cwt

  1. William Mshumbusi

    CWT dude lenye nguvu linaloisumbua Rais na kuchanganya sana walimu. Kwa nguvu ya pesa linaogopwa sana na maafisa utumishi

    Mama kama alitaka kuingilia chama hiki labda kwa lengo zuri, au lengo mahususi. Akafanya uteuzi wa viongozi wake. Kati ya viongozi wa Juu alilipoti moja tu. Kajaribu sana kuweka vitu upya kaambulia patupu. Li chama limejaa Fedha. Fedha imekipa heshima na kuogopwa sana na viongozi wa...
  2. SHANTI

    KERO Waziri Mkenda umechemka, acha kutumia vibaya cheo chako kwa nidhamu ya woga

    Nimefuatilia maamuzi ya waziri Mkenda kwa wakuu wa shule na walimu waliohusika kwenye kucheza wimbo wa zuchu Binafsi naona maamuzi ya Waziri Mkenda ni ya kukurupuka na hofu ya kutenguliwa nyadhifa yake. : 1. Maadili ya mtoto yaanzia nyumbani, Hawa watoto huu wimbo wamjifunza makwao kupitia...
  3. Russia is not your enemy

    Serikali iingilie kati Mgogoro wa CWT dhidi ya Wanachama wake

    Ukimya sio Jibu, Serikali iingilie kati Mgogoro wa CWT dhidi ya Wanachama. Ni miaka zaidi 20 Serikali na wanachama hawajatulia na CWT wanatoa majibu mepesi. Nakumbuka CWT ilijinasibu kuwatekelezea walimu mahitaji yao ikaahidi mambo mengi sana kama benk yao, majimbo yao, nk. Katika vikao...
  4. N

    Makato ya 2% Chama cha Walimu Tanzania ni mzigo kwa walimu

    Kitendo cha mwalimu kukatwa 2% ya mshahara kabla ya makato kwa ajili ya chama 'kisicho na msaada' ni mzigo mkubwa sana kwa mtumishi. Kumkata mtu zaidi ya laki mbili kwa mwaka, ni kuongeza sonona tu kwa mwalimu huyu wa kijijini ambaye hatokuja kusaidiwa chochote na chama zaidi ya "t-shirt ya mei...
  5. tpaul

    Mwalimu Japhet Maganga wa CWT hafukuziki? Jibu hili hapa

    Nimeshangaa jinsi suala la Katibu Mkuu wa CWT mwalimu Japhet Maganga linavyofanyiwa siasa badala ya kuchukuliwa kama suala la kiutumishi. Kwanza sio jambo la kawaida mtumishi wa umma kufukuzwa kazi kwa mujibu sheria na jambo hilo kugeuzwa kuwa suala la umma. Mwalimu Maganga kateuliwa kuwa DC...
  6. T

    Baraza Kuu Taifa CWT mpo wapi? Zungumzeni watu wajue mbivu na mbichi

    BARAZA KUU TAIFA CWT MPO WAPI? ZUNGUMZENI WATU WAJUE MBIVU NA MBICHI Na Thadei Ole Mushi. Inashangaza Misalaba anapata wapi nguvu ya kuzuia account za CWT zisifanye kazi wakati chombo cha juu kabisa cha chama Baraza kuu likiwepo. Hiyo Nguvu Misalaba aliyonayo inatoka wapi ndio ya kudili nayo...
  7. peno hasegawa

    Mwalimu Maganga aliyekataa Ukuu wa Wilaya na kurudishwa kwenye Ualimu alisharipoti kazini?

    Mwenye taarifa za Mwalimu Maganga, Katibu Mkuu CWT aliyekataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya na kurudishwa kwenye Ualimu, kama alisharipoti kituo chake cha kazi atujulishe tafadhali!
  8. Prakatatumba abaabaabaa

    Naomba Serikali iwashughulikie ipasavyo CWT pamoja na Afisa Utumishi wasio na weledi

    Hakuna Mwalimu yoyote yule ambae anakikubali hicho chama Cha CWT kwa miaka mingi sana wameendelea kutafuna ada ya 2% kwa Kila Mwanachama ambao ni wengi mnoo, kipindi Cha Magufuli alisema inakadiriwa kwamba wanakusanya zaidi ya Tsh billion 3 kwa mwezi huku impact ya moja kwa moja kwa walimu hao...
  9. JanguKamaJangu

    Wajumbe wa CWT wapata hekaheka kufanya kikao, Polisi waingilia kati

    Wajumbe wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), leo Septemba 25, 2023 wamejikuta katika wakati mgumu baada ya kuzuiliwa kufanya kikao chao cha dharura cha Baraza la Taifa la CWT Wakizungumza nje ya geti la makao makuu ya chama hicho Jijini Dodoma wamesema wameshangazwa na kitendo hicho kwani wao...
  10. peno hasegawa

    Karne ya 21 Katibu Mkuu wa CWT alikuwa mwalimu wa Daraja la 3A?

    CWT ni laana!! Walimu wapo darasani wana Masters kiongozi wao mkuu kama Katibu mkuu ni form four grade 3A? Tena anateuliwa kuwa mkuu wa Wilaya akaringa!!
  11. Pantomath

    Mwalimu Maganga, Katibu Mkuu CWT aliyekataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya arudishwa kwenye Ualimu

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Elihuruma Mabelya amemtaka Mwalimu Japhet Maganga kurejea kazini kufuatia Katibu Mkuu Ofisi ya Rais- Utumishi, Juma Mkomi kutoidhinisha maombi ya mwalimu huyo kupata kibali cha kuazimwa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mabelya, Maganga ni muajiriwa wa...
  12. Mjukuu wa kigogo

    Nawapenda sana walimu wangu ila CWT kinawasaidia Nini?

    Binafsi nawakubali na kuwapenda sana walimu wangu mlionifundisha mambo anuwai ya Dunia nikaweza kuelimika.Ila nina swali moja hiki chama chenu cha walimu(CWT) kina mchango upi katika changamoto za mwalimu?Kubuni rangi za t-shirt? Binafsi sitapenda mtoto wangu awe mwalimu. Bora tu awe hata dreva boda
  13. Na hili mkalitizame

    Kilio cha walimu na CWT imekuwa kilio cha samaki machozi kwenda na maji

    Hao jamaa kwa kitendo cha kugomea nafasi waliopewa na mh Rais kwenda kumsaidia kutekeleza ilani ni tatizo kubwa sana. Na chakushangaza maafisa utumishi katika Halmashauri mbalimbali nchini wanawaunga mkono hao majamaa kwa kuisapoti CWT. Wanaikandamiza CHAKUHAWATA ambayo kimsingi ipo kumsaidia...
  14. Na hili mkalitizame

    Kilio cha walimu na CWT kimekuwa kilio cha samaki machozi kwenda na maji.

    Hao jamaa kwa kitendo cha kugomea nafasi waliopewa na mh Rais kwenda kumsaidia kutekeleza ilani ni tatizo kubwa sana. Na chakushangaza maafisa utumishi katika Halmashauri mbalimbali nchini wanawaunga mkono hao majamaa kwa kuisapoti CWT. Wanaikandamiza CHAKUHAWATA ambayo kimsingi ipo kumsaidia...
  15. cupvich

    SoC03 Nchi ya kusadikika ambayo kila mwalimu wa kitanzania anaitamani

    "Baba Wande amka unachelewa kazini" ilisikika sauti ya Mke wa mwalimu Matinyi ambaye ni mwalimu wa somo la hisabati katika shule ya sekondari MAPWE. Kwa haraka mwalimu Matinyi aliangalia saa yake na kugundua kuwa ni saa kumi na moja na dakika kumi alfajiri,alikumbuka kuwa yuko zamu kwa wiki...
  16. Black Legend

    Rais, kwa mara nyingine unatukosea Watumishi wa Umma nyongeza ya mshahara

    Ni wazi kuwa sasa ni mwaka wa 8 watumishi hawapati shahiki yao ya nyongeza ya mshahara. Matamko mbalimbali hususani kwenye sherehe za Mei Mosi, Rais kupitia majibu ya hotuba ya wafanyakazi alitoa kauli ya kurudisha japo Annual Increment kwa watumishi ifikapo July mwaka mpya wa bajeti. Tofauti...
  17. Lanlady

    Jamvi la Habari lawakalia kooni viongozi CWT

    Inawezekana ikawa ni mbinu ya kugawanya na kutawala (divide and rule)? Ni nani wako nyuma ya hii vita?
  18. HaMachiach

    Wajumbe waasi wa kamati ya utendaji taifa CWT wakimbilia Wizara ya Kazi

    Kama tulivyowaarifu jana tarehe 15 Juni 2023, kimeitishishwa kikao cha baraza la taifa cha dharura jijini Dodoma tarehe 18 Juni 2023 kati ya mengi ambayo yangejadiliwa ni pamoja na baadhi ya wajumbe wa kamati ya utendaji wa taifa kuvunja katiba na kuvuruga uongozi na chama kwa ujumla. Naibu...
  19. CK Allan

    Ushauri kwa Serikali: Chama cha Walimu Tanzania (CWT) mali zake ziuzwe na zigawanywe kwa walimu kisha chama hiki kifutwe

    CWT hakuna msaada wowote kwa mwalimu zaidi ya kumkata kuanzia shilingi elf 15,000 hadi elf 60,000 kwa mwezi kulingana na daraja lake, kisha hizo pesa zinaliwa na wajanja wachache. Kupitia hizo pesa, chama kimeweza kutengeneza miradi mbalimbali na hadi kufungua bank (MCB) kwa fedha hizi hizi za...
  20. B

    Hiki kinachotokea kwa viongozi wakuu wa CWT (M/Kiti na Katibu wake) ni UONEVU wa waziwazi

    Siwafahamu kiundani,.lakini nina uhakika vyombo vya dola vinawafahamu vizuri zaidi na ndio maana vikapeleka majina yao kwa Mh. Rais kwa nafasi za Ukuu wa Wilaya. Sasa kinachoonekana kwa sasa ni kwamba, hawa viongozi wa walimu, wanaandamwa kwa sababu ya kugomea uteuzi wa Mh. Rais! Kama kweli...
Back
Top Bottom