cuf

Copper(I) fluoride or cuprous fluoride is an inorganic compound with the chemical formula CuF. Its existence is uncertain. It was reported in 1933 to have a sphalerite-type crystal structure. Modern textbooks state that CuF is not known, since fluorine is so electronegative that it will always oxidise copper to its +2 oxidation state. Complexes of CuF such as [(Ph3P)3CuF] are, however, known and well characterised.

View More On Wikipedia.org
  1. mugah di matheo

    Ni wabunge wapi wapinzani walishinda? Je, ni upi msimamo wa CUF na ACT-Wazalendo juu ya ushiriki wa wabunge wao?

    Naombeni kuwajua wabunge nane wa Upinzani na majimbo wanayotoka. Na je vyama vya ACT-Wazalendo na CUF wamechukua hatua gani au msimamo upi juu ya ushiriki wa wabunge wao katika Bunge?
  2. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 Mtwara: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mtwara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Mwara una una jumla ya majimbo ya uchaguzi 10 ambayo ni: 1. Mtwara Mjini Hassan Seleman (CCM) -...
  3. Miss Zomboko

    Uchaguzi 2020 Mawakala wa CHADEMA, ACT-Wazalendo, CUF na NCCR-Mageuzi wakamatwa baada kuzuia wapiga kura kuingia kituoni kwa madai ya wao kutopewa barua

    TANGA: Mawakala wa CHADEMA, ACT-Wazalendo, CUF na NCCR-Mageuzi wakamatwa baada kuzuia wapiga kura kuingia kituoni kwa madai ya wao kutopewa barua Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Blasius Chatanda amesema baadhi ya mawakala wa vyama tofauti vya siasa wamekamatwa kwa madai ya kuzuia wananchi...
  4. CUF Habari

    Uchaguzi 2020 CUF: Tuchagueni Oktoba 28 tuwekeze kwa watu, kisha watu wawekeze kwenye vitu

    TUCHAGUENI OKTOBA 28 TUWEKEZE KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"BI.HAMIDA ABDDALLH" MGOMBEA MWENZA CUF KILWA KUSINI-KIVINJE Tutahakikisha haki sawa na furaha kwa wote! Haki ya Elimu kwa kila Mtanzania! Haki ya Lishe Bora na uhakika kwa kila Mtanzania! Haki ya Afya Bora na ya...
  5. CUF Habari

    Uchaguzi 2020 Bi.Hamida Abddallh Mgombea mwenza CUF akiwa Kilwa kusini Kivinje: Tuchagueni Oktoba 28 tuwekeza kwa watu, kisha watu wawekeze kwenye vitu

    TUCHAGUENI OKTOBA 28 TUWEKEZA KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"BI.HAMIDA ABDDALLH" MGOMBEA MWENZA CUF KILWA KUSINI-KIVINJE Tutahakikisha haki sawa na furaha kwa wote! Haki ya Elimu kwa kila Mtanzania! Haki ya Lishe Bora na uhakika kwa kila Mtanzania! Haki ya Afya Bora na ya...
  6. LAZIMA NISEME

    Tundu Lissu, Mungu amekupa nafasi nyingine kuishi uushuhudie ukuu wake katika taifa hili

    Tazama, roho yake hujivuna, haina unyofu ndani yake; lakini mwenye haki ataishi kwa imani yake. Habakuki 2:4 Imani ni neno ambalo tunatumia sana, lakini wakati mwingine tunaweza kufanya liwe ngumu sana. Imani ina maana tu “imani au tumaini kamili”; neno pia lina maana ya uaminifu na kujitolea...
  7. Miss Zomboko

    Uchaguzi 2020 Meneja Kampeni CUF: Adui wa CUF ni adui wa CHADEMA na adui wa CHADEMA ni adui wa CUF hivyo hakuna sababu ya kuhitilafiana

    Akizungumza kabla ya kuanza kwa mkutano, Meneja Kampeni wa CUF, Miraji Mtibwiriko katika viwanja vya viwanja vya Fatuma Mkoani Kagera aliwataka wanachama kuwa watulivu kwa kuwa bado wanahitaji kuwa kitu kimoja. Meneja kampeni huyo alitumia nafasi hiyo kuwaeleza wafuasi hao kuwa adui wa CUF ni...
  8. CUF Habari

    Uchaguzi 2020 Bi. Hamida Abdallah Huweishi mgombea mwenza Urais: Mkitupa ridhaa ya kuongoza nchi hii tutaboresha sekta muhimu za uchumi na kilimo

    MKITUPA RIDHAA YA KUONGOZA NCHI HII TUTABORESHA SEKTA MUHIMU ZA UCHUMI NA KILIMO. BUHIGWE, KIGOMA Historia ya maendeleo ya uchumi duniani inaonesha kuwa maendeleo ya viwanda hutanguliwa au kuambatana na mapinduzi ya kilimo. Ongezeko la uzalishaji na tija katika sekta ya kilimo huongeza...
  9. CUF Habari

    Uchaguzi 2020 Kigoma: Mgombea Makamu wa rais CUF, Bi Hamida Huweishi agawa kadi kwa Vijana wa Uvinza, Nguruka

    MGOMBEA WA MAKAMU WA RAIS, BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI AGAWA KADI KWA VIJANA WA UVINZA TARAFA YA NGURUKA MKOANI KIGOMA Makamu wa rais, Bi. Hamida Abdallah Huweishi amefika katika tarafa ya nguruka na kuzungumza na wananchi wa nguruka na kuwaomba ifikapo tarehe 28,octoba wasifanye makosa...
  10. CUF Habari

    Zanzibar 2020 Yaliyojiri katika Ufunguzi wa kampeni Pemba, Septemba 20

    Mwenyekiti wa CUF pia ni Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Prof. Ibrahim Haruna Lipumba , kesho septemba 20 ataongoza uzinduzi wa kampeni za CUF, visiwani Zanzibar. CUF: KUNA MAISHA BAADA YA UCHAGUZI Katika mkutano wa Kampeni uliofanyika Chakechake Pemba, Mwenyekiti wa CUF...
  11. Analogia Malenga

    Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za CUF: Prof. Lipumba asema akishinda Urais atakuwa Rais wa 1 Tanzania kupewa tuzo ya Mo Ibrahim

    Mgombea Urais kupitia CUF, Prof. Ibrahim Lipumba amezindua kampeni za chama hicho Mkoani Mtwara ambapo ameahidi kuboresha Huduma za Afya kwa wajawazito na watoto, kuimarisha Uchumi wa Baharini (Uvuvi), Elimu bora na kuimarisha Soko la Nafaka na Mazao mbalimbali Prof. Lipumba amesema...
  12. CUF Habari

    Uchaguzi 2020 CUF - Chama cha Wananchi: Uzinduzi mkubwa wa kuchangia CUF, kuchangia ushindi kufanyika kesho Jumamosi ofisi kuu ya chama Buguruni

    Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Cuf-chama cha wananchi Usilalamike, chukua hatua. Changia CUF, changia ushindi Uzinduzi wa michango ya wananchi kwa chama chao utafanyika jumamosi ya tarehe 29/08/2020 ofisi kuu buguruni kuanzia saa 4.00 asubuhi Mgeni rasmi: mgombea urais wa tanzania Prof...
  13. CUF Habari

    Uchaguzi 2020 CUF ndicho chama chenye sera bora kuliko chama chochote hapa Tanzania. Tukichangie chama chetu tukashinde uchaguzi kwa kishindo

    CUF NI CHAMA CHA WANANCHI KINATEGEMEA WANANCHI WENYEWE TUCHANGIE CHAMA CHETU TUWEZE KUSHINDA UCHAGUZI HUU NA TUTASHINDA #HABARI Mgombea wa urais wa Tanzania kupitia CUF, Mchumi wa Dunia Prof. Ibrahim Haruna Lipumba Leo agosti 29, 2020 amezindua mpango maalum wa wanachama na wapenzi wa CUF...
  14. Replica

    Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

    Mkurugenzi wa Uchaguzi: Tume ya uchaguzi baada ya kupokea pingamizi dhidi ya wagombea hao, imewataarifu wawekewa pingamizi mapema iwezekanavyo na wahusika wamewasilisha utetezi wao. Pingamizi dhidi ya mgombea wa CUF kwamba hakurudisha fomu kwa mujibu wa masharti yaliwekwa na sheria, tume baada...
  15. BAVICHA Taifa

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya...
  16. CUF Habari

    Zanzibar 2020 NEC imempitisha katibu mkuu wa CUF, Haroub Mohammed Shamis kuwa mgombea wa Ubunge Chakechake

    HABARI Tume ya taifa ya uchaguzi imempitisha katibu mkuu wa CUF, Haroub Mohammed shamis kuwa mgombea Ubunge jimbo la Chakechake Pemba.
  17. CUF Habari

    Mchungaji Lukere ajiunga na Chama Cha Wananchi (CUF) Kigoma Vijijini, akabidhiwa kadi na Mgombea Ubunge Kiza Mayeye

    MCHUNGAJI LUKERE AJIUNGA NA CHAMA CHA WANANCHI (CUF) KIGOMA VIJIJINI. HABARI Mchungaji lukere amejiunga wa chama Cha wananchi CUF katika kata ya kidahwe wilaya ya kigoma vijijini. Mchungaji lukere amejiunga na chama Cha CUF mapema Leo na kukabidhiwa kadi na makamu mwenyekiti wa juke taifa...
  18. CUF Habari

    Uchaguzi 2020 Wakili msomi Mashaka Ngole akabidhiwa fomu ya uteuzi jimbo la Ubungo kupitia CUF Chama cha Wananchi

    HABARI: Mgombea Ubunge jimbo la Ubungo kupitia CUF, wakili mashaka Ngole amekabidhiwa fomu ya uteuzi na msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Ubungo.
  19. CUF Habari

    Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge jimbo la Tabora Mjini kupitia CUF, Mirambo Camill akabidhiwa fomu ya uteuzi

    Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora Mjini Mhe. Mirambo Camill amekabidhiwa fomu ya uteuzi na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Tabora Mjini mapema leo
  20. CUF Habari

    Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge Jimbo la Mchinga kupitia CUF, Hamidu Bobali akabidhiwa fomu ya uteuzi

    Mgombea Ubunge Jimbo la mchinga kupitia CUF, Mhe. Hamidu Bobali amefika ofisi za msimamizi wa uchaguzi na kuchukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo mchinga
Back
Top Bottom