Bila shaka mpo salama wanajukwaa.
Hivi karibuni katibu wa Chama cha Walimu wilayani kwetu amezunguka kwenye shule za hapa wilayani.amekuwa akipinga uanzishwaji wa bodi ya walimu, nijuavyo mimi CWT ndio inaongoza kumnyonya mwalimu.
Kuna lipi la muhimu kwa mwalimu hadi cwt ijifanye inamtetea...
Kuna chama kinaitwa Chama Cha Walimu ni ugonjwa sugu unaotafuna walimu ambao wengi wao wamejikatia tamaa.
TAKUKURU kama kuna uchunguzi wa kina unatakiwa ufanyike ni katika Chama hiki cha walimu.Kuna biashara zinafanyika ambazo kama Takukuru wataingia, kuna kitu watashangaa.
TAKUKURU chunguzeni...
Zikiwa zimesalia siku chache kuelekea kwenye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi(mei mosi), walimu tunakuomba mheshimiwa Rais uunde tume ya elimu kukichunguza chama cha walimu (CWT) kwakuwa kimeshindwa kutimiza wajibu wake wa kututetea na kutuhudumia.
Mbali na kushindwa kutimiza wajibu wake wa...
Hii ni tshet mpya inayotolewa na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) baada ya ile ya awali kupingwa na wanachama na wadau mbalimbali.
Tshet ya hapo mwanzo ilikuwa ni hii hapa
Hawa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) sijui wamekumbwa na nini, mara nyingi sare zao siyo 'unique' kabisa. Je, hawana watu wabunifu wa kuja na sare zenye 'akili'?
Habari zenu waheshimiwa wa humu jamiiforums.
Eti ndugu zangu;
Kwani umoja wa walimu hawawezi kumiliki kampuni/kitengo chao cha ujenzi wakawa wanajenga shule zao wenyewe (Primary & Secondary) kama wafanyavyo SUMA JKT?
Kwanini tenda apewe mkandarasi mwingine wakati walimu wanaweza kuunda umoja...
Jamani pesa yenyewe dongo ila CWT tena wananikata wakati mimi nipo chama kingine jamaani tunakufa na huyu cwt msaada ndugu rais utusaidie afisa utumishi wanatunyonya wakishirikiana na ofisi ya cwt
Kuna tangazo la nafasi za ukatibu cwt wilaya,mmetoa majina ya walimu walioomba nafasi hizo kwa usaili tarehe 11th Novemba.
Kuna walioomba ambao majina yao hayapo kwenye hiyo list yenu.
Kuna mchujo ulifanyika kwenye ngazi ya wilaya/Mkoa?
Msaada katibu cwt Taifa.
Baada ya serikali yetu pendwa kushusha kodi kwa watumishi wake wakiwemo waalimu na kuanza kufaidi ni mda sasa chama cha waalimu kutekeleza majukumu yake kwa wanachama kushusha makato mpaka 1%.
Tunawapa miezi mitatu kuanzia leo mwezi wa nane, bila hivyo tutaitisha maandamano ya kisheria nchi...
Salaam Wakuu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Chama Cha Walimu Tanzania-CWT.
Mkutano huo utafanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, huku watu wote wakitakiwa kuzingatia na kuchukua...
MKAKATI WA KUIN'GOA CWT KISHERIA NA KUWARUDISHIA WALIMU PESA ZAO WALIZOIBIWA NA CWT PAMOJA NA FIDIA
Nimepitia mijadala mingi na malalamiko mengi ya WALIMU dhidi ya CWT,Hotuba ya Rais Magufuli na Mkuu wa Wilaya wa Hai dhidi ya madudu ya CWT
Nashauri,CWT wanamengi ya kutujibu Walimu kwa KUTUMIA...
Naomba sana kura yako,
Mimi naweza kuwa Rais Bora kabisa wa Chama cha Walimu
Nina SHAHADA ya Uzamili katika Elimu toka Udsm 2017
Pia nina degree na Cheti cha Ualimu nilichosomea Ilonga ttc 2003.
Uzoefu
Ni mwenyekiti wa Cwt Wilaya kwa sasa
Nina uzoefu kwenye uundaji wa vikundi na uwekaji wa...
-Wengi wao ni vibaraka wa Wakurugenzi na Maafisa Elimu (DEO);Wametumwa
--Wakuu wa shule, Waratibu Elimu Kata (MEK) hawafai kuchaguliwa
Siku na Tarehe ya kufanya uchaguzi wa kupata viongozi wa Chama Cha Walimu (CWT) utatangazwa muda wowote, hii ikiwa ni baada ya tarehe ya awali kuhairishwa...
CWT inavuna pesa za walimu isivyohalali kila mwezi kutokana na ukweli kuwa kwa mujibu wa sheria zilizopo hawana mamlaka ya kuchukua ada ya uanachama kwa asilimia ya mshahara wa mtumishi.
Nasema hayo kwakuwa hakuna sheria yoyote nchini Tanzania inayowaruhusu kufanya hivyo;
Kuna sheria ya mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.