Copper(I) fluoride or cuprous fluoride is an inorganic compound with the chemical formula CuF. Its existence is uncertain. It was reported in 1933 to have a sphalerite-type crystal structure. Modern textbooks state that CuF is not known, since fluorine is so electronegative that it will always oxidise copper to its +2 oxidation state. Complexes of CuF such as [(Ph3P)3CuF] are, however, known and well characterised.
TAARIFA KWA UMMA
Mwenyekiti wa CUF- Chama Cha Wananchi Prof. Ibrahim Haruna Lipumba, kwa kutumia Mamlaka ya Kikatiba, amemsimamisha Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mhe. Faki Suleiman Khatib katika kutekeleza Agizo la Baraza Kuu la kuondoa Mapungufu na Kuimarisha Kamati Tendaji. Nafasi ya Naibu...
WAJUMBE WA BARAZA KUU LA TAIFA CUF & WILFRED LWAKATARE WAITEKA TANGA. KILA WILAYA WANAYOFIKA WAPOKELEWA KIPEKEE
Wajumbe wa Baraza Kuu la Taifa CUF wameamua kufika kila wilaya kuzungumza na wanachama na Viongozi wa CUF kuweka mikakati kuelekea katika Uchaguzi Mkuu.
Wameanza na Mkoa wa Tanga na...
Jeshi la Polisi Mkoani Tanga wilayani Pangani, limewakamata viongozi wa cuf pia ni wajumbe wa baraza kuu la taifa la CUF. Wamekamatwa wakiwa katika ujenzi wa chama
#hatuwezikurudinyuma.
Salaam Wakuu,
Leo Muda si Mrefu, Viongozi Wakuu wa Chama cha ACT Wazalendo kitaongea na Wananchi na Dunia kwa Ujumla. Ni tukio kubwa haijawahi kutokea.
======
UPDATES:
1048HRS: Kwa sasa ni Burudani inaendelea
1100HRS: Viongozi Wakuu wa ACT Wazalendo wanaingia Ukumbini wakiongonzwa na
Zitto...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema kuwa kama chama cha CUF wanadai kuwa ofisi zao zilizopo visiwani Zanzibar, zimechukuliwa na chama hicho, basi wapeleke malalamiko yao Mahakamani na siyo kwenye vyombo vya habari, na kutaja tarehe rasmi ya kuanza mchakato wa watia nia.
Hayo...
Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kusini Mhe.Selemani Bungara (Bwege) ametangaza kukihama chama Cha Wananchi Cuf na kuhamia chama cha ACT Wazalendo azalendo mara baada ya bunge kuvunjwa hapo kesho.
---
Ifahamike kuwa, nimeitumikia nafasi ya uwakilishi wa wananchi kwa maana ya ubunge wa Kilwa Kusini...
Mbunge wa Viti Maalum (CUF) mkoa waTabora, Rehema Juma Migila amejiunga na CCM akidai kuridhishwa na utekelezaji wa ilani za chama hicho chini ya uongozi wa Rais Magufuli
Amesema amerudi CCM akiwa na akili zake timamu bila kushinikizwa wala kushikiwa bunduki na pia chama hicho kimekuwa cha...
Amesema amerudi CCM kwasababu nyingi na ya kwanza ni kuwa Rais Magufuli ni msikivu na atakaposikiliza hoja yake atakuwa msikivu.
Amesema “Mwaka 2015, Rais alinikuta nje akaniuliza nafanya nini. Nilijibu nataka kwenda nyumbani kufuturu. Akaniambia mimi ndio baba watoto twende, nami nikamuambia...
Zaidi ya wananchi 500 wa Jimbo la Ziwani na Wawi visiwani Pemba wamerejesha kadi za Chama cha ACT Wazalendo mbele ya Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na kusema kuwa wao ni wafuasi wa CUF kwa miaka zaidi ya 27 na si wafuasi wa ACT Wazalendo.
Pia wananchi hao...
Nimehama CHADEMA kwenda CUF ambako hakuna udini, Wabunge wa viti maalum CHADEMA tulikuwa 36 kwa ujumla wetu lakini Waislamu ni watano tu, huko Wilayani Waislamu wengi wanafanya kazi kubwa ya kukinadi Chama lakini ukifika kwenye uteuzi wanabaguliwa"
"Kwa kuwa CHADEMA imemtuma Mbunge Rhoda...
Niwapongeze sana Mwita Waitara na Dr Mollel wao hawakutaka kushangaa shangaa barabarani wametoka chama kikuu cha upinzani Chadema na kuhamia direct chama tawala CCM.
Bado sijaelewa sababu za msingi kwa Lwakatare kuhamia Cuf hata kama ameahidiwa ukatibu mkuu lakini Ngangari bado ni chama kidogo...
LWAKATARE NI KAMA OKWI NA NIYONZIMA
Kwetu sisi CUF thamani ya Lwakatare ni kama ile waliyonayo wachezaji OKWI na NIYONZIMA shabiki gani wa Simba na Yanga hajui thamani ya Wachezaji hawa wataondoka watatembea huko lakini lazima warudi nyumbani na viwango vyao vinabaki kuwa juu"
Mbunge wa Viti maalumu Kigoma, Sabriana Sungura ameambatana sambamba na aliyekuwa Mbunge wa Bukoba Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Wilfred Rwakatale kuhamia chama cha Wananchi CUF.
Aidha, katika katika shamrashamra za Wabunge hao kupokelewa katika Chama cha CUF, Mh. Sabriana...
Shamrashamra zimeshaanza hapa Manzese tawi la Kosovo. Inasemekana Mh Lwakatare yuko maeneo ya Kibaha kwa sasa.
Watu wako kwenye ari kubwa sana.
===
CUF yaeleza itakavyomtumia Lwakatare kuiangamiza Chadema
CHAMA cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania kimesema...
Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa kutoka kwa Profesa Lipumba , aliponukuliwa akiongea kwa huruma kubwa na EA TV .
Amewaomba wale wote wenye nia ya kugombea Urais , Ubunge ama udiwani wajitokeze kuomba ridhaa hiyo kupitia CUF , huku taarifa zikionyesha kwamba kuna uwezekano mkubwa kwa chama hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.