cwt

  1. Mkyamise

    Hii ndiyo CWT niijuayo

    Mimi ni mwanachama kwa zaidi ya miaka 15. Miaka michache iliyopita CWT ilitangaza nafasi 12 za makatibu wa wilaya. Nikajaribu kuomba. Mchakato ulikuwa ni kama ifuatavyo: 1. Unaandika barua ya maombi kwa katibu mtendaji Taifa, ukiambatanisha nakala za vyeti, salary slip, kitambulisho cha...
  2. Mpwayungu Village

    Mwenye katiba ya CWT na Sheria ya vyama vya Wafanyakazi Naomba tafadhali

    Habari za mda huu ndugu zangu. Ombi langu ni moja. Nahitaji vitu viwili 1.KATIBA YA CWT 2.SHERIA YA VYAMA VYA WAFANYAKAZI Nitumie hapa hapa au PM
  3. W

    Chama Cha walimu Tanzania (CWT) VS Chama Cha kutetea haki za walimu Tanzania (CHAKUHAWATA)

    Chama Cha walimu TANZANIA na Chama Cha kutetea haki za walimu TANZANIA Hivi ni vyama vimeundwa Kwa mujibu wa Sheria Kwa lengo la kusimamia na kutetea haki na maslahi ya walimu. Tofauti yake: 1. CWT wanakata 2% kwenye msharahara wa mwanachama lakini CHAKUHAWATA wanakata 5000/= kwenye mshahara...
  4. peno hasegawa

    Mwalimu mwenye kujua kazi ya 2% ya makato ya Mshahara wake kwenda CWT tukutane hapa

    Niko siti ya mbele karibuni walimu. Tahadhari, walimu wa ajira mpya itakayotolewa mapema mjihadhari na mkato ya 2% ya vyama vya wafanyakazi, lipeni 5,000 makato ya kila mwezi. KARIBUNI
  5. peno hasegawa

    Wimbi la walimu kuhama CWT Tanzania limeshika kasi

    JPM alikuwa nabii Katika moja ya hotuba zake, Rais Magufuli alizungumzia michango ya 2% ambayo walimu hukatwa kwenye mishahara yao ili kuchangia Chama Cha Waalimu (CWT). Magufuli alisema michango hiyo hukipa CWT zaidi ya bilioni 3 kila mwezi, na walimu wamekuwa hawajiulizi ni kwa namna gani...
  6. Mlalamikaji daily

    Hongereni serikali kwa kuinyoosha CWT

    Kama mnavyojua hakuna chama cha hovyo kuwahi kutokea duniani kama hiki chama Cha walimu Tanzania (CWT) Zaidi ya kuwakata walimu 2% ya mshahara Kisha kuwaletea tisheti na kofia Kila mwaka hakuna kingine Cha maana kilifanya, Wakati wa Raisi Magufuli aliibua hoja kuhusu hiki chama ikiwemo kuuliza...
  7. anti-Glazer

    CWT ihukumiwe kwa wizi huu

    Cwt ni chama Cha walimu nchini Tanzania. Hakifanyi jambo lolote zaidi ya kuvuna asilimia mbili ya mishahara ya walimu. Mei mosi ndio siku pekee ya tamko Kwa waajiri wote kusitisha makato ya 2% Hadi hapo suala hili litakapoangaliwa upya. Juzi hapa waliokuwa viongozi was Cwt walipata uteuzi was...
  8. UMUGHAKA

    CWT ni Genge la Matapeli wanaokula kwa Mgongo wa Walimu

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Kila mwaka kumekuwa na madai ya walimu kuchangia katika michango mbalimbali ya shughuli za kiserikali kwa ushurutishwaji hasa na wakurugenzi wa Halamashauri ama manaibu wakurugenzi. Moja wapo ya kilio cha muda mrefu kwa walimu ni hii kero ya Michango ya...
  9. M

    CWT mpya inawezekana

    Naombeni muongozo wakuu ni pitr njia zipi, Na ndoto kuwa siku moja nije kuwa rais wa chama Cha walimu Tanzania. Bado nipo chuo mwaka wa pili nasoma bachelor of science with education. Vipaumbele takapo kuwa rahisi wa CWT apo mwaka 2040 01. Pambana nyongeza za mishahara kwa walimu. 02. Huduma za...
  10. M

    Chama cha Walimu (CWT) special thread

    Habari wakuu, hope wote ni wazima. Pasi na kupoteza muda ni ende kwenye lengo la Uzi huu. Awali yoyote mm ni mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya ualimu katika moja ya chuo kikuu apa Tanzania mwaka wa pili. Napenda kushauri na kutoa mawazo Yangu kuwa, ni Wakati sasa walimu kwa kushirikana na...
  11. B

    Kesi ya Makamu wa Rais wa CWT yaondolewa baada ya uteuzi wa kuwa DC

    14 February 2023 Dodoma, Tanzania Makamu wa Rais Chama cha Walimu Tanzania CWT aondoa kesi yake ya Kupinga kungolewa Mbele ya jaji wa Mahakama Kuu mheshimiwa jaji Mdemu, pingamiza aliloweka makamu wa rais CWT bi . Dinah Mathamani kupinga kuvuliwa cheo na mkutano mkuu wa CWT kesi imeondolewa...
  12. HaMachiach

    Nini hasa kinaendelea ndani ya CWT (iwafikie walimu wote na jamii ya Watanzania)

    NINI HASA KINAENDELEA NDANI YA CWT (IWAFIKIE WALIMU WOTE NA JAMII YA WATANZANIA) Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa mitandao ya kijamii huenda umekutana na taarifa za uteuzi wa baadhi ya viongozi waandamizi wa chama cha walimu Tanzania (CWT) kuwa wakuu wa wilaya mnamo tarehe 25 Januari 2023...
  13. Jidu La Mabambasi

    Suala la wateuliwa CWT: Jenista Mhagama, Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu kashindwa kazi

    Suala la wateuliwa kutoka CWT kukataa uteuzi kwa baadhi yao kwa kweli ni fedheha kwa serikali ya rais Samia. Waziri husika hakufanya kazi yake. Tunavyofahamu uteuzi wowote serikalini, hasa kwa ngazi ya juu ni lazima utanguliwe na vetting. Vetting hii inafanywa na vyombo tofauti ikiwemo TISS...
  14. Sir robby

    Je, unaweza kuacha mshahara wa milioni 7.8 na kuwa Mkuu wa Wilaya anayelipwa milioni 3 kwa mwezi?

    Mambo yamekuwa mambo. Wewe ni mtumishi wa taasisi fulani unalipwa mshahara wa Tsh.Mil.7.8 Unateuliwa kuwa DC ili upate mshahara wa Tshs mil.3 na shangingi Je, utakubali teuzi au utakataa?
  15. Mlalamikaji daily

    Tunapowaambia CWT ni tawi la serikali muwe mnaelewa!

    Angalia pamoja na mgogoro uliokuwepo lakini viongozi wakubwa wa CWT wamekula uteuzi wa wakuu wa WILAYA! Tunapowaambia hiki chama ni tawi muwe mnaelewa! Sina mengi kwa leo
  16. Msanii

    Nini tija ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kwa Walimu?

    Amani iwe kwenu, Katika tafakuri yangu weekend hii nimejiuliza maswali kadhaa kuhusu faida wanayoipata waalimu kupitia chama chao cha waalimu kitaifa. Kuna mambo kadhaa yanayotafakarisha nikaona vyema nije kwenu wanaJF tusaidiane kupata majibu. Tukianza na usajili wa chama cha waalimu, je ni...
  17. BARD AI

    UPDATE: Leah Ulaya arejeshewa Urais wa CWT

    Rais wa CWT aliyesimamishwa, Leah Ulaya amefika mbele ya wajumbe wa mkutano Mkuu kwa ajili ya kutoa utetezi wake wa kwa nini arudishwe katika nafasi yake. Ulaya ameingia ukumbini kwa kelele za wajumbe walipoimba wimbo wa mlete mzungu na wimbo wa mshikamano. Dakika chache kabla ya kuingia kwa...
  18. peno hasegawa

    Rais Chama cha Walimu Tanzania(CWT) atolewa kikaoni kwa nguvu

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wamemuondoa kwa nguvu Kaimu Rais wa chama hicho, Dinah Mathaman na kumchagua mjumbe mwingine kuongoza kikao. --- Rais CWT atolewa kikaoni kwa nguvu Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wamemuondoa kwa nguvu Kaimu...
  19. saidoo25

    Inadaiwa kuna Vurugu kubwa mkutano wa CWT Dodoma muda huu

    Kuna tetesi za kuwepo vurugu kubwa kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania unaoendele muda huu ndani ya Ukumbi wa CCM wa Jakaya Kikwete Dodoma. Vyombo vya Dola tunaomba muwahi eneo la tukio mkatulize hiyo sintofahamu inayoendelea muda huu ukumbini.
  20. BARD AI

    TUCTA, TUGHE waishangaa CWT kuhusu kikokotoo cha PSSSF

    Siku chache baada ya wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kutaka mjadala wa kikokotoo urudi upya, Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta) limesema utaratibu wote ulifuatwa na suala hilo lilishafikiwa mwisho. Kauli hiyo imekuja baada mkutano ulioshirikisha CWT na Mfuko wa...
Back
Top Bottom