cwt

  1. CWT kupinga uanzishwaji wa bodi ya kitaalamu ya walimu.

    Bila shaka mpo salama wanajukwaa. Hivi karibuni katibu wa Chama cha Walimu wilayani kwetu amezunguka kwenye shule za hapa wilayani.amekuwa akipinga uanzishwaji wa bodi ya walimu, nijuavyo mimi CWT ndio inaongoza kumnyonya mwalimu. Kuna lipi la muhimu kwa mwalimu hadi cwt ijifanye inamtetea...
  2. R

    TAKUKURU mjikite kwenye Chama cha Walimu (CWT) wilaya, mikoa na Taifa

    Kuna chama kinaitwa Chama Cha Walimu ni ugonjwa sugu unaotafuna walimu ambao wengi wao wamejikatia tamaa. TAKUKURU kama kuna uchunguzi wa kina unatakiwa ufanyike ni katika Chama hiki cha walimu.Kuna biashara zinafanyika ambazo kama Takukuru wataingia, kuna kitu watashangaa. TAKUKURU chunguzeni...
  3. M

    CWT, hakuna tena haja ya T-shirt; Mei Mosi imepita

    CWT walishindwa kutoa T-shirt kwa wanachama wake kwa wakati hivyo hakuna haja ya kuwaletea tena wanachama wake tukio limeshapita hilo.
  4. Kuelekea Mei Mosi, Walimu tunaomba Rais Samia Suluhu uunde tume ya kuichunguza CWT

    Zikiwa zimesalia siku chache kuelekea kwenye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi(mei mosi), walimu tunakuomba mheshimiwa Rais uunde tume ya elimu kukichunguza chama cha walimu (CWT) kwakuwa kimeshindwa kutimiza wajibu wake wa kututetea na kutuhudumia. Mbali na kushindwa kutimiza wajibu wake wa...
  5. T

    Baada ya wadau kuilalamikia CWT kuiba fulana za TLP, sasa waja na muundo mwingine

    Hii ni tshet mpya inayotolewa na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) baada ya ile ya awali kupingwa na wanachama na wadau mbalimbali. Tshet ya hapo mwanzo ilikuwa ni hii hapa
  6. T

    CWT wameishiwa ubunifu, Mei Mosi kuvaa sare inayoendana na ya TLP

    Hawa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) sijui wamekumbwa na nini, mara nyingi sare zao siyo 'unique' kabisa. Je, hawana watu wabunifu wa kuja na sare zenye 'akili'?
  7. TAFAKURI CWT: Kwani umoja wa walimu hawawezi kumiliki kampuni/kitengo chao cha ujenzi wakawa wanajenga shule zao wenyewe kama wafanyavyo SUMA JKT?

    Habari zenu waheshimiwa wa humu jamiiforums. Eti ndugu zangu; Kwani umoja wa walimu hawawezi kumiliki kampuni/kitengo chao cha ujenzi wakawa wanajenga shule zao wenyewe (Primary & Secondary) kama wafanyavyo SUMA JKT? Kwanini tenda apewe mkandarasi mwingine wakati walimu wanaweza kuunda umoja...
  8. M

    Msaada tafadhari nakatwa makato na Chama cha Walimu Tanzania wakati sio mwanachama wao

    Jamani pesa yenyewe dongo ila CWT tena wananikata wakati mimi nipo chama kingine jamaani tunakufa na huyu cwt msaada ndugu rais utusaidie afisa utumishi wanatunyonya wakishirikiana na ofisi ya cwt
  9. CWT taifa tunaomba ufafanuzi

    Kuna tangazo la nafasi za ukatibu cwt wilaya,mmetoa majina ya walimu walioomba nafasi hizo kwa usaili tarehe 11th Novemba. Kuna walioomba ambao majina yao hayapo kwenye hiyo list yenu. Kuna mchujo ulifanyika kwenye ngazi ya wilaya/Mkoa? Msaada katibu cwt Taifa.
  10. B

    CWT oneni aiibu

    Baada ya serikali yetu pendwa kushusha kodi kwa watumishi wake wakiwemo waalimu na kuanza kufaidi ni mda sasa chama cha waalimu kutekeleza majukumu yake kwa wanachama kushusha makato mpaka 1%. Tunawapa miezi mitatu kuanzia leo mwezi wa nane, bila hivyo tutaitisha maandamano ya kisheria nchi...
  11. Rais Magufuli afungua mkutano Mkuu wa Chama cha Waalimu, Corona imeisha, Shule za Msingi kufunguliwa karibuni

    Salaam Wakuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Chama Cha Walimu Tanzania-CWT. Mkutano huo utafanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, huku watu wote wakitakiwa kuzingatia na kuchukua...
  12. F

    Walimu tunaishtaki CWT Mahakamani. Mwisho wa uonevu ni sasa

    MKAKATI WA KUIN'GOA CWT KISHERIA NA KUWARUDISHIA WALIMU PESA ZAO WALIZOIBIWA NA CWT PAMOJA NA FIDIA Nimepitia mijadala mingi na malalamiko mengi ya WALIMU dhidi ya CWT,Hotuba ya Rais Magufuli na Mkuu wa Wilaya wa Hai dhidi ya madudu ya CWT Nashauri,CWT wanamengi ya kutujibu Walimu kwa KUTUMIA...
  13. Nagombea nafasi ya Urais CWT

    Naomba sana kura yako, Mimi naweza kuwa Rais Bora kabisa wa Chama cha Walimu Nina SHAHADA ya Uzamili katika Elimu toka Udsm 2017 Pia nina degree na Cheti cha Ualimu nilichosomea Ilonga ttc 2003. Uzoefu Ni mwenyekiti wa Cwt Wilaya kwa sasa Nina uzoefu kwenye uundaji wa vikundi na uwekaji wa...
  14. Uchaguzi CWT: Wakuu wa Shule na Ma-MEK hawafai

    -Wengi wao ni vibaraka wa Wakurugenzi na Maafisa Elimu (DEO);Wametumwa --Wakuu wa shule, Waratibu Elimu Kata (MEK) hawafai kuchaguliwa Siku na Tarehe ya kufanya uchaguzi wa kupata viongozi wa Chama Cha Walimu (CWT) utatangazwa muda wowote, hii ikiwa ni baada ya tarehe ya awali kuhairishwa...
  15. Madudu ya Chama cha Walimu (CWT)

    CWT inavuna pesa za walimu isivyohalali kila mwezi kutokana na ukweli kuwa kwa mujibu wa sheria zilizopo hawana mamlaka ya kuchukua ada ya uanachama kwa asilimia ya mshahara wa mtumishi. Nasema hayo kwakuwa hakuna sheria yoyote nchini Tanzania inayowaruhusu kufanya hivyo; Kuna sheria ya mwaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…