cwt

  1. The Watchman

    Walimu Nchini Watakiwa Kujiunga Na Benki Ya Walimu 'MCB BANK' Kwa Lengo La Kuendelea Kukuza Kipato Cha CWT

    Makamu Wa Rais Chama Cha Walimu Tanzania ( CWT ) Ndugu Suleiman Mathew Ikomba Amewataka Walimu Nchini Kujiunga Na Benki Ya Walimu 'MCB BANK' Kwa Lengo La Kuendelea Kukuza Kipato Cha CWT Aneyasema Hayo Mapema Leo Wakati Wa Ufunguzi Wa Kliniki Ya Walimu Na Samia Mikoani Arusha Yenye Lengo La...
  2. Lanlady

    Uchaguzi wa CWT wilaya ya Butiama utazamwe na TAKUKURU

    Kuna tetesi kuwa mchakato wa uchaguzi wa CWT katika wilaya hiyo umegubikwa na visa vingi vinavyokiuka taratibu za uchaguzi. Mojawapo ya visa hivyo ni pamoja na usambaji wa fomu kwa wagombea ngazi ya matawi unaoambatana na kupewa kiasi fulani cha pesa. Tunaiomba TAKUKURU imulike uchaguzi huo...
  3. The Watchman

    Pre GE2025 Samia Teachers Mobile Clinic inayoratibiwa na CWT inatarajiwa kusikiliza changamoto mbalimbali za walimu Geita

    Ziara ya kusikiliza na kutatua changamoto za walimu nchini (Samia Teachers Mobile Clinic) inayoratibiwa na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kushirikiana na serikali inatarajia kuwasili mkoani Geita Februari 25, 2025 na kumalizika tarehe 26 Februari ambapo lengo ni kusikiliza changamoto mbalimbali...
  4. mr pipa

    CWT tawi la Songea kwanini hamtoi hela za wastaafu waliopunjwa kuanzia 2016 hadi 2024 wakati nauli zao mlikula?

    2021 aliwaita wastaafu wote ambao walipunjwa pensheni zao na mkafanya nao kikao mkakubaliana atumwe katibu dodoma kwenda kufuatilia hayo mapunjo ambayo baadhi ya wastaafu katika penshen zao walipata pesa tofauti na wanachodai na mkakiri kweli mahesabu hayakufanyika vizuri. Baada ya katibu...
  5. G

    CWT wamejipanga kurudisha imani kwa wanachama wao waliokimbilia CHAHUWATA

    Wakati mwaka ndio kwanza umepinduka, hali ya mwalimu bado ni tete. Ahadi walizopewa na mwajiri hazijatekelezwa. Sasa viongozi wa CWT wilaya wanafanya ziara ili kurudisha imani na matumaini kwa wanachama wao kwamba mambo yatakuwa mazuri muda siomrefu. Kwa ufupi maswali wanayoulizwa wanashindwa...
  6. A

    KERO CWT Ubungo wanatulazimisha walimu kuwa kwenye chama. Tunakatwa mishahara kwa lazima

    Kumekuwa na uonevu mkubwa sana wa CWT UBUNGO ikilazimisha kuwakata walimu mishahara kama michango ya chama bila idhini ya wahusika Wala makubaliano. Na hata wanapoomba kusitishwa Kwa michango hiyo hawasikilizwi au kupewa mlolongo mrefu wa namna ya kujitoa au hutolewa ndani ya muda mfupi Kisha...
  7. thadayo

    C.W.T mnakwama wapi kutoa mikopo wezeshi kwa Walimu?

    ipo wazi kuwa c.w.t Ina mchango mkubwa Sana katika kulinda haki za walimu.hoja yangu ni kwamba kwanini michango inayokusanywa na c.w.t isitumike kutoa mikopo WEZESHI kwa WALIMU ilikuinua ustawi wao.
  8. Cheology

    KERO CWT ni Chama cha wafanyakazi kisichopendwa na wadau wake. Wanalazimisha uanachama!

    Chama pekee kinacholazimisha wanachama na wao bila kupenda kukatwa michango yao ni cwt. Chama.cha walimu Tanzania. Unaweza ukakipa nafasi ya kidunia katika vyama ambavyo 95% wanachama leo ukiwahoji muhitadha wao na chama watasema ni negative. Hawana mpango nacho na kwa.kuwa kuna mikono ya...
  9. M

    CWT cha sasa ni mchwa unaotafuna faida iliyotengenezwa na CWT ya Gratian Mkoba. Walimu waamke na kupiga kelele juu ya unyonyaji huu mkubwa

    Chama cha walimu kilianza miaka ya 2000 kikiongozwa na baadhi ya viongozi akiwemo Magreth Sitta aliyepokelewa kijiti hicho na ndugu Gratian Mkoba. Ni katika kipindi cha miaka ya 2010's ndipo chama kilianza kuweka mipango na dira ya maendeleo ya chama kwa kutumia michango ya walimu kama ilivyo...
  10. Mjanja M1

    Japhet Maganga wa CWT akamatwa kwa kufanya fujo

    KATIBU Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Japhet Maganga, na wenzake 10 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kufanya fujo kwenye mkutano wa Baraza Kuu la chama hicho wakati wakipitisha bajeti ya mwaka. Tukio hilo lilitokea baada ya baraza hilo kuazimia kumsimamisha...
  11. HaMachiach

    Kukamatwa kwa katibu mkuu wa CWT ni ukiukwaji wa sheria za kimataifa, education international yatoa tamko

    Inawezekana wengi hawana habari ya kinachoendelea chama cha walimu, ila kwa habari zilizotufikia ni kwamba mgogoro unaoendelea ndani ya chama cha walimu umechukua sura nyingine mara baada ya katibu mkuu wa CWT kukamatwa hapo jana 16 Februari 2024. Punde tu baada ya kukamatwa shirika la kimataifa...
  12. HaMachiach

    Rais wa CWT Leah Ulaya atumika na genge la maadui wa walimu

    CWT ilizaliwa tarehe 1/11/1993 na mwaka huu Chama kimepanga kufanya kumbukizi ya miaka 30 ya umri wake jijini Mwanza. Kwa kawaida maandalizi ya shughuli kama hii hupangwa na Sekretarieti yaani rais, makamu wa rais, katibu mkuu, naibu katibu mkuu, na mwekahazina wa chama. Kisha mpango huo...
  13. DodomaTZ

    Inadaiwa Maganga wa CWT aandaliwa kashfa ya ngono, chongolo ‘style’ kutumika

    Vita vya madaraka ndani ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) imezidi kushika kasi huku kiasi cha watu wanaodaiwa kuwa nyuma ya mkakati wa kuuondoa uongozi wa sasa madarakani, wakitumia mitandao ya kijamii kuwadhalilisha baadhi ya viongozi wa chama hicho. Katika kile kinachoelezwa kuwa sababu ya...
  14. William Mshumbusi

    Chanzo cha matatizo ya Chama cha Walimu (CWT) sio Japhet Maganga

    CWT ilianza kupata mapengo muda mrefu hata kabla ya katibu Japhet Maganga. Kwa Japhet Yeye anaamini wanaomuhujumu ni viongozi waliopita, hasa katibu. Wapo wanaoamini siasa ya CWT inaathiri sana siasa za vyama vya siasa. Binafsi sioni kabisa hata ushawishi ilionao CWT kwa walimu. Wanachama wake...
  15. BARD AI

    Katibu wa CWT adai ana Mkataba wa Ajira ya Kudumu katika Chama cha Walimu Tanzania

    Kufuatia taarifa ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke iliyotolewa na Mkurugenzi Elihuruma Mabelya ikielezea kuhusu Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), kumsimamisha kazi Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Mwalimu Japhet Maganga, ambaye alikuwa ni mwalimu wa Shule ya...
  16. Kingsmann

    Mwalimu Maganga: Nina ajira ya kudumu CWT

    Mara baada ya taarifa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke iliyotolewa na Mkurugenzi Elihuruma Mabelya ikielezea kuhusu Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), kumsimamisha kazi Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu nchini (CWT), Mwalimu Josephat Maganga, ambaye alikuwa ni mwalimu wa shule ya...
  17. Doto12

    CWT naomba majibu ya maswali haya

    i) Mapato yatokanayo na vitega uchumi vya chama mfano: Mwalimu house na ofisi za CWT kila mkoa (rent), je vinamnufaishaje mwalimu ambaye ni mchangiaji mkuu? ii)Kwanini C.W.T wanakusanya michango kwa wanachama kila mwezi badala ya kukusanya mara moja kwa mwaka kama vyama vingine? iii) Kwanini...
  18. M

    Maganga wa CWT amethibitisha kwa matendo yake kuwa hana uwezo wa kushughulikia shida za wanachama

    [emoji298]Maganga amethibitisha kwa matendo yake mwenyewe kuwa hana uwezo wa kushughulikia kikamilifu shida za wanachama na kusimamia madhumuni ya kuanzishwa kwa chama chetu. Badala yake amekuwa ni mtu wa kukimbikimbia huku na huko kuhonga na kujinasua kwenya majanga aliyoyatengeneza yeye...
  19. Adharusi

    Walimu wamsubiri Rais Samia kwa hamu kwenye maadhimisho ya miaka 30 ya CWT Mwanza

    Chama cha walimu Tanzania kinaazimisha miaka 30 ya kuanzishwa kwake kwa ajili ya kujitathimini na kutafakari kwa safari yenye milima na mabonde kuanzia November 1993 mpaka Leo 2023 November Hakika maazimisho hayo mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, kwasababu...
  20. A

    DOKEZO Kwanini Walimu Kilwa tunalazimishwa kubaki CWT? Wengine tunataka kuhamia CHAKUHAWATA?

    Sisi baadhi ya Walimu Wilayani Kilwa tunazuiwa kujiunga katika Chama cha CHAKUHAWATA licha ya kuwa kuna wenzetu kati ya Walimu zaidi ya 300 wameshaamua kuhama kutoka CWT na kuhamia upande huo wa pili kutokana na makato makubwa ya CWT. Kinachofanyika CWT wanaenda kwa Afisa Utumishi kuzuia Walimu...
Back
Top Bottom