UTAKUWA WA UHURU NA HAKI, YEYOTE ATAKAYETUTIKISA TUTAMWANGUSHA KAMA PAPAI MTINI"
KATIBU MKUU CUF HAROUB MOHAMMED SHAMIS
Ameyasema hayo katika Mkutano Mkuu Maalum wa kuwachagua wagombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Urais wa Zanzibar uliyofanyika julai...
Vijana wa Chama cha Wananchi CUF Mkoa wa Dar es Salaam, leo Julai 23, 2020, wamemchukulia na kumkabidhi fomu ya kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwenyekiti wa chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba.
Mwanasiasa ambae anaweza kujiamini kusema na kufanya lolote kwa lengo la kukosoa watawala waliopo madarakani bila hofu ya kushitakiwa,mali zake kutaifishwa au kunyang'anywa,n.k ni yule tu ambae wakati alipokuwa kwenye system, hakuwahi kutuhumiwa kufanya ufisadi,wizi,kujihusisha na...
#HABARI Makamu Mwenyekiti wa CUF Bara Mhe.Maftah Nachuma ameshinda kura za maoni katika Jimbo la Mtwara Mjini, Mhe. Maftah ndiyo atapeperusha bendera ya Chama cha Wananchi CUF katika Jimbo la Mtwara Mjini.
Pia, Naibu Katibu Mkuu wa CUF Bara Mhe. Magdalena Sakaya ameibuka kidedea katika mchakato...
SISI CUF MGOMBEA WA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MGOMBEA RAIS WA ZANZIBAR WATAJULIKANA JULAI 27
"Mkurugenzi wa Mipango Na Uchaguzi CUF TAIFA Mhe. Juma Kilaghai ameyasema hayo Leo katika mahojiano na Waandishi wa habari kuwa Tarehe 27 mwezi huu ndiyo siku ya Mkutano Mkuu wa...
MHE. SONIA MAGOGO AKABIDHI VIFAA COMPUTER NA PRINTER KWA AJILI YA KUSAIDIA SHUGHULI NA UCHAGUZI WILAYANI HANDENI MJINI
#HandeniMjiniNiSoniaMagogoSasa.
#SoniaMagogoTenaMjengoni
Amesema chama chao katika uchaguzi wa 2020 kinakuja na agenda ya “Furaha kwa Watanzania inawezekana”
Pia Professa Lipumba amewaomba CCM kuwa na siasa za ustaarabu kitapoanza kipindi cha kampeni akisisitiza kupambana kwa hoja
Ameyasema hayo Leo Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba.
#2020CUFMwakaWetu.
Mhe. Sabreena Sungura Atia Nia Kugombea Ubunge Jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala Mkoani Dar es Salaam Kupitia Chama Cha Wananchi CUF.
Sabreena Sungura Mwanamama Jasiri Na Mpambanaji.
#2020WanawakeTunawaaminia.
#HABARI WANANCHI ZAIDI 90 WILAYANI KILWA MKOANI LINDI WAMERUDISHA KADI ZA ACT-WAZALENDO NA CCM NA KUJIUNGA NA CHAMA CHA WANANCHI CUF
Mkurugenzi wa mafunzo na udhibiti CUF Taifa Mhe. Masoud Omar Mhina kutoka kushoto ndiye aliyepokea Kadi hizo na Kuwakabidhi kadi za Chama Cha Wananchi CUF...
Ni matumaini yangu kuwa kichwa cha habari hii kinatoa tahmini ya jumla juu ya mkoa huu wa Ruvuma. Niko hapa kwa takribani juma moja katika kufanya tathmini binafsi ya kisiasa kuelekea Oktoba mwaka huu. Nimepita Songea na Mbinga; Nikaenda Tunduru na Namtumbo; nikasonga hadi Peramiho na sasa niko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.